Kwanini Mengi alipata utajiri: Nimebaini sababu

Waulizeni vodacom kilichowakuta baada ya kuwajaza waswahili kwenye department ya finance! Jamaa walipiga milioni 500 za miamala ya mpesa halafu kwenda kuzichukua benki wakaanza kusakiziana mpaka dili likabumbuluka mwisho wa siku walifukuzwa wote wakaajiriwa wahindi department nzima
 
Hilo laweza kuwa kweli lakini inategemea na malipo unalipwaje, kinachopelekea mtu kuamua kukuibia ni kile unachomlipa, kwenye kampuni nyingi za wahind wanawalipa wahind wenzao mishahara minono wkt waswahil mkipokea mishahara mbuzi.
Unakuta mdosi kaja kuanza kazi anaanza na 2.5M wkt mswahil mwenzangu una miaka zaid ya 2 kazin ndo kwnza umefika kwnye milioni
Kwani mkataba unasema mhindi akilipwa 2.5M na Mswahili alipwe hivyo hivyo?
 
Roho mbaya ya wahindi ndo inawafanya waaminiwe.
Kwanza hawathamini stahiki za wafanyakazi. Yeye kukufukuza kazi ni dkk moja bila hata kujali.
Wao utu wa mtu mweusi wameuweka mbali. Hasa ukiwa poyoyo kwenye nafasi za chini
 
Mimi sio mnafki tukubali tu wahindi ni kiboko wale watu wapo care na kazi alafu wana elimu kweli kweli sio elimu ya madaftari na vyeti, nishafanya kazi makampuni yao jamaa wapo makini na kazi alafu sio wapigaji kivile yani wana elimu og kabisa

Ili kupambana na hawa watu watz tunahitaji kuacha wizi na tuwe na elimu nzito sio elimu ya vyeti, pia tuwe wabunifu wahindi ni wabunifu sana yani tuseme tu ukweli, angalia pale ubungo mainjinia ya tz miaka yote wameshindwa kubuni ile round about kaja mchina tu kaiweka faster na foleni imepungua, hapo ndipo utajua elimu yetu ina shida na ndio maana wahindi wanachukua ajira zetu
Tofauti Yao(Indians) na sisi(watz) wao wakilipwa pesa ndefu wanaridhika na kuongeza ufanisi, sisi tukilipwa pesa ndefu ufanisi unapungua kwa ubize na starehe/ mshahara unaanza kuwa hatoshi tunaingiza magumashi kazini kupiga hela za dili
 
Wahindi si waaminifu. Ila wanatunza siri.
Ukiweka weusi kwenye hela jamii yote utajua una ngapi.
Pia huwa wako vizuri kwenye magumashi.

Kweli kabisa wahindi wamewaliza
Sana waarabu nchi za kiarabu tena wakitaka lao wanajifanya waiinga na kukwita boss kila dk
 
Eneo la Uhasibu Reginald Mengi aliajiri Wahindi ambao wanasifika kusimamia kwa uaminifu mkubwa finances...
Mfano mmoja wapo ni Mhasibu wa IPP FM Srinivas Chitanturi na wengine ambao wapo kwenye chain ya IPP kama wahasibu wakiwemo kule kwenye kampuni ya Maji na viwanda vyake...

Mengi sio tajiri wa kwanza kuwatumia watu wa asili ya Asia/India kusimamia kampuni zao...miongoni mwa matajiri wengine wanaotumia
sana raia hawa wa kigeni ni pamoja na Aliko Dangote ambae amekuwa akiweka Chief Finacial Officers kuwa wageni akiwemo Brian Egan aliehudumu kwa weledi wa hali ya juu na kwa uaminifu na kuiwezesha empire ya Dangote kuendelea kuchanja mbuga kama kinara cha uwekezaji Afrika...

Mwafrika mwingine tajiri ambae amekuwa akitumia wageni eneo la finances ni Mzimbabwe Strive Masiyiwa ambae ni miongoni mwa matajiri wakubwa Afrika ambae hapa Tanzania anamiliki TV1/Kwese,Raha nk na huko kwingineko ana makampuni lukuki unaweza kumtafuta wiki utamuona..... Huyu tajiri pia pamoja kwamba Chief Group Finance Officer wake ni mwanamama mwafrika lakini hajaacha kuwatumia wahindi ambapo msaidizi wa Finances za group ni Muhindi aitwae Minnesh Ajoodha....

Ukija kwa mzee wetu tajiri Bakhresa utagundua kwenye Finances pia kaweka Wahindi pale...Mfano Mkaguzi wa Hesabu wa ndani wakati fulani aliitwa Suraj Khandelwal sina uhakika kama bado yupo... lakini huyu ndo anakagua kuona usalama wa mapesa hapo Bakhresani...Lakini pia hapo hapo Bakhresa Mhindi mwingine kwa jina CA. AMAN VOHRA yeye ameshahudumu kwenye Idara ya Mapesa kama Mdhibiti Mkuu wa Rasilimali za kampuni.

MTAZAMO WANGU: Naamini kabisa kwa utafiti huu mdogo kwamba inaonekana kabisa kwamba Indians/Wahindi ni watu waaminifu na watu mahiri katika kupangilia expenditure na income kwenye kampuni...kwa hiyo niamini kwamba kama una plan ya kuibukia kwenye mega business hawa jamaa naamini ukiwaajiri kwenye eneo la finances unaweza kutoboa...Nina wasiwasi kwamba kwenye eneo la Uhasibu huenda sie ngozi nyeusi tunakosa uaminifu au tunashindwa kusaidia ukuaji wa businesses!

I stand to be corrected.

Ni kweli na ndio hao hao pia wanaopanga mshahara wa mtu mwenye degree alipwe TZS 311,162 ilhali wao na certificates zao za ABE UK na NCC wakijilipa mamilioni.
 
Sio wote waaminifu sema wao wizi wao sio wakufilisi kama sisi weusi.... Wao ni kama wachina.... Wanahakikisha kila kitu kinaenda safi na kuzalisha faida na wao wanadokoa ziada....wana nenepesha ngombe haswa atoe maziwa mengi naye achote hapo kidogo.... Sio kama sisi tunaiba hadi chakula cha ngombe ... Ngombe anakondeana na maziwa yote yanaisha na mpaka ngombe anakufa.
 
Waulizeni vodacom kilichowakuta baada ya kuwajaza waswahili kwenye department ya finance! Jamaa walipiga milioni 500 za miamala ya mpesa halafu kwenda kuzichukua benki wakaanza kusakiziana mpaka dili likabumbuluka mwisho wa siku walifukuzwa wote wakaajiriwa wahindi department nzima
Kukosa uaminifu ni ugonjwa mkubwa sana kwa baadhi ya watu wetu, ndio sababu hatuaminiki kusimamia bigger projects...baadhi ya vijana inasadikika wanakimbilia kozi za uhasibu wakiwa na mind kwamba wataiba kiurahisi mara watakapoajiriwa.
 
Sio wote waaminifu sema wao wizi wao sio wakufilisi kama sisi weusi.... Wao ni kama wachina.... Wanahakikisha kila kitu kinaenda safi na kuzalisha faida na wao wanadokoa ziada....wana nenepesha ngombe haswa atoe maziwa mengi naye achote hapo kidogo.... Sio kama sisi tunaiba hadi chakula cha ngombe ... Ngombe anakondeana na maziwa yote yanaisha na mpaka ngombe anakufa.
Mkuu ungemalizia TU tusioneane haya,
"Ngombe anaacha kutoa maziwa,chakula chake kinaibwa naye anakufa, alafu kazi/kibarua kina ota nyasi, tunabaki tunapikiga mtaani maana hata tulivyokuwa tunaviiba tumeshavitumbua (kula bata)"
 
kuna sababu nyingine ukiondoa hiyo ya uaminufu.

ni kwamba wahindi wenye elimu ya juu katika fani mbalimbali ni wengi sana huko kwao, hali hii imechangia kuwa na ushindinani mkubwa wa kupata ajira miongoni mwao. baadhi yao hukimbilia afrika kuja kutafuta ajira. hapa ndio matajiri wetu wanapopata nafasi ya kuwaajiri kwa mishahara nafuu

bakhresa na mo dewji wameajiri wahindi wengi sana.

inshort wahindi ni cheap labourers.
fact!!
 
Eneo la Uhasibu Reginald Mengi aliajiri Wahindi ambao wanasifika kusimamia kwa uaminifu mkubwa finances...
Mfano mmoja wapo ni Mhasibu wa IPP FM Srinivas Chitanturi na wengine ambao wapo kwenye chain ya IPP kama wahasibu wakiwemo kule kwenye kampuni ya Maji na viwanda vyake...

Mengi sio tajiri wa kwanza kuwatumia watu wa asili ya Asia/India kusimamia kampuni zao...miongoni mwa matajiri wengine wanaotumia
sana raia hawa wa kigeni ni pamoja na Aliko Dangote ambae amekuwa akiweka Chief Finacial Officers kuwa wageni akiwemo Brian Egan aliehudumu kwa weledi wa hali ya juu na kwa uaminifu na kuiwezesha empire ya Dangote kuendelea kuchanja mbuga kama kinara cha uwekezaji Afrika...

Mwafrika mwingine tajiri ambae amekuwa akitumia wageni eneo la finances ni Mzimbabwe Strive Masiyiwa ambae ni miongoni mwa matajiri wakubwa Afrika ambae hapa Tanzania anamiliki TV1/Kwese,Raha nk na huko kwingineko ana makampuni lukuki unaweza kumtafuta wiki utamuona..... Huyu tajiri pia pamoja kwamba Chief Group Finance Officer wake ni mwanamama mwafrika lakini hajaacha kuwatumia wahindi ambapo msaidizi wa Finances za group ni Muhindi aitwae Minnesh Ajoodha....

Ukija kwa mzee wetu tajiri Bakhresa utagundua kwenye Finances pia kaweka Wahindi pale...Mfano Mkaguzi wa Hesabu wa ndani wakati fulani aliitwa Suraj Khandelwal sina uhakika kama bado yupo... lakini huyu ndo anakagua kuona usalama wa mapesa hapo Bakhresani...Lakini pia hapo hapo Bakhresa Mhindi mwingine kwa jina CA. AMAN VOHRA yeye ameshahudumu kwenye Idara ya Mapesa kama Mdhibiti Mkuu wa Rasilimali za kampuni.

MTAZAMO WANGU: Naamini kabisa kwa utafiti huu mdogo kwamba inaonekana kabisa kwamba Indians/Wahindi ni watu waaminifu na watu mahiri katika kupangilia expenditure na income kwenye kampuni...kwa hiyo niamini kwamba kama una plan ya kuibukia kwenye mega business hawa jamaa naamini ukiwaajiri kwenye eneo la finances unaweza kutoboa...Nina wasiwasi kwamba kwenye eneo la Uhasibu huenda sie ngozi nyeusi tunakosa uaminifu au tunashindwa kusaidia ukuaji wa businesses!

I stand to be corrected.
Mkuu upo sahihi kabisa, pia kuna tajiri mmoja japo ajafikria level za kina Mengi dodoma apo uwanja wa jamhuri anauza material ya ujenzi nae kamweka mhasibu muhindi biashara inazidi kunawiri miaka nenda rudi
 
Hilo laweza kuwa kweli lakini inategemea na malipo unalipwaje, kinachopelekea mtu kuamua kukuibia ni kile unachomlipa, kwenye kampuni nyingi za wahind wanawalipa wahind wenzao mishahara minono wkt waswahil mkipokea mishahara mbuzi.

Unakuta mdosi kaja kuanza kazi anaanza na 2.5M wkt mswahil mwenzangu una miaka zaid ya 2 kazin ndo kwnza umefika kwnye milioni
Dunia ya sasa watu hawaangalii una miaka mingapi kazini wanaangalia ume deliver nini au vipi umefanya value additional ya kazi unayoifanya
 
Waulizeni vodacom kilichowakuta baada ya kuwajaza waswahili kwenye department ya finance! Jamaa walipiga milioni 500 za miamala ya mpesa halafu kwenda kuzichukua benki wakaanza kusakiziana mpaka dili likabumbuluka mwisho wa siku walifukuzwa wote wakaajiriwa wahindi department nzima
Dah, nilikuwa na jiuliza kwanini Vodacom wanapenda kuajiri mabosi wageni kama yule mama mkenya na sasa mmisri, kumbe!
 
Back
Top Bottom