josephmeela
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 244
- 20
Kaka kwa akili ya kawaida tu ulimtendea jambo haya sana .msamaha no juu take mkeo kuamua kwani maumivu aloyapata ayajua
wakuu nimefanya kosa gani kubwa la kustahili haya yote? Umeshakatika mwaka tangu aondoke home kwa tatizo hili sioni dalili njema siku za usoni na mimi nampenda mke wangu nahitaji turudiane cha kushangaza nyumbani kwao wanaona kama mimi ndio niliemrubuni yule shemeji yangu kwa aijili ya kumpa kazi wakati yeye ndio alinirubuni mimi.
Kwanini anakua na roho mbaya kiasi cha kushindwa kumsamehe mtu? Akina dada ukikosewa kiasi hiki unaweza kutaka kufanyiwa nini ili usamehe? Kwa ujumla napaswa kufanya kitu gani hasa kuweza kumu win tena wife? Maana kuna wanaomshawishi akadai talaka mahakamani sinajua a awaza nn kwa sasa.Nimekuja kwenu kwa Mara ya kwanza as a last resort to this problem.
Wana JF nifanye lipi liliobaki ili mke wangu arudi?
Your regards
Maana hakuna namna nyingine,ukajiona wewe imara zaidi,jeuri zaid had akaenda kununua oil ili hali unajua mwili wa mwanamke ni sumaku,Utaachwa tu na mimi nasema wakuache tu.