Kwanini Mkapa hahusiki kwenye kampeini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Mkapa hahusiki kwenye kampeini?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by baina, Oct 22, 2010.

 1. baina

  baina JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf naomba kujua walau sababu mbili 2 zinazomfanya Benny hasimpigie kampeini JK.
   
 2. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sio Mkapa tu, hata akina Warioba na wana Mwlimu Nyerere Foundation hawahusiki kabisa kwa sababu hawana cha kuwaeleza wananchi kumsifia JK. Huenda ni kwa vile ameharibu uchumi wa nchi kabisaaaaaa
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mimi najua sababu moja tu: JK kichwa-ngumu
   
 4. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  may b sababu 1 ni kua JK anafanya kampeni ni ya familia yake na pili ni kumkumbatia mlopokaji Makamba ktk cheo chake cha ukatibu mkuu. Conclusively hata kama angekuwepo ingekula kwao 2!!!!
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  SIO MAKAPA TU, Warioba, Mkapa, Mwinyi, Malecela, na wengineo, issue ya uraisi wa JK ni ya Kifa,ilia zaidi
   
 6. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mwacheni Mzee huyu apumzike, ale mafao yake, ana haki ya kulindwa kama rais mstaafu
   
 7. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Amekwenda South Sudan kusimamia referundum ya kuigawa Sudan. Deal la UN!!!
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  JK habebeki, amekuwa kama zigo la mavi.Aliwachafua sana wenzake wacha na yeye watu wamjazie inzi. HAFAI.
   
 9. e

  ejogo JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwanzoni walimwambia aliingizwa madarakani na wanamtandao wake, sasa safari hii hataka kuingizwa madarakani na mtu mwingine yeyote zaidi ya wanafamilia yake kwani kulingana na yeye jk suala la uraisi ni la kifamilia zaidi na si la kichama. Sasa sijui na sera ni za kifamilia zaidi!!!
   
 10. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mpuuzeni JK, acheni wazee wa chama wamutose kwani ni kichwa ngumu.

  Haambiliki!!!!

  VOTE FOR CHADEMA
   
 11. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  kwa sababu mgombea wa chama chake hana kichwa wala miguu
   
Loading...