Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Michael Jackson hakuwa na Tatoo?

Discussion in 'Entertainment' started by Nazjaz, Apr 9, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,760
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Im just asking
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sharabaro angeumia wakati wa kuchorwa. Kwakuogopa ndio maana hana
   
 3. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,341
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  i just dont know!
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,760
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Menyidyo nlidhani we wajua ati
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 32,100
  Likes Received: 7,171
  Trophy Points: 280
  hata mm nilidhani anajua ati
   
 6. m

  matunge JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 305
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  MJ pamoja na kuwa alikuwa superstar alipenda muonekano plain , tazama hata nguo zake alizovaa, alipenda kuvaa nguo za heshima. Kuhusu sura yake; mambo mengi yalichangia (i) malezi ya wazazi hasa baba yake aliyemtesa sana wakati wa utoto, walimpiga na kumwambia mapua makubwa, hii ilimuathiri sana (kumbuka naye alipenda kuonekana vizuri mbele za watu) kisaikolojia na kuamua kufanya plastic surgery. (ii) aliwahi kupata kupata ugonjwa wa ngozi (vitiligo) uliofanya ngozi yake iwe na mabaka meupe, mabaka haya yalienea mwili mzima, ndio chanzo cha yeye kuchange ngozi (iii) aliwahi kuungua nywele akifanya tangazo la pepsi, effects ya kuungua huku ilifika hata katika sura yake hivo more plastic surgery.Pia tukumbuke watu tunazaliwa tukiwa na jinsia ya kiume ama ya kike ambazo zinakuwa supported na homoni za jinsia husika (zilizozidi zile nyingine), ila kuna watu wengine wana vichochezo ama homoni za jinsia zote zilizokalibiana japokuwa wana jinsia moja kati ya hizo, hii huathiri muonekano wa mtu, na hata sauti, ............hii inaweza kuwa ilimkuta MJ.
   
 7. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,814
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ...by the way, tattooing (modern) is a culture, normally adopted by people with 'twisted minds'. Sasa basi, swali lingekuwa kwanini watu wanaweka tattoo?
   
 8. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  Tattoo siyo universal kwamba kila artist awe nayo. ukifuatilia vizuri wengi tu hawana.
  Kikubwa ni kwamba hata kwa mtu wa kawaida tattoo huwa inabadilisha jinsi watu wanavyokuchukulia ndio maana wengi uchora sehemu zisizoonyesha kirahisi. UK jeshini, polisi na makazini hawachukui watu wenye tattoo na wengi wanaojichora ni jobless drug addicts gays and lesbos na wale ambao ni self employed
   
 9. R

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 13,081
  Likes Received: 1,608
  Trophy Points: 280
  Mbona Prf.J hana hyo tatoo..alafu usione ajabu kuona msanii hana tatoo it's an objectivity,
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,077
  Likes Received: 1,324
  Trophy Points: 280
  Kwa nini unadhani alipaswa kuwa na tattoo? Tuanzie hapo..
   
Loading...