mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,704
Wadau hakika Migogoro ya Ardhi nchini imekuwa ni kero kubwa.Nimekuwa najiuliza hivi tatizo linalofanya Migogoro hii isimalizike au kupungua nini? Je tatizo ni Sheria zilizopo, Watendaji wa sekta ya Ardhi au Wananchi?