WanaJF!
Baadhi ya watu 'potential' ambao walipaswa kuwepo kwenye timu ya kukusanya maoni ya wananchi kupitia CHADEMA kwenye mchakato wa katiba mpya ni wafuatao;
1. Vincent Nyerere (Musoma mjini)
2. Joseph Mbilinyi (Mbeya mjini)
3. Silinde David (Mbozi magharibi)
4. Halima Mdee (kawe)
5. John Shibuda (Maswa magharibi)
6. Prof Kaigi (Bukombe)
7. Said Arfi (Mpanda mjini)
8. Zitto Kabwe (Kigoma kaskazini)
Lakini kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi kwa wananchi na hata wanachama wa CHADEMA, watu hao hapo juu wamekuwa ni kama wasindikizaji ndani ya chama, na shughuli yoyote ile itakayofanywa kwenye maeneo yao, wao watakuwa ni kama waalikwa tu.
Kwa mujibu wa ratiba ya CHADEMA ya shughuli nzima ya ukusanyaji wa maoni, wafuatao ndio vinara wa shughuli hiyo kote nchini;
1. Freeman Mbowe (Hai)
2. Godbless Lema (Arusha mjini)
3. Dr Slaa (null)
4. John Mnyika ( Ubungo)
Lakini ukiangalia uhalisia, wale watu ambao ni 'potential' ndani ya CHADEMA wamekuwa hawatumiwi ipasavyo na chama hicho, badala yake watu ambao kimsingi ni 'mizigo' ndio chama kinawapa majukumu mazito.
Huwezi kwa hali ya kawaida kumpa majukumu ya kukusanya maoni ya wananchi mtu kama Lema au Mnyika, halafu uache kumpa mtu kama Zitto, Kaigi, Silinde na Mdee.