Centrehalf
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 509
- 145
Nimeshangaa sana na maamuzi ya baadhi ya kamati za bmk kukataa kipengele kwenye rasimu ya katiba kina chowapa haki na mamlaka wananchi kumfukuza mbunge iwapo atashindwa kutimiza ahadi zake kwa wapiga kura wake.
Tangia lini mwajiriwa akajiwekea kinga ya kutofukuzwa kazi na mwajiri wake?kama wananchi wanahaki ya kumchagua mbunge ni kwanini wasiwe na haki ya kumfukuza iwapo atashindwa kutekeleza waliokubaliana au kuhama maeneo yake ya kazi?kwa hii wajumbe wa BMK mumeonesha jinsi mlivyodhamiria kunyonga haki za mwananchi wa nchi hii.
Sijui wenzangu mnaliona je hili?
Nawasilisha.