Kwanini MC Mpilipili anapenda sana Kumuanika hovyo na kumsifia Mke wake kuliko Watu wengi maarufu nchini Tanzania?

Kuna Siku atakuja Kulia mno pale Wahuni watakapopita nae Mkewe. Na labda nimtahadharishe tu MC Mpilipili kwamba kama Yeye aliweza Kumtongoza na Kumuhadaa huyo Mkewe Philomena basi wapo Watoto wa Mjini vile vile ambao nao wanaweza Kuingiza Voko zao kwa Mkewe na wakamkanyagia tena hata kuliko anavyomkanyaga Yeye na huyo Mkewe akaanza Kumdharau.

Kuna Mwanasaikolojia Mmoja aliwahi Kuniambia kuwa ukiona Mwanaume anapenda mno ama Kumsifia au Kumuonyesha onyesha Mkewe jua anajihami na kuna Udhaifu mkubwa ambao anao hivyo anajaribu Kuuficha kwa Kuonyesha anapenda Kuliko Mkewe.

Pia Mwanasaikolojia huyo huyo alienda mbele zaidi na kuniambia kwamba ukiona Mwanaume anapenda sana Kumsifia au Kumuonyesha onyesha Mkewe jua ama ana Ushamba fulani au Makuzi yake yalikuwa ni Kukua akiwa chini ya Himaya ya Wadada ( Wanawake )

Mwanaume Rijali huwa hana Upuuzi wa aina hii kwani Mkeo ni Mali yako na siyo Mali ya Watanzania unaowatambia.

Tuacheni Utindiga ( Ushamba )
Mwanasaikolojia huyo huyo anasema ukiona mtu anmficha mke wake, hatembei naye barabarani wala outing, hamposti insta na fb, hamuweki status wala kumuongelea, ujue huyo mke si mzuri, hajiamini, anajutia kumuoa, ni valu-valu na anajuta sana kuoa huyo sema dini inamzuia kubadili maamuzi .
Wanaishi kusukuma maisha.
 
hao wahuni ni akina nani?wanaume wa kinondoni? wabana suruali, boxer nje?
wahuni wapo Moshi huko, wana apolo mere
Kwa jinsi ninavyowajua Watanzania walivyokuwa Wahuni Asilia pamoja na kwamba Demu wangu ni mbaya Kuliko ila nikimuanika tu Mitandaoni watapita nae hivyo hivyo. Wahuni si Watu Kiongozi.
rani, acheni ujinga eti vivulana vya dar mnaviita wahuni?
watu wanakimbizwa na panya road mnamwita mhuni?
 
Hilo la Yeye Kujiua pale akija Kujua Wahuni wanapita na Mkewe Philomena naliona na natabiri litakuja kutokea Mkuu. MC Pilipili ananikumbusha Tajiri Mmoja hivi nchini Tanzania ambaye zamani alikuwa anamiliki Petro Station maarufu Kipindi hiko iliyokuwa inaanzia na Herufi A na alikuwa akiishi Mbezi Beach.

Huyu Tajiri alikuwa na huu Utindiga ( Ushamba ) kama alionao MC Pilipili kwa Kuwatambia Wanaume kuwa hakuna ambaye angeweza Kumkanyagia Mkewe kwakuwa Mkewe alikuwa anapata Huduma zote na kwamba Yeye alikuwa ana Hela ambazo ndizo zilikuwa zikimpa Jeuri hiyo.

Siku moja akajitokeza Muhuni Mmoja ambaye alitia Voko za maana kwa huyo Mkewe huyo Tajiri kisha akaenda nae Sinza Kumkanyaga ambapo Masela wa Mbezi Beach hawakumficha Jamaa ( Mume Tajiri ) na kumwambia kuwa Mkewe ameenda maeneo ya Sinza Kukanyagwa na wakamuelekeza hadi Lodge yenyewe.

Jamaa ( Mume Tajiri ) kwa Wivu wake huku akiwa haamini akawasha Gari lake na kwenda eneo la Tukio ambapo kuna Mtu alikula Dili na Yule Muhuni aliyekuwa anamkanyagia Mkewe kiasi kwamba hata Chumba alichokuwa alikijua kwakuwa hiyo Lodge ni maarufu hapo Sinza na njia zote anazijua.

Walipofika hapo Lodge Mume Tajiri akaelekezwa na Jamaa kuwa wasogee katika Dirisha ambalo Yule Muhuni alikuwa akimkanyagia Mkewe ambapo Yule Muhuni nae wala hakufunga Pazia kisha Mume Tajiri akaambiwa achungulie ambapo alikuta Mkewe huyo amekunjwa Mkunjo ambao Yeye tokea awe na Mkewe hajawahi Kumkunja hivyo na huku Mkewe huyo akiguna Kimahaba na Kumtukana Mumewe Tajiri huku akiwa anamsikia Dirishani.

Kilichofuata hapo ni huyo Mume Tajiri kupigwa na butwaa na kuamua Kuchomoa Pistol yake na Kujipiga pale pale hadi Kujiua. Watu waishio Mbezi Beach kuanzia kwa Komba hadi pale Goigi najua hili tukio wanalijua na watalikumbuka sana tu kwani miaka hiyo ndiyo lilikuwa Gumzo Jijini na nchini Tanzania.

MC Pilipili awe makini mno!
Hizi ni stori za dua la kuku....ni stori za kwenye kahawa ingawa bw pilipili anachofanya si sahihi sn
 
mwanaume mzima kushusha magazeti kisa mwanaume mwenzio anamsifia mkewe, huo ndo ushamba wenyewe na uswahili uliopita kiwango, kwani kaja kumsifia kwenye page yako au kumsifia kwake kunapunguza nini kwenye maisha yako? kama vina kukera acha kuvifatilia mana havikuhusu, kila binadamu ana namna yake ya kupenda just bcz wewe huwezi kupenda kama yeye haimaanisha anavyopenda yeye ni kosa na kupenda kwako wewe ndo sahihi. Unataka kuniamba hao wasiosifia wake zao kwenye public ndo hawangongewi wake zao? Usaliti kwenye ndoa ni tabia tu ya mtu lakini sio eti kwasababu mwanaume amemsifia sana mkewe, sisi wanawake kutongozwa ni kawaida kabisa haijalishi umeolewa au hujaolewa kinacho matter ni misimamo yako wewe kama mke wa mtu. Punguza ushamba
 
Ni mkewe sasa asipojionyesha kuwa yuko proud kuwa nae amuonyeshe nani?? Huyo mwanamke akiamua kuwa malaya ni yeye ila sidhani kama ni vibaya kuonyesha kuwa unampenda mtu ulie nae.
Tatizo tumekalia uhuni tu na umalaya wengine hata mkewe kumueka dp hawezi umalaya tu shwaiiin.
 
Huyo kijana Pilipili na yule kijana msomi Nikki wa pili wanawapenda sana wenzi wao.
Licha ya upendo, ni ulimbukeni huo, achana kabisa na kitu kumiliki mwanamke hasa mwenye mvuto wa pekee. Kama hukupitia hilo ujanani siku ukimpata mwanamke wa aina hio ndio kupagawa kunapokuja halafu jamii itakuona kituko. Unaanza kumtukuza demu kama mungu vile.

Halii hio huwakumba vijana wenzetu ambao aidha hawakuwahi ku experience mapenzi ama wamekuwa wakipata shida sana kupata watu wa kuwa nao kwenye mahusiano (Wengi domo zege au john visomo). Unakuta hana vocal au mvuto, kila akitongoza anakula cha mbavu anaishia kukosa confidence na kujiona hana bahati anawatamania tu wenzie wenye mademu wazuri.

Ukibahatisha kazi ujue ni type za Ebitoke, unatoa ugwadu kimya kimya bila masela kujua, maana demu wa ajabu halafu ndio kashoboka kwako.
 
Kuna Siku atakuja Kulia mno pale Wahuni watakapopita nae Mkewe. Na labda nimtahadharishe tu MC Mpilipili kwamba kama Yeye aliweza Kumtongoza na Kumuhadaa huyo Mkewe Philomena basi wapo Watoto wa Mjini vile vile ambao nao wanaweza Kuingiza Voko zao kwa Mkewe na wakamkanyagia tena hata kuliko anavyomkanyaga Yeye na huyo Mkewe akaanza Kumdharau.

Kuna Mwanasaikolojia Mmoja aliwahi Kuniambia kuwa ukiona Mwanaume anapenda mno ama Kumsifia au Kumuonyesha onyesha Mkewe jua anajihami na kuna Udhaifu mkubwa ambao anao hivyo anajaribu Kuuficha kwa Kuonyesha anapenda Kuliko Mkewe.

Pia Mwanasaikolojia huyo huyo alienda mbele zaidi na kuniambia kwamba ukiona Mwanaume anapenda sana Kumsifia au Kumuonyesha onyesha Mkewe jua ama ana Ushamba fulani au Makuzi yake yalikuwa ni Kukua akiwa chini ya Himaya ya Wadada ( Wanawake )

Mwanaume Rijali huwa hana Upuuzi wa aina hii kwani Mkeo ni Mali yako na siyo Mali ya Watanzania unaowatambia.

Tuacheni Utindiga ( Ushamba )
Uyo ni punga anatafuta kichaka cha kujificha tu
 
Hizi ni stori za dua la kuku....ni stori za kwenye kahawa ingawa bw pilipili anachofanya si sahihi sn
wakosaji kwakuwa wao wengi hawajaolewa, wamezalishwa tu, na wanaume wengi wanakaa kimada wa wanawake, kwa kifupi watanzania wengi wanapenda wengine wafeli, badala mumpongeze kuweka heshima ya kuoa hadharani mnataka akae na wanawake afanye uzinzi kama diamond platinumz?

hata angeoa na waalikwa wakanywa maji ya uhai , inatosha, kikubwa iwe wazi mbele za Mungu na wanadamu
 
Kwanza inasemekana ndoa yake ni batili alikuwa anageuza maneno yeye na demu wake mchungaji anaongea hivi wao wanaongea vile sasa hii misifa imekuwa mingi mpaka kanisani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom