Kwanini Mbowe na dr. Slaa pekee ndani ya CHADEMA na si wengine?

Kwanini Mbowe na dr. Slaa pekee ndani ya CHADEMA na si wengine?

Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1,188
Reaction score
570
CHADEMA INGEKUWA TIMU YA MPIRA WA MIGUU,BASI NINGEIFANANISHA NA TIMU HII HAPA.

Nikiambia leo hii ni kwanini naipigania CHADEMA,naipenda
CHADEMA na nina iamini CHADEMA majibu yanaweza kuwa mengi sana,bt kwa kifupi,CHADEMA ni chama imara kilichojipambanua kwa dhati kabisa kipo kwa ajili ya kumpigania mwananchi wa Tz maskini mnyonge,chama chenye kutoa fursa bila ubaguzi zaidi kinatoa fursa kwa vijana.

Na kama ningeambiwa niifananishe CHADEMA na timu ya mpira wa miguu ya taifa ama klabu,ningeshindwa kabisa,coz kikosi cha CHADEMA ni imara sana,madhubuti na kina ngome imara isiyopenyeka kirahisi wasaliti,wala rushwa,mafisadi na hata wachumia tumbo na wapenda vyeo kama wale wa mtaa wa Lumumba,japo pia nisingeweza kuifananisha na timu yetu ya taifa(taifa stars)ya sasa,kwani kiwango cha siasa za
CHADEMA ni cha juu sana chini ya Generali Mbowe na Field Marshal Dr Slaa.

Ia kama nikiambiwa CHADEMA niifananishe na jeshi la nchi yeyote basi fasta bila kusita nitaifananisha na Jeshi letu la kizalendo,jeshi imara na lenye makamanda wenye weledi wasioshindwa vita,Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) JWTZ ilimchapa Nduli Amini nje na ndani,akatoka nduki na kwenda kufia huko ughaibuni,tukawachapa Waleno waliokuwa wanawasaidia waasi enzi za vita ya vya ukombozi huko Msumbiji,tukamchapa vibaya yule muoga wa visiwa vya Comoro(Nzuani)tumewachaapa M23 na makandokando ya PK kule Congo na bado jeshi letu linafanya vema kwenye mission za peace keeping na peace reinforcement huko Congo na Sudan,

Vivo hivyo CHADEMA tumemchapa Adui wa maendeleo ya Tz CCM ,kule Mwanza,Kigoma,Mbeya,Sumbawanga,Daresalamu,Arusha,Arumeru na tukamchapa 4-0 Arusha bila huruma.


Natambua kwa sasa dunia nzima inasumbuliwa na EBOLA,na vikundi vya kigaidi kama vile ISIS,Alshabab na Boko Haram,bt kwa watanzania tunasumbuliwa na kikundi cha CCM,bt naamini baada ya chguzi za CHADEMA kumalizika tunakwenda kukiondoa kikundi hicho cha walafi wa CCM madarakani naTZ itakuwa imekombolewa kwa mala ya pili.

Japo makamanda ni wengi wenye uwezo ndania ya CHADEMA bt chini ya hawa wafuatao kitakuwa ni kikosi cha ushindi ndani ya dakika 90

1:Mwenyekiti:Mbowe

2:Makamu,Profesa Safari

3:Katibu,Dr Willibrod Slaa

4Naibu,.....

5:mkurugenzi wa habari...

kati ya hawa 1 wao akipita BAVICHA itakuwa imara zaidi

1😛ascal Pastrobas Katambi

2😛hilipo Mwakibinga

3:Mruta Maswola

4Ephata Nanyaro

5: Daniel Naftal

Makamu BAVICHA

1:Comrade mwalimu Khalidi Suleima Ausi

2:Nusrat Hanje

3Jesca David Kishoa

4: Rose Mayemba

5: Zainab Mudhihir Ashraff
1:Comrade mwalimu Khalidi Suleima Aus
Katibu BAVICHA

1: Kapalatu Salim

2: Salim Yusuph Mpanda


Uhamasishaji BAVICHA

1:Francis Boniface/Francis Wamarwa

2:Baraka Mfilinge


BAWACHA

1: Halima James Mdee

2:Sofia Mwakagenda

3Janeth Rite

4Lilian Wasira



Wawakilishi Baraza kuu hawa hapa

1😛rof Mwesigwa Baregu

2: Idan Ndowa

3:Mabere Marando

4:Fred Mpendazoe

5:Samwel Mpate


Hawa wakipita mmoja wao akipita ataiimarisha CHADEMA zaidi,

Kwanini nawakubali sana kamanda Mbowe na Dr. Willibrord Slaa?ukienda jeshini,ukishavuka tu Kota Guard,wajeshi wanamsemo kwamba elimu,vyeo,utajili na umaarufu unauacha pale juu (Kota Guard)unaingia kambini kama mtu wa kawaida kwa maana ukiwa mule ndani jeshi halitambui Status yako,Mbowe na Dr Slaa ni viongozi imara sana,wameijenga na kuiboresha CHADEMA kuwa taasisi imara,mahala salama kwa wanyonge na wenye shida,CHADEMA ni jibu kwa watanzania,mkufunzi wa jeshi na kiongoziwa jeshi vitani huwa responsibla na maisha ya wanajeshi wenzake wakiwa mstari wa mbele,wapo radhi wao wapoteze maisha kwa ajili ya kuokoa wengine(wanajeshi wenzake)kwa mfano wakiwa Frontline likarushwa bomu la mkono,ama mkufuinzi akiwa anawafundisha wanajeshi wanafunzi kuhusu mabomu na kwa bahati Mbaya likafyatuka na kutaka kulipuka,Mkufunzi huyo,(Kiongozi)Hulirukia haraka bomu hilo kabla halijalipuka na kuwadhudhuru wengine,manake huwa tayari kufa ili wengine wapone,Mbowe na Dr Wilbroad Slaa,hawa ni sawa na makamanda wa vita wapo tayari wao wapatwe na matatizo ili watanzania wapone,ama wanaCDM wapone,hebu kumbuka Sakata la kesi ya UGAIDI aliyokuwa amesingiziwa mkurugenzi wa Ulinzi na usalama CHADEMA Wilfred Rwakatale,kma chama walikuwa na uwezo wa kumwachia azame nalo pekee yake kama Msaliti Zito alivyokuwa amependekeza bt makamanda Mbowe na Dr Slaa kwa kutambua wajibu wao,waliamua kufa na Rwakatale na hatimaye kumwokoa kutoka kwenye mtego wa Mwigulu Nchemba na wenzake wa UWT,na chama kikanusurika kufutwa,so tuanhitaji viongozi wa namna yao.
 
Makamu BAVICHA

1:Comrade mwalimu Khalidi Suleima Ausi

2:Nusrat Hanje

3Jesca David Kishoa

4: Rose Mayemba

5: Zainab Mudhihir Ashraff

 
Makamu BAVICHA

1:Comrade mwalimu Khalidi Suleima Ausi

2:Nusrat Hanje

3Jesca David Kishoa

4: Rose Mayemba

5: Zainab Ashraff
 
Mbowe ameifanya chadema kampuni ya urithi
 
Chadema imeshaanza kupukutisha CCM na vibaraka wake. Uchaguzi wa baraza la wazee umewaacha Ritz, Mingoi, Ruttashobolwa na mjepo wanakata mauno tu hapa jf
 
Last edited by a moderator:
JK anaifanya CCM iwe BMW=Baba,Mama na Watoto
Baba mkwe muasisi, mkwe mwenyekiti, mwanasheria wa chama amempa dada ake ubunge km zawadi, katibu mkuu amewapa hawara zake ubunge...hiki ni chama au kampuni ya ukoo?
 
Chadema imekaa kisultani.,Hakuna demokrasia kabisa.
 
Back
Top Bottom