Nimeshangazwa na nilichokisikia asubuhi, taarifa za barabarani (radio one).
Arusha wamesema barabara zina msongamano wa magari sehemu za kuingilia jijini,
Mwanza the same, Dar magari yamejaa na kuna foleni...
Kutoka Mbeya magari ni machache ila waendesha mikokoteni ndiyo wengi madereva wawe makini...
Mbeya jiji na uwingi wa waendesha mikokoteni inakuwaje? hadi traffic kutoa taarifa za uwingi wa mikokoteni!!

Jiji la Mikokoteni...weye ulitaka mbeya iitweje?
A.iitwe kijij?
B.iitwe mji?
C.iitwe manispaa?
D............?
yah!! ilikuwa taarifa na nimesikia ulitaka nione ndiyo niandike?Alafu ulivyokuwa mbulula, unasema umesikia wakisema kuna mikokoten ming.....
Nilifikili umefanya utafiti kwa kutembelea majiji tuliyonayo na ukarejea ktk SIFA STAHIKI ZA MKOA KUITWA JIJI na hatimaye kuja na mchanganuo\hoja nzito za kulikandia jiji la mbeya.Weye waja hapa na hadith za Umbea eti sababu tu umesikia wakisema.
Tanzania majiji ni mawili tu
Dar na Mwanza...Mbeya ni 'big village'
Arusha nayo ni 'big village'.....
Uliza watu wa arusha kuna barabara ngapi za lami....za kuingia na kutoka Arusha..
jibu utakalopewa ndo utajiuliza ni jiji au big village
ulipokuwa o-level kwenye civics hukusoma qualifications za jiji?
jiji sio wingi wa magari mfano mzuri ni jiji la Sidney Australia, ni jiji lililo kwenye top ranks kidunia lakini ishu ya foleni za magari hakuna...
Nimeshangazwa na nilichokisikia asubuhi, taarifa za barabarani (radio one).
Arusha wamesema barabara zina msongamano wa magari sehemu za kuingilia jijini,
Mwanza the same, Dar magari yamejaa na kuna foleni...
Kutoka Mbeya magari ni machache ila waendesha mikokoteni ndiyo wengi madereva wawe makini...
Mbeya jiji na uwingi wa waendesha mikokoteni inakuwaje? hadi traffic kutoa taarifa za uwingi wa mikokoteni!!
ume over translate!!!
Tanzania majiji ni mawili tu
Dar na Mwanza...Mbeya ni 'big village'
Arusha nayo ni 'big village'.....
Uliza watu wa arusha kuna barabara ngapi za lami....za kuingia na kutoka Arusha..
jibu utakalopewa ndo utajiuliza ni jiji au big village
Mbeya si jiji kama Mbeya ni jiji na tukuyu ni jiji