Kwanini MC Mpilipili anapenda sana Kumuanika hovyo na kumsifia Mke wake kuliko Watu wengi maarufu nchini Tanzania?

Shida kubwa naona hapo ni kutokuamini kama nayeye ameweza kumiliki mwanamke mzuri...

Na ndiyo maana unaona Sisi tunahitimisha kwa Kusema kuwa Jamaa ( MC Pilipili ) ni Mtindiga ( Mshamba ) sana tu. Hajui kuwa Mwanamke hasa wa Kitanzania hana Dhamana!
 
Laiti waoaji wote wangekua kama mc pilipili...tusio na ndoa tungepata tabu sana..
Mwambieni huyu kijana afiche ulimbukeni wake,hajazaliwa na hiyo Dada wala haijaandikwa watapaa wore kuelekea mbinguni.kuna kuachana
Na pia aombe sana asiporomoke kimaisha maana mjini anaishi kwa ujanjaujanja tu na kampata akiwa kafanikiwa.
 
Kuna Siku atakuja Kulia mno pale Wahuni watakapopita nae Mkewe. Na labda nimtahadharishe tu MC Mpilipili kwamba kama Yeye aliweza Kumtongoza na Kumuhadaa huyo Mkewe Philomena basi wapo Watoto wa Mjini vile vile ambao nao wanaweza Kuingiza Voko zao kwa Mkewe na wakamkanyagia tena hata kuliko anavyomkanyaga Yeye na huyo Mkewe akaanza Kumdharau.

Kuna Mwanasaikolojia Mmoja aliwahi Kuniambia kuwa ukiona Mwanaume anapenda mno ama Kumsifia au Kumuonyesha onyesha Mkewe jua anajihami na kuna Udhaifu mkubwa ambao anao hivyo anajaribu Kuuficha kwa Kuonyesha anapenda Kuliko Mkewe.

Pia Mwanasaikolojia huyo huyo alienda mbele zaidi na kuniambia kwamba ukiona Mwanaume anapenda sana Kumsifia au Kumuonyesha onyesha Mkewe jua ama ana Ushamba fulani au Makuzi yake yalikuwa ni Kukua akiwa chini ya Himaya ya Wadada ( Wanawake )

Mwanaume Rijali huwa hana Upuuzi wa aina hii kwani Mkeo ni Mali yako na siyo Mali ya Watanzania unaowatambia.

Tuacheni Utindiga ( Ushamba )
hapo hakuna cha kumsifia ni kwamba mitandao ya kijamii inaharibu sana watu, hapo anataka ku trend tu mitandaoni na masifa ya kipuuzi na ushamba wake tu. vijana wa skuiz wanaongozwa na mitandao tu. ila nilisikia kwa watu flani kuwa watu wafupi ndivyo walivyo
 
Laiti waoaji wote wangekua kama mc pilipili...tusio na ndoa tungepata tabu sana..
Mwambieni huyu kijana afiche ulimbukeni wake,hajazaliwa na hiyo Dada wala haijaandikwa watapaa wore kuelekea mbinguni.kuna kuachana
Na pia aombe sana asiporomoke kimaisha maana mjini anaishi kwa ujanjaujanja tu na kampata akiwa kafanikiwa.

Kama kuna Comment ambayo ni muhimu na nzito ambayo MC Pilipili anatakiwa afowadiwe upesi na sasa hivi ili aione basi ni hii yako Kiongozi kwani hapa umemaliza kila Kitu na umepiga mule mule.
 
Jamani eeeh ni mkewe, acha amsifie. Kwani wengine wasiposifia wake zao basi ndio formula kwamba kila mtu aitumie?
Muacheni aringie chake, mke mwenyewe mzuri why asimsifie?

Acha wivu mkuu, we waombee mema tu na ndoa yao ikadumu na wawe na furaha na amani kama waliyo nayo sasa hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom