Wadau wa EL. Mi kumunyoshea mtu kidole hainiingii akilini. Kwanza hebu tujiulize. Nani kati yenu atasema yeye yuko mkamilifu hamwibii mwajili wake ama kutumia vibaya rasilimali za kampuni vibaya? Jamaa ninayemfafamu kwa ukaribu hadi leo alikuwa msafi sana, akapewa nafasi kubwa serikalini na kupewa ofa ya furnitures za 15M na malupukupu mengine, alishangaa kuona hayo. Na akasema anashangaa wanaoiba, ya nini kama vya kupewa na vingi hivi. baadae kidogo naye akawa haridhiki tena na huku akitumia viabaya gari na kila loop hall. Yaani sasa ni fisadi na kashusha gorofa la ukweli. Hebu angalia magorofa dar yanagyoota, angalia residentials ukiacha businesses za individuals, mashule, viwanda, mashamba, plots etc. Yote nibya EL? Ninachosema ni wote chumia tumho, hata wewe kwa level yako. So tusitafute huyu msafi na huyu fisadi. Bali tutafute atakayebakisha Balance nene kwa taifa.
Balance= kilishozalisha - kilichoibiwa.