kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,303
- 17,829
Nimeshangazwa na nilichokisikia asubuhi, taarifa za barabarani (radio one).
Arusha wamesema barabara zina msongamano wa magari sehemu za kuingilia jijini,
Mwanza the same, Dar magari yamejaa na kuna foleni...
Kutoka Mbeya magari ni machache ila waendesha mikokoteni ndiyo wengi madereva wawe makini...
Mbeya jiji na uwingi wa waendesha mikokoteni inakuwaje? hadi traffic kutoa taarifa za uwingi wa mikokoteni!!