Kwanini mnakuaga na tabia hii?

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,360
Ni shuhudia mara nyingi tu. Mwanamke unamtongoza na kumvizia muda mrefu lakini kila ukimuomba jibu anakataa. Anasema hataki, unaamua kumpotezea, wakati umeshaanza kumsahau na kukata tamaa unakuta ndio anajileta.

Kwanini mfanye hivyo?
Ivi mnadhani me akikutongoza na kumkatisha tamaa ndio hana muda wa kujaribu kwa wengine?

Hahahahahahahaaaa! Kwa kweli mnafurahisha na kuskitisha. Nakumbuka kuna friend wangu alikaa muda mrefu bila kuwa na mpenzi, nakumbuka aliahidi kutumia wiki mbili kwa kutongoza tu, alifanya hivyo kwa kila ke aliemkalia sawa.
Wiki mbili zilipita hakumpata yoyote. Tukasema anagundu. Mwee baada ya miezi miwili akapokea maombi matatu ya kutakiwa kimapenzi na wale aliowatongoza ktk zile wiki mbili.

Au mnakuwa mmeshapigwa kibuti na hao wapenzi wenu?
 
Weka time limit katika kila mtongozo then mwambie mrongozwaji hivyo!

kama wa kumwagwa utamwagwa tu!

Na kama wa kupata utapata tu..

Nalogoff..
 
Mhh!! Wanakuwa kwenye uchunguzi,uchunguzi wao ukikamilika ndo hurudi na mrejesho
 
Sasa mtu humjui vizuri anaakutongoza tu unamkubali aiseee hata mimi ningekuwa mwanamke wanaume wangepata shida sana wanawake hamjui thamani yenu tu there is no need to hurry mwanaume ambaye kweli ana nia njema na wewe huwa hachoki utamzungusha utamtukana utamzimia simu lakini laiti akiamua huyu ndiye basi na wanawake mkae mkijua kwa mwanaume suala la kupata mwanamke/msichana ni jepesi sana kuliko kupata mke.Mke anasotewa hii mambo ya kujirahisisha ndo maana malalamiko ya ndoa yamekuwa mengi mno hapa sababu mtu hata hajasota kukupata jambo linalomfanya awe na kakibuli bwana eee ntapata mwingine wanawake wamejaa na ni kweli wamejaa ila je wote wanastahili kuwa wife material?
 
Weka time limit katika kila mtongozo then mwambie mrongozwaji hivyo!

kama wa kumwagwa utamwagwa tu!

Na kama wa kupata utapata tu..

Nalogoff..

Hahahahaa. We umtongoze ke afu umwambie ikifika mwezi haujanikubali usijekunitafuta. Kweli?
Mi nahisi hata kama alikuwa na mpango wa kukukubalia mapema aweza hairisha wallah.
 
Sasa na nyie hamna jema mkitongoza na kukubaliwa siku hiyo hiyo na kupewa papuchi siku hiyo hiyo mwasema mademu ni warahisi sasa umemtupia demu tongozo anakua mgumu bado ni shida tena loooooh tongoza nenda zako majibu utapewa kwa msimu lol!!
 
siku nyingine ukienda rafiki yangu Mashaxizo mwambie tu nina mke lakini nimeshindwana nae tabia nataka KUOA teh teh teh LAZIMA UNG'OE FASTA
 
Last edited by a moderator:
Mhh!! Wanakuwa kwenye uchunguzi,uchunguzi wao ukikamilika ndo hurudi na mrejesho

Hili kwa kweli linawezekana. Lakini kwa nini msimjulishe mdau kwamba kwamba yupo ktk uchunguzi or kumuandalia majibu fulani ya kutogive up kwako.

Jana nimepokea simu no mpya, eti nikapewa jibu nimekubaliwa na isitoshe yeye yuko mkoa mwengine na mimi niko mwengine kwa sasa.

Sijui amenichunguza vipi wallah, maana...
 



kukubali haraka kweli haitakiwi, lakini kuchelewa kwake sometimes ni udhaifu wake. Unless akujengee mazingira ya kumsubiria.
 

Wanawake ni wajanja aliweka mashushu kukuchunguza....
 
Sasa na nyie hamna jema mkitongoza na kukubaliwa siku hiyo hiyo na kupewa papuchi siku hiyo hiyo mwasema mademu ni warahisi sasa umemtupia demu tongozo anakua mgumu bado ni shida tena loooooh tongoza nenda zako majibu utapewa kwa msimu lol!!

Hahahahaaa! Hapana! Simanishi hivyo. Just napenda muwe na msimamo ktk maamuzi yenu. We nipoteze nguvu kwa kukudoea unitoe mzima mzima afu unakuja badae mi namtu wangu tayari! Kwa kweli tutashea vikojoleo tu!
 
Hahahahahahahahaha
Hahahahaaa! Hapana! Simanishi hivyo. Just napenda muwe na msimamo ktk maamuzi yenu. We nipoteze nguvu kwa kukudoea unitoe mzima mzima afu unakuja badae mi namtu wangu tayari! Kwa kweli tutashea vikojoleo tu!
 
Kutongoza na kuomba ujibiwe ndio au hapana ni kizamani mno....siku hizi unajibiwa ndio mkiwa kitandani mnasubiri raundi ya pili...au unaambiwa hapana huku mnajiandaa na raundi ya tatu..
 
Wanaume wachche sana tuna guts za kuwakataa baada ya wao kuzingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…