Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,172
Why ! why ! why !
Kwanza ifahamike mimi SIKUBALIANI Kabisa na utoaji wa ruzuku kwa vyama vya siasa eti kwa kisingizio cha kujenga demokrasia. Just imagine wanavyuo wanapewa MIKOPO halafu vyama vya siasa vinapewa RUZUKU !!!
- Na kinachosikitisha zaidi ruzuku hizo wanazopewa zinaishia kutajirisha watu wachache, kuwajengea majumba dubai, SA nk na pia wanaishia kulipana posho isiyokatwa kodi kama wafanyakazi wengine nchini, why ?
- Mtanzania yeyote mwema ni lazima tusaidiane kuhakikisha DHULMA na UNYONYAJI huu unakoma, TUMECHOKA !!!