Kwanini mnaibeza kauli ya Rais ya jana

Kwanini mnaibeza kauli ya Rais ya jana

superkabisa

Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
67
Reaction score
49
Jana Ndege nyingine iliwasili nchini na hafla fupi ikafanyika kama ilivyo kawaida na Serikali ya awamu ya tano kujipongeza kwa hatua hiyo,Tuliwaona pia wanaccm wakifurahia Serikali iliyochini yao ikiongeza Ndege nyingine

Mimi ni mwanachi wa kawaida SIJAFUNGAMANA na upande wowote baada ya mapokezi yale
mtaani na kwenye mitandao hoja kubwa Kama Rais kapambana kuleta Ndege kuna watu sahihi wakuliendesha Shirka na je tumeingiza kias gani mpaka sasa hivi na tunapata faida ya kias gani kama bado uwekezaji uandelea ni lini haswa.

Lakini nzito zaidi ni hii kauli ya Rais ninainukuu kutoka mtandao wa millad ayo instagram "Juzijuzi hapa Waziri wetu alipokutana na Trump, Trump ametupongeza kwa kununua ndege Marekani na wakashikana mikono, hii inaonesha tukinunua ndege kwa wakubwa na sisi tunakuwa wakubwa wakubwa, tunamshukuru sana Trump na tunamuahidi tutaendelea kununua ndege nyingi Marekani na chaguo letu hasa ni Boeing maana ni ndege nzuri" - JPM

Kwa nini imekuwa na ukakasi je hatuwezi kuwa wakubwa,au Kupongezwa na Trump hakumaanishi tuko vizuri au wamekerwa na kauli ya kushikana mikono
magu.png
 
Jana Ndege nyingine iliwasili nchini na hafla fupi ikafanyika kama ilivyo kawaida na Serikali ya awamu ya tano kujipongeza kwa hatua hiyo,Tuliwaona pia wanaccm wakifurahia Serikali iliyochini yao ikiongeza Ndege nyingine

Mimi ni mwanachi wa kawaida SIJAFUNGAMANA na upande wowote baada ya mapokezi yale
mtaani na kwenye mitandao hoja kubwa Kama Rais kapambana kuleta Ndege kuna watu sahihi wakuliendesha Shirka na je tumeingiza kias gani mpaka sasa hivi na tunapata faida ya kias gani kama bado uwekezaji uandelea ni lini haswa.

Lakini nzito zaidi ni hii kauli ya Rais ninainukuu kutoka mtandao wa millad ayo instagram "Juzijuzi hapa Waziri wetu alipokutana na Trump, Trump ametupongeza kwa kununua ndege Marekani na wakashikana mikono, hii inaonesha tukinunua ndege kwa wakubwa na sisi tunakuwa wakubwa wakubwa, tunamshukuru sana Trump na tunamuahidi tutaendelea kununua ndege nyingi Marekani na chaguo letu hasa ni Boeing maana ni ndege nzuri" - JPM

Kwa nini imekuwa na ukakasi je hatuwezi kuwa wakubwa,au Kupongezwa na Trump hakumaanishi tuko vizuri au wamekerwa na kauli ya kushikana mikonoView attachment 1246238
Kijembe kwa Canada kwakuwa tulinunua ndege kwao halafu ikashikiwa kwao.
 
Mimi naomba kuuliza kuna ki page flani kilikuwa kinazunguka mitandaoni kuwa Trump kamsifu Magufuli je hii ni kweli?
 
Lakini nzito zaidi ni hii kauli ya Rais ninainukuu kutoka mtandao wa millad ayo instagram "Juzijuzi hapa Waziri wetu alipokutana na Trump, Trump ametupongeza kwa kununua ndege Marekani na wakashikana mikono,

Ethiopia watakuwa wamepongezwa mara ngapi, maana wana hiyo midude zaidi ya 30
 
Trump ye ni mfanyabiashara ye amepata soko kwetu. Na hivo lazima atupongeze na atsifie ili biashara kati yetu iendelee sa kuja kutangaza huk kua umepongezwa na muuzaji wa bidhaa ni ushamba tu.
 
Huyu Bwana Rahisi sio mtu wa kumuamini sana kwa sasa..kichwa kimepata moto kidogo..nyie mfuatilieni tu kauli zake
 
ukubwa haupatikani kwa " induction"

Back
Top Bottom