Kwanini Mbowe hatunukiwi PhD ya heshima?

fm radio

Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
81
Reaction score
36
Nimekuwa najiuliza mara kwa mara kwa nini huyu kiongozi shupavu na mwenye misimamo imara hapewi digrii ya heshima kama mtu aliyeleta mchango mkubwa wa mapinduzi ya kisiasa hapa nchi?

Ina maana hakuna chuo hata kimoja kilichoweza kutambua mchango wa huyu deep thinker more than many profs are? even though i'm not a prof i want to declare my interest that hon Freeman Mbowe i honor you a doctarate for change and from now you are going to be named as Dr Freeman Mbowe.

Karibu nawe umtunuku Mbowe.
 
Hata Lowassa alimsifu kwa jinsi alivyoongoza Mkutano Mkuu kwa ufanisi mkubwa.
 
nimekuwa najiuliza mara kwa mara kwa nini huyu kiongozi shupavu na mwenye misimamo imara hapewi digrii ya heshima kama mtu aliyeleta mchango mkubwa wa mapinduzi ya kisiasa hapa nchi?inaama hakuna chuo hata kimoja kilichoweza kutambua mchango wa huyu deep thinker more than many profs are? even though i'm not a prof i want to declare my interest that hon Freeman Mbowe i honor you a doctarate for change and from now you are going to be named as Dr Freeman Mbowe.karibu nawe umtunuku mh Mbowe

He deserves for sure, salute Dr. Mbowe..!
 
Tanzania vilaza wanazidi kuongezeka kila siku.
 
Mkuu huyu jamaa atatunikiwa na si muda mrefu. Huyu jamaa kwa baadhi yamambo ni KICHWA.
 
hawezi kununukiwa hizo za mfukoni, si umeona mheshimiwa pale mlimani city badala ya kumwita profesa wanamwita doctor...si wanamshusha kiwango, yeye ameshapanda hadi kawa prof, wao wanaona kwasababu sio prof ya kusomea basi ni sawa tu na kuwa doctor.....
 
nimekuwa najiuliza mara kwa mara kwa nini huyu kiongozi shupavu na mwenye misimamo imara hapewi digrii ya heshima kama mtu aliyeleta mchango mkubwa wa mapinduzi ya kisiasa hapa nchi?inaama hakuna chuo hata kimoja kilichoweza kutambua mchango wa huyu deep thinker more than many profs are? even though i'm not a prof i want to declare my interest that hon Freeman Mbowe i honor you a doctarate for change and from now you are going to be named as Dr Freeman Mbowe.karibu nawe umtunuku mh Mbowe
Iko jikoni.
 
hawezi kununukiwa hizo za mfukoni, si umeona mheshimiwa pale mlimani city badala ya kumwita profesa wanamwita doctor...si wanamshusha kiwango, yeye ameshapanda hadi kawa prof, wao wanaona kwasababu sio prof ya kusomea basi ni sawa tu na kuwa doctor.....

kama za mfukoni angekuwa katunukiwa nyingi sana
 
hawezi kununukiwa hizo za mfukoni, si umeona mheshimiwa pale mlimani city badala ya kumwita profesa wanamwita doctor...si wanamshusha kiwango, yeye ameshapanda hadi kawa prof, wao wanaona kwasababu sio prof ya kusomea basi ni sawa tu na kuwa doctor.....

Profesa ni cheo siyo lazima uwe na Phd, na Dr unatunukiwa au unaizamia.

Mfano: [h=1]Professor Thandika Mkandawire[/h]http://www.lse.ac.uk/internationalDevelopment/people/Mkandawire.aspx

Huyu hajawahi kufanya PhD.
 
mkuu safi kwa kutuongezea maarifa tusojua
 
Mbowe mwaka huu atapaa sana tena sana, baada ya prof.lipumba kufanikiwa kununuliwa na ccm azile mageuzi
 
Back
Top Bottom