CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,917
Ndio maana yake, haya mambo saa zingine sio rahisi kuyajuaMkuu Chasha , ni kweli supply ikiwa juu na demand inakuwa juu? Mi sio mchumi lakini nahisi pana walakini hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Walakini upi? elezea basi wewe, haya mambo sio ya kukaririMkuu Chasha , ni kweli supply ikiwa juu na demand inakuwa juu? Mi sio mchumi lakini nahisi pana walakini hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Vice versa is trueMkuu Chasha , ni kweli supply ikiwa juu na demand inakuwa juu? Mi sio mchumi lakini nahisi pana walakini hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida sio beiGharama ya mayai ya kuku wa kisasi ni cheap ukilinganisha na ya wakienyeji, siku zote Price inamata sana kwenye biashara
Kwenye uzalishaji wa mayai kuna ya kuku wa Kisasa na kuku wa Kienyeji.
Ila soko kubwa ni la mayai ya Kisasa.
Soko la mayai ya kienyeji ni kwa fammily consuption ila kwa biashara watu wanatumia mayai ya kisasa tembelea wakaanga Chips hata kwa Dar uone yanaliwa mayai gani.
2. Viwanda vya kutengeneza keki hawa hawana muda na mayai ya Kienyeji.
3. Mahotelini kwenye kutengeneza keki na pia kwa kukisha wateja wao.
MAYAI YA KIENYEJI
Haya yanaliwa na familia mtu anaenda kukaangia watoto wake hivyo demand ni kwa familia tofauti na mayai ya Kisasa ambayo ni kwa biashara zaidi.
KWA NINI DEMAND NI KUBWA?
Kwenye uchumi kuna wakati supply ina determine Demand, sasa supply ya Mayai ya kisasa ni kubwa sana na automatic na Demand yake inakuwa juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matola wewe ndo mjinga na hutakaa uelewe hii post ni ngumu sana kwako usijilazimishe halafu uko out of topic nazungumzia mayai na ukipaswa kuuliza sababuYani wewe unamiliki shamba la kuku halafu ni mjinga kiasi hiki?
Mayai ya kuku wa kienyeji ndio yanayotakiwa tatizo ni bei tu na supply, hakuna mtu mwenye uwezo wa kusupply mayai ya kienyeji kwa wauza Chips, na isitoshe sehemu ukiyakuta chips mayai utaambiwa ni buku tatu.
Pia supu ya kuku wa kienyeji ni tamu sana na ndio inayotakiwa, mikoa kama Singida na dodoma watu wanakula kuku wa kienyeji, ukipeleka hiyo mikuku yako unayofuga ya wiki 3 haina dili.
Poor observation.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chemical zipi? unaweza zitaja? au story za vijiweni?Bei na supply ya mayai ya kisasa ndo sababu. Ni mengi afu bei nzuri.
Wanaofuga kuku wa kienyeji wengi wanauza kuku hawazalishi mayai mengi.
Binafsi nimeanza kujiandaa baada ya mwaka nitakua na kuku kama 1000 then nianze kusupply mayai
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni admit, nilijifunza form 2 kwenye kilimo hii kitu juu juu leo nmerudi kuangalia tena, kuna vingine sikufundishwa, uko sahihi kwa statement yako, 'law of supply' sikuwahi ijua kabla
Amejichanganya. Ukweli ni price/bei ikiwa chini ndio demand inaongezeka.Supply na demand kwa pamoja ndio zinaamua bei ya soko -equilibrium price.Mkuu Chasha , ni kweli supply ikiwa juu na demand inakuwa juu? Mi sio mchumi lakini nahisi pana walakini hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nadhani angesema reliability. Yaani kwa mfanyabiashara anaangalia supply ya uhakika kuepuka kusimama kwa uzalishaji.Mkuu Chasha , ni kweli supply ikiwa juu na demand inakuwa juu? Mi sio mchumi lakini nahisi pana walakini hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejichanganya au huelewi nisha toa tahadhari tangu mwanzo kwamba tuache kukariri mambo. Madhara ya kumeza notceAmejichanganya. Ukweli ni price/bei ikiwa chini ndio demand inaongezeka.Supply na demand kwa pamoja ndio zinaamua bei ya soko -equilibrium price.
Supply kubwa ndo upatikanaji wenyeweHapa nadhani angesema reliability. Yaani kwa mfanyabiashara anaangalia supply ya uhakika kuepuka kusimama kwa uzalishaji.
Ukiangalia mayai ya kisasa ndio pekee yana uhakika wa upatikanaji wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wewe unamiliki shamba la kuku halafu ni mjinga kiasi hiki?
Mayai ya kuku wa kienyeji ndio yanayotakiwa tatizo ni bei tu na supply, hakuna mtu mwenye uwezo wa kusupply mayai ya kienyeji kwa wauza Chips, na isitoshe sehemu ukiyakuta chips mayai utaambiwa ni buku tatu.
Pia supu ya kuku wa kienyeji ni tamu sana na ndio inayotakiwa, mikoa kama Singida na dodoma watu wanakula kuku wa kienyeji, ukipeleka hiyo mikuku yako unayofuga ya wiki 3 haina dili.
Poor observation.
Sent using Jamii Forums mobile app