Kwanini Membe na Nape wanaweza kuwa tishio la CCM mikoa ya Kusini?

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,428
Habari kutoka ndani ya chama Cha mapinduzi zinaeleza kuwa wameshindwa kudeal na wakongwe hawa wa siasa za kusini kutokana na namna wanakusini walivyowaweka moyoni na kwa kuzingatia pia namna wanakusini wanavyoteswa na serikali hawamu mbalimbali za CCM.

Ukimkata Nape unatonesha kifonda cha gesi na korosho, Bora nape awasaidie kusini kuliko kumkata alafu mkategemea sanduku la kura chini ya ulinzi wa Tume na polisi.

Wale waliodhani yupo wa kumkata Nape 2020 na kwamba atajiunga upinzani andikeni maumivu, chama kimepanga kwenda na nape 2020 kupunguza nguvu ya Membe kwenye harakati za Urais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu mkubwa kuliko ccm
Kuna mtu alikua anatisha kama Lowassa?
Wakati anatembeza fomu ya kutafuta wadhamini lile nyomi na mafuriko na mikwara ya wapambe lakini alikatwa,na waliomtetea hadharani walishughulikiwa vizuri tu
Nape na Membe ni watu wadogo sana huko kusini
 
Lowasa nguvu kubwa ya pesa iliongeza hamasa
Je hawa wanayo hiyo nguvu
Maama bila pesa hakuna nguvu ya sapoti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu mkubwa kuliko ccm
Kuna mtu alikua anatisha kama Lowassa?
Wakati anatembeza fomu ya kutafuta wadhamini lile nyomi na mafuriko na mikwara ya wapambe lakini alikatwa,na waliomtetea hadharani walishughulikiwa vizuri tu
Nape na Membe ni watu wadogo sana huko kusini
ENDELEA KUJIFARIJI,CHEZEA MUZIKI WA MBOBEZI WEWE!! TIME WILL TELL.ANGALIA VUVUZELA MUSIBA ANAVYOHANGAIKA KUWACHAFUA.HAVE YOU EVER ASKED REASON BEHIND??? STAY TUNED !!
 
Wacha weee..........burudani murua ya kuanzia mwaka ................weita leta nyingine.
 
Hakuna mtu mkubwa kuliko ccm
Kuna mtu alikua anatisha kama Lowassa?
Wakati anatembeza fomu ya kutafuta wadhamini lile nyomi na mafuriko na mikwara ya wapambe lakini alikatwa,na waliomtetea hadharani walishughulikiwa vizuri tu
Nape na Membe ni watu wadogo sana huko kusini
Hakika hajawahi tokea kma Lowasa,aliogopeka kila upande, CCM na upinzani pia...Nape ni chalii mdogo sana
 
Habari kutoka ndani ya chama Cha mapinduzi zinaeleza kuwa wameshindwa kudeal na wakongwe hawa wa siasa za kusini kutokana na namna wanakusini walivyowaweka moyoni na kwa kuzingatia pia namna wanakusini wanavyoteswa na serikali hawamu mbalimbali za CCM.Ukimkata nape unatonesha kifonda Cha gesi na korosho, Bora nape awasaidie kusini kuliko kumkata alafu mkategemea sanduku la kura chini ya ulinzi wa Tume na polisi.

Wale waliodhani yupo wa kumkata Nape 2020 na kwamba atajiunga upinzani andikeni maumivu, chama kimepanga kwenda na nape 2020 kupunguza nguvu ya Membe kwenye harakati za Urais.

Sent using Jamii Forums mobile app
Just another crap, nobody buys it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BENEFICIARY MOST THE TIME ARE INCAPABLE OF REASONING,NAMNA YA KUONA VITU INAISHIA KWENYE NCHA YA PUA.
POLE SANA MNUFAIKA.
Mkuu wewe ndo reasoning yako ipo very low, mtu yeyote anayeamini 2020 MEMBE anaweza kuwa raisi wa nchi hii, aidha hajui siasa za nchi hii(Mgeni) au anaendeshwa na mahaba ya matamanio.Jifunze kuukubali ukweli ili uongeze bidii kwenye shughuli zako uache kuota, MEMBE sio 2020 tu hata 2025 hawezi kuja kuwa raisi wa nchi hii. Hiyo ndio hali halisi, ila unaruhusiwa kuendelea kuota na kujidanganya ukijipa moyo, ni haki yako ya msingi pia.
 
Umemaliza kila kitu, sujui nini kimewasibu baadhi watu mpaka wakawaza kua Membe anaweza kushinda 2020. Ccm ya sasa hivi Membe ni mwanachama wa kawaida kabisa tofauti na sisi wengine ni kua yeye amewahi kua mwanachama mwandamizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe ndo reasoning yako ipo very low, mtu yeyote anayeamini 2020 MEMBE anaweza kuwa raisi wa nchi hii, aidha hajui siasa za nchi hii(Mgeni) au anaendeshwa na mahaba ya matamanio.Jifunze kuukubali ukweli ili uongeze bidii kwenye shughuli zako uache kuota, MEMBE sio 2020 tu hata 2025 hawezi kuja kuwa raisi wa nchi hii. Hiyo ndio hali halisi, ila unaruhusiwa kuendelea kuota na kujidanganya ukijipa moyo, ni haki yako ya msingi pia.
FALLACY OF GENERALIZATION , FALLACY OF IGNORANTIO
 
Back
Top Bottom