Gesi Mtwara si ajenda ya kisiasa na wana kusini wapo kimya kuangalia nini hatima yake

THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,965
Likes
1,932
Points
280
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,965 1,932 280
Hii iwafikie wale wote wanaokuja kwa lugha za kejeli na matusi ya kila aina,

Wapo wanasema kwa kejeli kwamba INATOKA AU HAITOKI??,,mbona mmegeleza na sasa inatoka??

Wapo wanaosema ya kwamba CCM imeeleweka na wanakusini wamesalit amri kwao,hilo tunaliona na kuliskia,

Wapo wanaosema kwamba kwa kichapo cha JWTZ na kununulika kwa baadhi ya wale waliokawa wana advocate violence ndio kumepelekea hali hiyo ya ukimya wa hali ya juu na kadhalika,yapo mengi sana yanasemwa,mengi yao yakiwemo ni matusi na kejeli,

Wapo wanaodhani ya kwamba wengine tulikuwa tunatumia suala la gesi bila kuwa na maono au kwa kutafuta umaarufu..!!Eti kutafuta umaarufu..!!,,sasa umaarufu unatafutwa JF??TENA KWA ID ILIYOJIFICHA NYUMA YA KEYBOARD??,,vichekesho..,ila pamoja na hayo na mengineyo mengi,sisi kama wanakusini tunajua tunachokisimamia.

1.Ajenda ya Gesi tokea awali tunasema wazi kabisa haikuwa na haiwez kuwa ni ajenda ya kisisiasa,tokea kuanza kwa harakati hizi jambo hili liliwekwa wazi kwa kuwaonya wanasiasa wasije kuidandia hoja hii kwa maslahi na manufaa yao ya kisiasa na kutafuta umaarufu,

Misimamo yetu ilikuwa wazi kabisa gesi kwanza siasa baadae,gesi kwanza vyma baadae,gesi kwa maslahi ya taifa na kadhalika.

2.Ajenda ya gesi haikuwa na haiwez kuwa ni ajenda ya kikanda na kikabila,ikumbukwe kwamba wana kusini walipokawa na wanapokuwa wanapigania ajenda hii,hawapiganii kwa maslahi ya kusini pekee au maslahi ya makabila yao,wanapigania ajenda hii kwa maslahi ya kitaifa ili madudu yaliyofanywa kwenye rasilimali zingine yasijirudie katika rasilimali gesi ili taifa kwa ujumla lione na lipate kunufaika kwa kizazi hiki na cha baadae,kila mtu ni shahid namna ambavyo CCM na baadhi yao walivoliingiza taifa hili kwenye mikataba mibovu huko nyuma katika rasilimali mbali mbali.

3.Katika Ajenda gesi tuliona muuunganyiko wa vikundi mbali mbali,vya wanaharakati wa asasi za kirai kama sisi,madhehebu mbali mbali ya dini,tuliona shura ya maimamu,na jumuiya za makanisa ya pentekoste na jumuiya mbali mbali za iman hiyo kuungana pamoja na kutoa misimamo yao,tumeona makundi ya wazee,wanawake,vijana na watoto katika ajenda ile,hiyo yote na kuwathibitishia kwamba ni ajenda iliyochukua utaifa.

Kama hiyo haitoshi,wana kusini katika harakati zetu tulikuwa hatuandamani au hatugomi bila sababu maalum,au tulikuwa hatugomi kwa ajili ya ushawish wa wanasiasa kwa maslahi ya matumbo yao,tulikuwa tunagoma kwa maslahi ya taifa ndio kwa maana mmeona hadi watu wa jinsia na dini mbali mbali wamepoteza uhai na mali zao,HIYO NI KWA MASLAHI YA TAIFA HILI KWA UJUMLA.

Ilifikia kipindi hadi serikali ilishindwa na kuamua ku-deploy jesho kuja kupambana na wananchi wa kusini,hiyo ni kuonesha ni kwa namna gani wana kusin walivyo imara na walivyojitoa katika kupigania rasilimali kwa maslahi ya taifa..

Mimi si msemaji wa watu wa kusini,mimi ni miongoni mwa wana kusini ambae ni mkereketwa na hali ya kusini na UOZO WA SERIKALI YA CCM ULIOUFANYA KWA WANAKUSINI KWA MIAKA MINGI KWA KUWA WANAKUSINI WENYEWE WALIAMUA EITHER KWA KUONGOPEWA AU KULAGHAIWA,WALIAMUA KUWAPA CCM NAFASI YA KWANZA,HUKU CCM IKIWAPA WANA KUSINI NAFASI YA MWISHO,LAKINI HILO KWA SASA KILA MWANA KUSINI ANAJUA MCHAWI WAKE NI WANASIASA KAMA HAWA CCM,NA SIYO CCM PEKEE,WANAKUSINI KWA SASA HAWANA IMAN NA WANASIASA,IMAN PEKEE YA WANA KUSINI IMEBAKIA KWAO WAO WENYEWE NAFSINI MWAO,HAKUNA WANAEMUAMIN ISIPOKUWA WAO WENYEWE,NA KUSINI ITAPIGANIWA NA WANAKUSINI WENYEWE,

Sasa wale wanaosema kwamba wengine sijui tumenunuliwa,wengine tumepigwa thats why tupo kimya,wengine wale wanaokejeli na kadhalika,

JIBU NI KWAMBA;

Hoja zetu zimeshasikika kwa serikali na taifa kwa ujumla.ilifikia hadi kuundwa kwa kamati teule ya bunge kuja kuwaskilza wanakusini maoni yao na madai yao na kuyapeleka serikalini,

Sisi wanakusini sio wapuuz wa maandamano yasiyo na tija,hatuwez kuwa wapuuz tuache kufanya shughuli zetu na kushinda kwenye maandamano ambayo hoja zetu zimeshasikika na kuifanya kusini yetu isiwe ni sehemu njema ya kuish kama huko arusha,

Sisi tulichokifanya ni kupiga kimya na kuangalia utekelezaji wa yale tuliyoyainisha,wakikiuka kwan kuna tatizo??hiii miundombinu ya mabomba ya ges si ipo??kwan inapita angani hii??kwan wanaweza kuweka walinz miaka yote na njia yote from mtwara to dsm??

Wakituhujumu na sisi tutahujumu,its very simple,

Tumekaa kimya kuangalia kwa umakini nini watakifanya na nin plan yao,muda huu ndio unakwenda,2014 ndio hii inaingia zipo namna nyingi za kuiadhibu CCM na serikali yake kwa kuanzia kwenye sanduku la kura hadi mtaani,na wakae wakitambua kwamba watu hawajaamua kukaa kimya eti kwa sababu ya JWTZ,wameamua kukaa kimya kuangalia utekelezaji kwani kama SHIDA TUMEWAPA SHIDA SANA NA WENYEWE WANALITAMBUA HILO..

ANGALIZO,

BISHOW SIO MWANASIASA,NA SIO MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA,NA HANA BEI WALA PRICE TAG,THATS WHY W ID HII INASIMAMA WIMA KILA SEHEMU NA BILA WOGA KUWATUKANA MAFISADI WA CCM NA KUWATUKANA HATA WALE WANAOJIFANYA WANA DEMOKRASIA,HUKU WAKIENDELEZA DEMOKRASIA UCHWARA YA KUENDEKEZA UDINI,UKANDA NA UKABILA.
WALE WANAODHANI YA KWAMBA SISI TUTAACHA KUWEKA UTAIFA MBELE NA KUKUMBATIA BUTI ZA WANASIASA WAJUE FIKA KWAMBA SISI HATUNA NJAA NA HATUNA CHA KUTUMAIN KWA WANA SIASA,SISI TUPO KWA AJILI YA TAIFA LETU.

SO,TUTASEMA LOLOTE LILE,ILI MRADI TUNAONA LINA MANUFAA KWA TAIFA LETU.

KUSINI ITAPIGANIWA NA WANAKUSINI WENYEWE,NA SIO WANA SIASA,AJENDA YA GESI YA KUSINI NI YA KITAIFA,NA SIYO YA KIKANDA,KIDNI NA KIKABILA,

SALAM ZIWAFIKIE MAFISADI WA CCM,INSHA ALLAH TUTAKUTANA KWENYE UCHAGUZ WA SERIKALI ZA MITAA 2014 KATIKA MAANDALIZ YA KUELEKEA 2015.,ADHABU ZITAANZAIA HAPO RASMI
Nape Nnauye Sizinga kiwatengu Nguruvi3 Ngongo Ritz EMT Mzee Mwanakijiji MSALANI BAVICHA,VIJANA WA BUKU 7 WOTE KUTOKA LUMUMBA,NA WANA JF WOTE KWA UJUMLA.
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,965
Likes
1,932
Points
280
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,965 1,932 280
Ukweli uendelee kusimama hivyo kama uivyo
 
T

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Messages
1,021
Likes
600
Points
280
Age
32
T

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2013
1,021 600 280
Pamoja sana The Big Show! Simamia UKWELI DAIMA.

Kweli itashinda kesho, kama leo haitoshi
Kweli haigopi, tisho, wala nguvu za majeshi
la uongo lina mwisho, namna tunavyoishi!
 
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
7,257
Likes
5,353
Points
280
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
7,257 5,353 280
Tumekaa kimya kuangalia kwa umakini nini watakifanya na nin plan yao,muda huu ndio unakwenda,2014 ndio hii inaingia zipo namna nyingi za kuiadhibu CCM na serikali yake kwa kuanzia kwenye sanduku la kura hadi mtaani,na wakae wakitambua kwamba watu hawajaamua kukaa kimya eti kwa sababu ya JWTZ,wameamua kukaa kimya kuangalia utekelezaji kwani kama SHIDA TUMEWAPA SHIDA SANA NA WENYEWE WANALITAMBUA HILO..

!
!
!
unaangalia kitu gani mkuu hao hawanaga plan yoyote ile, hiyo ilikuwa ni fire brigade technique kwa hiyo usitegeme lolote....kama kweli wewe ni big show just give em a chop slam
!
!
kuiadhibu selikali ya ccm ni ndoto, they wont let you. Kwa sababu watakwambia usifanye hiki na wewe utafanya matokeo yake watakupiga tu, maana hawatakuwa na namna nyingine. Na lazima tukubaliane kwamba nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya kiimla.
!
!
sanduku la kura????unaumwa wewe,.....unaijua tume ya uchaguzi wewe!chezea tume wewe, wanachakachua hadi majina ya marehemu..we unasema kitu gani wewe?
!
!
mmewapa shida wakati watu wanalipwa allowance zao za kila siku!?
!
!
!
sikia Bigshow, mtwara kifupi mmeshachemsha,mlisema haitoki hata kwa bomba la peni.....sasa inatoka kwa mabomba ya upana wa kukupitisha hata wewe mwenyewe bigshow........nyambafu nyie inatoka na hamna lolote la kufanya. Mmefyata mkia
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,137
Likes
1,766
Points
280
Age
48
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,137 1,766 280
Bangi za asubuhi mbaya.
 
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
8,161
Likes
769
Points
280
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2007
8,161 769 280
Umesomeka mkuu! ! Kimya kingikina mshindo mkuu wasionielewa waje kuwauliza askari polisiwa Mtwara, wanalitambua vema .
 
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
8,161
Likes
769
Points
280
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2007
8,161 769 280
Umesomeka mkuu! ! Kimya kingikina mshindo mkuu wasionielewa waje kuwauliza askari polisiwa Mtwara, wanalitambua vema . We keepon watching! !
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,965
Likes
1,932
Points
280
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,965 1,932 280
Siku zote msiwatumain sana wanasiasa,iman ianzie kwanza kwa wenyewe wananchi,wanasiasa vigeugeu
 
MZEE WA ROCK

MZEE WA ROCK

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
623
Likes
2
Points
35
Age
66
MZEE WA ROCK

MZEE WA ROCK

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2011
623 2 35
yaani ww jamaa ni mnafiki sana sijawahi kuona pahali, ulaaniwe
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,965
Likes
1,932
Points
280
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,965 1,932 280
Hii iwafikie wale wote wanaokuja kwa lugha za kejeli na matusi ya kila aina,

Wapo wanasema kwa kejeli kwamba INATOKA AU HAITOKI??,,mbona mmegeleza na sasa inatoka??

Wapo wanaosema ya kwamba CCM imeeleweka na wanakusini wamesalit amri kwao,hilo tunaliona na kuliskia,

Wapo wanaosema kwamba kwa kichapo cha JWTZ na kununulika kwa baadhi ya wale waliokawa wana advocate violence ndio kumepelekea hali hiyo ya ukimya wa hali ya juu na kadhalika,yapo mengi sana yanasemwa,mengi yao yakiwemo ni matusi na kejeli,

Wapo wanaodhani ya kwamba wengine tulikuwa tunatumia suala la gesi bila kuwa na maono au kwa kutafuta umaarufu..!!Eti kutafuta umaarufu..!!,,sasa umaarufu unatafutwa JF??TENA KWA ID ILIYOJIFICHA NYUMA YA KEYBOARD??,,vichekesho..,ila pamoja na hayo na mengineyo mengi,sisi kama wanakusini tunajua tunachokisimamia.

1.Ajenda ya Gesi tokea awali tunasema wazi kabisa haikuwa na haiwez kuwa ni ajenda ya kisisiasa,tokea kuanza kwa harakati hizi jambo hili liliwekwa wazi kwa kuwaonya wanasiasa wasije kuidandia hoja hii kwa maslahi na manufaa yao ya kisiasa na kutafuta umaarufu,

Misimamo yetu ilikuwa wazi kabisa gesi kwanza siasa baadae,gesi kwanza vyma baadae,gesi kwa maslahi ya taifa na kadhalika.

2.Ajenda ya gesi haikuwa na haiwez kuwa ni ajenda ya kikanda na kikabila,ikumbukwe kwamba wana kusini walipokawa na wanapokuwa wanapigania ajenda hii,hawapiganii kwa maslahi ya kusini pekee au maslahi ya makabila yao,wanapigania ajenda hii kwa maslahi ya kitaifa ili madudu yaliyofanywa kwenye rasilimali zingine yasijirudie katika rasilimali gesi ili taifa kwa ujumla lione na lipate kunufaika kwa kizazi hiki na cha baadae,kila mtu ni shahid namna ambavyo CCM na baadhi yao walivoliingiza taifa hili kwenye mikataba mibovu huko nyuma katika rasilimali mbali mbali.

3.Katika Ajenda gesi tuliona muuunganyiko wa vikundi mbali mbali,vya wanaharakati wa asasi za kirai kama sisi,madhehebu mbali mbali ya dini,tuliona shura ya maimamu,na jumuiya za makanisa ya pentekoste na jumuiya mbali mbali za iman hiyo kuungana pamoja na kutoa misimamo yao,tumeona makundi ya wazee,wanawake,vijana na watoto katika ajenda ile,hiyo yote na kuwathibitishia kwamba ni ajenda iliyochukua utaifa.

Kama hiyo haitoshi,wana kusini katika harakati zetu tulikuwa hatuandamani au hatugomi bila sababu maalum,au tulikuwa hatugomi kwa ajili ya ushawish wa wanasiasa kwa maslahi ya matumbo yao,tulikuwa tunagoma kwa maslahi ya taifa ndio kwa maana mmeona hadi watu wa jinsia na dini mbali mbali wamepoteza uhai na mali zao,HIYO NI KWA MASLAHI YA TAIFA HILI KWA UJUMLA.

Ilifikia kipindi hadi serikali ilishindwa na kuamua ku-deploy jesho kuja kupambana na wananchi wa kusini,hiyo ni kuonesha ni kwa namna gani wana kusin walivyo imara na walivyojitoa katika kupigania rasilimali kwa maslahi ya taifa..

Mimi si msemaji wa watu wa kusini,mimi ni miongoni mwa wana kusini ambae ni mkereketwa na hali ya kusini na UOZO WA SERIKALI YA CCM ULIOUFANYA KWA WANAKUSINI KWA MIAKA MINGI KWA KUWA WANAKUSINI WENYEWE WALIAMUA EITHER KWA KUONGOPEWA AU KULAGHAIWA,WALIAMUA KUWAPA CCM NAFASI YA KWANZA,HUKU CCM IKIWAPA WANA KUSINI NAFASI YA MWISHO,LAKINI HILO KWA SASA KILA MWANA KUSINI ANAJUA MCHAWI WAKE NI WANASIASA KAMA HAWA CCM,NA SIYO CCM PEKEE,WANAKUSINI KWA SASA HAWANA IMAN NA WANASIASA,IMAN PEKEE YA WANA KUSINI IMEBAKIA KWAO WAO WENYEWE NAFSINI MWAO,HAKUNA WANAEMUAMIN ISIPOKUWA WAO WENYEWE,NA KUSINI ITAPIGANIWA NA WANAKUSINI WENYEWE,

Sasa wale wanaosema kwamba wengine sijui tumenunuliwa,wengine tumepigwa thats why tupo kimya,wengine wale wanaokejeli na kadhalika,

JIBU NI KWAMBA;

Hoja zetu zimeshasikika kwa serikali na taifa kwa ujumla.ilifikia hadi kuundwa kwa kamati teule ya bunge kuja kuwaskilza wanakusini maoni yao na madai yao na kuyapeleka serikalini,

Sisi wanakusini sio wapuuz wa maandamano yasiyo na tija,hatuwez kuwa wapuuz tuache kufanya shughuli zetu na kushinda kwenye maandamano ambayo hoja zetu zimeshasikika na kuifanya kusini yetu isiwe ni sehemu njema ya kuish kama huko arusha,

Sisi tulichokifanya ni kupiga kimya na kuangalia utekelezaji wa yale tuliyoyainisha,wakikiuka kwan kuna tatizo??hiii miundombinu ya mabomba ya ges si ipo??kwan inapita angani hii??kwan wanaweza kuweka walinz miaka yote na njia yote from mtwara to dsm??

Wakituhujumu na sisi tutahujumu,its very simple,

Tumekaa kimya kuangalia kwa umakini nini watakifanya na nin plan yao,muda huu ndio unakwenda,2014 ndio hii inaingia zipo namna nyingi za kuiadhibu CCM na serikali yake kwa kuanzia kwenye sanduku la kura hadi mtaani,na wakae wakitambua kwamba watu hawajaamua kukaa kimya eti kwa sababu ya JWTZ,wameamua kukaa kimya kuangalia utekelezaji kwani kama SHIDA TUMEWAPA SHIDA SANA NA WENYEWE WANALITAMBUA HILO..

ANGALIZO,

BISHOW SIO MWANASIASA,NA SIO MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA,NA HANA BEI WALA PRICE TAG,THATS WHY W ID HII INASIMAMA WIMA KILA SEHEMU NA BILA WOGA KUWATUKANA MAFISADI WA CCM NA KUWATUKANA HATA WALE WANAOJIFANYA WANA DEMOKRASIA,HUKU WAKIENDELEZA DEMOKRASIA UCHWARA YA KUENDEKEZA UDINI,UKANDA NA UKABILA.
WALE WANAODHANI YA KWAMBA SISI TUTAACHA KUWEKA UTAIFA MBELE NA KUKUMBATIA BUTI ZA WANASIASA WAJUE FIKA KWAMBA SISI HATUNA NJAA NA HATUNA CHA KUTUMAIN KWA WANA SIASA,SISI TUPO KWA AJILI YA TAIFA LETU.

SO,TUTASEMA LOLOTE LILE,ILI MRADI TUNAONA LINA MANUFAA KWA TAIFA LETU.

KUSINI ITAPIGANIWA NA WANAKUSINI WENYEWE,NA SIO WANA SIASA,AJENDA YA GESI YA KUSINI NI YA KITAIFA,NA SIYO YA KIKANDA,KIDNI NA KIKABILA,

SALAM ZIWAFIKIE MAFISADI WA CCM,INSHA ALLAH TUTAKUTANA KWENYE UCHAGUZ WA SERIKALI ZA MITAA 2014 KATIKA MAANDALIZ YA KUELEKEA 2015.,ADHABU ZITAANZAIA HAPO RASMI
Nape Nnauye Sizinga kiwatengu Nguruvi3 Ngongo Ritz EMT Mzee Mwanakijiji MSALANI BAVICHA,VIJANA WA BUKU 7 WOTE KUTOKA LUMUMBA,NA WANA JF WOTE KWA UJUMLA.

Ni jambo lenye maana kubwa,kusimamia haki zenu...

Haki huwa haipotei,hucheleweshwa tuh sometimes
 
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
14,823
Likes
3,874
Points
280
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
14,823 3,874 280
Umesomeka mkuu! ! Kimya kingikina mshindo mkuu wasionielewa waje kuwauliza askari polisiwa Mtwara, wanalitambua vema . We keepon watching! !
they will see more actions kama hawatatekeleza yale wananchi wanayoyataka.

Kuna watu tumekaa kimya kusikilizia utekelezaji! mkuu Sizinga amini kuna watu wenye akili and they are ready for sacrifices kwa faida ya future generation..
 
Last edited by a moderator:
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
8,161
Likes
769
Points
280
Sizinga

Sizinga

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2007
8,161 769 280
they will see more actions kama hawatatekeleza yale wananchi wanayoyataka.

Kuna watu tumekaa kimya kusikilizia utekelezaji! mkuu Sizinga amini kuna watu wenye akili and they are ready for sacrifices kwa faida ya future generation..
Pamoja mkuu!! Mi huwa nina mengi yakusema lakini naona hapa JF kama kwa sasa hapako sawa!!
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,965
Likes
1,932
Points
280
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,965 1,932 280
Umesomeka mkuu! ! Kimya kingikina mshindo mkuu wasionielewa waje kuwauliza askari polisiwa Mtwara, wanalitambua vema . We keepon watching! !

Pamoja sana Mkuu Sizinga
 
Forum statistics

Threads 1,236,007
Members 474,928
Posts 29,243,293