Kwanini mchina hajatengeneza clone za iphone zenye ios

Kwanini mchina hajatengeneza clone za iphone zenye ios

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
Naona mchina ametengeneza clones Za almost simu zote kubwa, lakini swali langu ni kwanini akitengeneza clone za iphone anaziwekea android badala ya ios wakati ios iko online anaweza kuipata bure akaweka.
 
wakati ios iko online anaweza kuipata bure akaweka.

Apple siku zote wanafanya restriction na wana work hard ku squeez performance ya iOS kwenye divice ambazo hazitumii hardware zao.
Ukichukua iOS ukaeka kwenye simu isiyotumia apple hardware utaona madudu tu, nibora uka mask android os with iOS appearance.
 
1. ios sio open source hivyo hupewi vitu kirahisi kama android so itabidi uhack mwenyewe

2. simu pekee duniani ambayo waliport ios ni nokia n900 tu, tena wameport bila graphical user interface

ili kuport ios/mac inabidi kwanza uport darwin ambayo ndio foundation ya os za apple.

sababu apple ameenda custom design kwenye chip zake za A series itakuwa ngumu kwa developer kuport ios kwenye chip za sasa za android kama exynos/snapdragon

soma zaid hapa unaweza pata idea
Darwin/ARM running on a Nokia N900 - maemo.org - Talk
 
Back
Top Bottom