Hili linaweza kuwa hitimisho kwa upande wako, binafsi sijatoa pendekezo lolote kwenye ajira katika eneo nililogusia...ila naamini Wahindi wanalimudu sana eneo hilo.Kwa hiyo tuwaajiri wahindi sana kwenye business zetu, sio watz wenzetu eeenh??
Ni nadharia au tunawezaje kuprove hili kwamba wanalipwa chee!kuna sababu nyingine ukiondoa hiyo ya uaminufu.
ni kwamba wahindi wenye elimu ya juu katika fani mbalimbali ni wengi sana huko kwao, hali hii imechangia kuwa na ushindinani mkubwa wa kupata ajira miongoni mwao. baadhi yao hukimbilia afrika kuja kutafuta ajira. hapa ndio matajiri wetu wanapopata nafasi ya kuwaajiri kwa mishahara nafuu
bakhresa na mo dewji wameajiri wahindi wengi sana.
inshort wahindi ni cheap labourers.
Kwa mtu anaemiliki biashara kubwa kama Dangote angeona hawamfai bila shaka angekuwa ashaachana nao...hata Mkuu wa Uhasibu ambae ndie top boss wa Fedha za Dangote ni Mhindi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wahindi wanampa Tabu Dangote Hatariii
Usemalo ni Kweli ila wanawapa tabu wafrika wenzetu [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mtu anaemiliki biashara kubwa kama Dangote angeona hawamfai bila shaka angekuwa ashaachana nao...hata Mkuu wa Uhasibu ambae ndie top boss wa Fedha za Dangote ni Mhindi.
swadaktaUkiweka jitu jeusi hapo kwanza litakwapua mapato ili likanunue gari [fancy car] au likahonge vibinti vya chekechea na kununua mishkaki.
Ukijumlisha na incompetence yake unapata magunia ya liabilities!
Kampuni zangu zote nawatumia wahindi kwenye eneo hiloEneo la Uhasibu Reginald Mengi aliajiri Wahindi ambao wanasifika kusimamia kwa uaminifu mkubwa finances...
Mfano mmoja wapo ni Mhasibu wa IPP FM Srinivas Chitanturi na wengine ambao wapo kwenye chain ya IPP kama wahasibu wakiwemo kule kwenye kampuni ya Maji na viwanda vyake...
Mengi sio tajiri wa kwanza kuwatumia watu wa asili ya Asia/India kusimamia kampuni zao...miongoni mwa matajiri wengine wanaotumia
sana raia hawa wa kigeni ni pamoja na Aliko Dangote ambae amekuwa akiweka Chief Finacial Officers kuwa wageni akiwemo Brian Egan aliehudumu kwa weledi wa hali ya juu na kwa uaminifu na kuiwezesha empire ya Dangote kuendelea kuchanja mbuga kama kinara cha uwekezaji Afrika...
Mwafrika mwingine tajiri ambae amekuwa akitumia wageni eneo la finances ni Mzimbabwe Strive Masiyiwa ambae ni miongoni mwa matajiri wakubwa Afrika ambae hapa Tanzania anamiliki TV1/Kwese,Raha nk na huko kwingineko ana makampuni lukuki unaweza kumtafuta wiki utamuona..... Huyu tajiri pia pamoja kwamba Chief Group Finance Officer wake ni mwanamama mwafrika lakini hajaacha kuwatumia wahindi ambapo msaidizi wa Finances za group ni Muhindi aitwae Minnesh Ajoodha....
Ukija kwa mzee wetu tajiri Bakhresa utagundua kwenye Finances pia kaweka Wahindi pale...Mfano Mkaguzi wa Hesabu wa ndani wakati fulani aliitwa Suraj Khandelwal sina uhakika kama bado yupo... lakini huyu ndo anakagua kuona usalama wa mapesa hapo Bakhresani...Lakini pia hapo hapo Bakhresa Mhindi mwingine kwa jina CA. AMAN VOHRA yeye ameshahudumu kwenye Idara ya Mapesa kama Mdhibiti Mkuu wa Rasilimali za kampuni.
MTAZAMO WANGU: Naamini kabisa kwa utafiti huu mdogo kwamba inaonekana kabisa kwamba Indians/Wahindi ni watu waaminifu na watu mahiri katika kupangilia expenditure na income kwenye kampuni...kwa hiyo niamini kwamba kama una plan ya kuibukia kwenye mega business hawa jamaa naamini ukiwaajiri kwenye eneo la finances unaweza kutoboa...Nina wasiwasi kwamba kwenye eneo la Uhasibu huenda sie ngozi nyeusi tunakosa uaminifu au tunashindwa kusaidia ukuaji wa businesses!
I stand to be corrected.
sijasema wanalipwa cheee, nimesema huwa wakija huku kwetu huwa wanalipwa mishahara "nafuu".Ni nadharia au tunawezaje kuprove hili kwamba wanalipwa chee!
hahaha bila kusahau zingine kununulia maandaziUkiweka jitu jeusi hapo kwanza litakwapua mapato ili likanunue gari [fancy car] au likahonge vibinti vya chekechea na kununua mishkaki.
Ukijumlisha na incompetence yake unapata magunia ya liabilities!
Hatuwezi kuwatumia pale hazina?Kwa hiyo tuwaajiri wahindi sana kwenye business zetu, sio watz wenzetu eeenh??
Na kuongeza majike ndani ya nyumba. [nyumba yenyewe ya kupanga]hahaha bila kusahau zingine kununulia maandazi