Kwanini Mh. Rais asiteue hata wakurugenzi wakawa wazungu kwenye baadhi ya ofisi?

viongozi wa kiafrika akipata cheo hajui hata kazi zake ni zipi anaangalia zaid njia za kupata ulaji?Kwa mf. ukimpa mkurugenzi muingereza jiji la dar kwa kipindi cha miezi 6 tu hakuna muuza nyanya, mahindi, wala machinga utakae muona akifukuzana na wagambo wote wanawekewa utaratibu tu hakuna lisilowezekana.
 
Kwa dunia ya sasa na kama nchi huru kama tanzania ambayo haijawah hata kupata vita, tupate japo 30% ya maendeleo kila miaka 5, sasa hiv sisi hatuna kazi tena ni copy n' paste.
 
Kitu kinachonishangaza ni kuwa kuna Watanzania Wenye asili ya Kiasia nilikuwa nao Jeshini Oljoro na Ruvu Sasa hivi ni Madaktari Dar, Moshi na Arusha wengine Maengineer na Wafanyakazi watiifu

Sijui kwanini Serikali ya Awamu ya Nne haiwaangalii hao na ni Vijana hawateui hao hata Uwaziri Mdogo na ni Wazalendo

Serikali ya Tanu na CCM ya Nyerere ilikuwa na kina Alnoor Kassum, Ameir Jamal na Mama Mmoja wa Morogoro alikuwa

Naibu Waziri; Nchi yetu ni Rainbow Nation kama South Africa; kwanini Baraza letu la Mawaziri lisifuate Taifa Letu kuwa

Rainbow ?

Sasa mkuu kila mtu aliyesoma na Watanzania wenye asili ya kiasia akitata serikali ya awamu ya nne iwape madaraka si itakuwa kazi mkuu wangu...mie mwenyewe nimesoma na Watanzania wenye asili ya kiasia pale Kisutu..
 
Back
Top Bottom