Kwanini michepuko inavunja unyumba? Wanawake kwanini hampendi kusaidiana?

Mmh ....hivi kusaidiwa tupende sisi tu???! nanyi pia inabidi msaidiwe coz sikuhizi wenye nguvu za kiume wachache sana ....kwahiyo kidume ukimuona mwanaume mwenzio anatoka na mwanamke wako usilie wivu wala ushishike panga tambua kwamba anakusaidia pale uliposhindwa ni hayo tu#shilingi ina pande mbili#

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
ukiona unachepuka tambua njia kuu yako sio chaguo lako,,

n0 r0se with0ut th0rn
 
Ila wanaume wabinafsi sana kama ukitaka kuhalalisha Hilo basi ukimegewa usianze kubweka na wewe manake hata sisi tuna miili ya nyama kama nyie,, msije mkajiona nyie watofaut tena Kama kuchepuka angetakiwa mwanamke ndio achepuke sbb wana a wengi wanapitia vikwazo vingi kwenye ndoa zao
 
Ujumbe wameupata
Mwanaume bila mchepuko
Haiwezekan

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Ila wanaume wabinafsi sana kama ukitaka kuhalalisha Hilo basi ukimegewa usianze kubweka na wewe manake hata sisi tuna miili ya nyama kama nyie,, msije mkajiona nyie watofaut tena Kama kuchepuka angetakiwa mwanamke ndio achepuke sbb wana a wengi wanapitia vikwazo vingi kwenye ndoa zao
Nyie ni watu wa kawaida, hamna haki ya kuchepuka,
msibishane na nature... Ndomana mkawekewa bikra, watch it
 
Hakuna shida nyie kuweni hata na10 kadri muwezavo...

Ila nasisi mtupe nafasi mwanaume mmoja hatutoshi
Mnataka kushindana na sisi na hapo ndipo mnapoumia,
tambueni kwamba hamuwezi kushindana na nature na hiko ndo kitu pekee hamuwezi kibadilisha
 
Back
Top Bottom