Kwanini michepuko inavunja unyumba? Wanawake kwanini hampendi kusaidiana?

Mkuu mchepuko unanoga sana kiroho safi mingine ni milaini sana ila inatakiwa kufanyike mapinduzi ya fikra wasiwe wanapiga mizinga bali kupeana raha tu kila mtu anatokomea kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi wake hawavunji ndoa

Ukichepuka na yeye anabeba mcheps mkali mwenye mawe kukiko mumewe maisha yanaendelea....

Mkirudi ndani mnachekeana kwa bashasha kumbe kila mmoja katoka kuuza mechi
Ouh, ila wanawake wanakosea sana, wenye jukumu la kufanya ivyo ni sisi sio wao
 
michepuko huleta yafuatayo ndani:_

kipato kupungua

defense mwanaume kuwa mkali sana ili kuficha madudu yake nyumba kukosa amani kwa kweli bora kuishi jangwani kuliko nyumba isiyokuwa na amani haya ni maoni yangu...

magonjwa aisee yani hapa ndiyo hatari nisubirie kuletewa gonjwa any waya wapo wanaoweza....

michepuko kukomaa na kuwa na nguvu kuliko mke halali...

mara nyingi wake zenumnakuwa mmeanza wote sasa dawa ni kuacha mali nipate uje uanze na huyo mchepuko wako...

ila kama utajali familia kuliko mchepuko basi sawa
nb: wazee wa zamani walifanya hayo ila maisha yalikuwa ni kulima na kula tu
 
kwa sababu sisi tukiolewa hisia , nyege , kudeka kunaexpare .. ha haha now days ukiona unawinda huko nje jua na mkeo kuna wanao muwinda
Tatizo jiografia ya maumbile yenu hairuhusu kuwa na wapenzi wengi, vilevile kihisia tumewazidi, kwahiyo msiforce king
 
michepuko huleta yafuatayo ndani:_

kipato kupungua

defense mwanaume kuwa mkali sana ili kuficha madudu yake nyumba kukosa amani kwa kweli bora kuishi jangwani kuliko nyumba isiyokuwa na amani haya ni maoni yangu...

magonjwa aisee yani hapa ndiyo hatari nisubirie kuletewa gonjwa any waya wapo wanaoweza....

michepuko kukomaa na kuwa na nguvu kuliko mke halali...

mara nyingi wake zenumnakuwa mmeanza wote sasa dawa ni kuacha mali nipate uje uanze na huyo mchepuko wako...

ila kama utajali familia kuliko mchepuko basi sawa
nb: wazee wa zamani walifanya hayo ila maisha yalikuwa ni kulima na kula tu
Hizo zote ni chuki tu baina yenu,
Yani kila muda mnawaza kwamba mchepuko atakupiku,
kwahiyo kama umefanya kosa mume asikugombe kisa anamchepuko?
Kwahiyo hutaki mwanamke mwenzako nayeye apate walau kidogo cha kuendesha maisha kisa eti kipato chenu kitapungua?
Acheni chuki, pendaneni
 
okey no problem ila mjue mpo wengi sana
nyinyi ndo mpo wengi, alafu uzuri ni kwamba sisi tupo wachache na ndio tunashikilia uchumi, kwahiyo kuna wengi wanatuhitaji kuliko hata tunavyowahitaji nyinyi.. Cheers
 
nyinyi ndo mpo wengi, alafu uzuri ni kwamba sisi tupo wachache na ndio tunashikilia uchumi, kwahiyo kuna wengi wanatuhitaji kuliko hata tunavyowahitaji nyinyi.. Cheers
ila msije kuua kisa tumeliwa na wenzio
 
Hizo zote ni chuki tu baina yenu,
Yani kila muda mnawaza kwamba mchepuko atakupiku,
kwahiyo kama umefanya kosa mume asikugombe kisa anamchepuko?
Kwahiyo hutaki mwanamke mwenzako nayeye apate walau kidogo cha kuendesha maisha kisa eti kipato chenu kitapungua?
Acheni chuki, pendaneni
okey mkuu mi sina la kuongeza wala kupunguza mtachezea divorce mpaka akili iwakae sawa ...
 
Mmh ....hivi kusaidiwa tupende sisi tu???! nanyi pia inabidi msaidiwe coz sikuhizi wenye nguvu za kiume wachache sana ....kwahiyo kidume ukimuona mwanaume mwenzio anatoka na mwanamke wako usilie wivu wala ushishike panga tambua kwamba anakusaidia pale uliposhindwa ni hayo tu#shilingi ina pande mbili#

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom