Kwanini Mkoa wa Singida umetoa shule 3 kati ya 10 za mwisho matokeo ya darasa la saba 2017!!?

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,318
Nimeangalia historia ya matokeo ya mitihani darasa la saba kwa muda mrefu kwa mwaka 2017 ni mara ya kwanza kwa mkoa wa Singida kutoa shule 3 kati ya 10 za mwisho tena wilaya moja tarafa moja.

Sababu kubwa ni nini hasa kutokea hivi ukizingatia mkoa huu ni wa wakulima na wafugaji. Biashara ni kidogo sana

Upinzani upo jimbo moja tu mengine yote ni chama tawala.

Mkoa umefunguka kwa barabara za lami kila upande.
 
We angalia watu wa Singida, Tundu, Nyalandu, Wema Sepetu na Mamaye, sasa hapo kuna kufaulu kweli?
 
Ndiyo wamesababisha weye kuwa punguani? Au ni wao wamesababisha watoto kufeli? When somebody's thinking capacity is bottomed - up!
Yes kwa kiasi fulani wamechangia manake wanatumia nguvu nyingi kupinga serikali badala ya kutetea maendeleo ya majimbo yao
 
Duh! Hizo akili zako ni kwa ajili ya kuotea moto na kupoozea matonge ya ugali? Maana badala ya kuchukia jibu lako nimestuka na kupaliwa na uji.
 
Sehemu anakotoka Mropokaji asiye jitambua ulitegemea nini!
Hahaha kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom