Nadhani wanasoma zaidi habari za lisu wangoje awape mtihani wakeNimeangalia historia ya matokeo ya mitihani darasa la saba kwa muda mrefu kwa mwaka 2017 ni mara ya kwanza kwa mkoa wa Singida kutoa shule 3 kati ya 10 za mwisho tena wilaya moja tarafa moja.
Sababu kubwa ni nini hasa kutokea hivi ukizingatia mkoa huu ni wa wakulima na wafugaji. Biashara ni kidogo sana
Upinzani upo jimbo moja tu mengine yote ni chama tawala.
Mkoa umefunguka kwa barabara za lami kila upande.
Hapana ila nadhani kuna sababu zingine za msingi...Singida wengi hawamjui Tundu Lissu.