Kwanini mimi?

Mi ndo mana mi huwa naona kama mtu kaolewa urafiki naye uwe wa kawaida na hata urafiki na mumewe uwe ule wa salamu bas.Maswala unaanza kuzoeana na shemejio ndo huwa yanazaaa hayo.Kama mtu hujaolewa mashost zako wale wa ukwee wanapendeza wawe si watu wenye ndoa but ukiolewa penda urafiki na walioolewa na si wadada ambao hawana ndo.Mi hiyo huwa naona imekaa vizuri zaid coz mnaweza share mambo yanayofanana
 
Duuuhh, huenda intelijensia ya Shost yako ni "bure"

Binafsi hua nachukia kuona mtu ananiharibia wasifu wangu. Tafuta Muda uende kwa Shost yako ukiwa na uhakika mumewe yupo. Lengo ni kutumbua "jibu"

Wakati mwingine ukorofi hulipa.

nashukuru ndg kwa ushaur
 

nashukuru mkuu kwa ushauri
 
ushoga uwe na mipaka mpaka mnabadilishana namba za simu si jambo jema.... ukifanya mchezo mumewe anakukula kweli

mkewe ndo alkuwa hana cmu na alkuwa ka anashida na mm anatumia cmu ya mumewe kunitafuta
 

nikwel ndg yng
 
Ngoja wanaume na waitwe wanaume...

Ila mkuu, hawa watoto hawawezi kuandika vizuri ili tusipate shida kusoma? Macho yenyewe yalishajifia!
babu Napata shida sana kuelewa nahisi mtoa mada anaficha jambo halafu ukumbuke na majirani wanasema anatoka na mmewe wa rafikie kweli ujue lisemwalo lipo babu na kama halipo basi laja lipo njiani hivi.
 
Watu wazima wakitongozana huwa hawatangaziani,wewe mngemalizana na mtu mzima mwenzio hayo yote yasingekukuta,kwani ungemuonjesha siku moja ungpungukiwa na nini kama sio uchoyo huo, dawa ya ubaya ni aibu ona sasa unaumbuka mpaka ujisafishe hapo sio leo wala kesho

 
babu Napata shida sana kuelewa nahisi mtoa mada anaficha jambo halafu ukumbuke na majirani wanasema anatoka na mmewe wa rafikie kweli ujue lisemwalo lipo babu na kama halipo basi laja lipo njiani hivi.

Kesi za ngono ni ngumu sana. Lolote linawezekana.

ila mdada mzima, unawezaje kumweleza shost yako kwamba mume wake anakutaka?
 
Kesi za ngono ni ngumu sana. Lolote linawezekana.

ila mdada mzima, unawezaje kumweleza shost yako kwamba mume wake anakutaka?


Yaani me ningekufa nayo rohoni maana kwanza ningeanzaje ananipa maswal sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…