Kwanini mayai ya kuku wa kisasa yana Demand kubwa na itaendelea hivyo hivyo

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,762
8,834
Kwenye uzalishaji wa mayai kuna ya kuku wa Kisasa na kuku wa Kienyeji.

Ila soko kubwa ni la mayai ya Kisasa.

Soko la mayai ya kienyeji ni kwa fammily consuption ila kwa biashara watu wanatumia mayai ya kisasa tembelea wakaanga Chips hata kwa Dar uone yanaliwa mayai gani.

2. Viwanda vya kutengeneza keki hawa hawana muda na mayai ya Kienyeji.

3. Mahotelini kwenye kutengeneza keki na pia kwa kukisha wateja wao.

MAYAI YA KIENYEJI

Haya yanaliwa na familia mtu anaenda kukaangia watoto wake hivyo demand ni kwa familia tofauti na mayai ya Kisasa ambayo ni kwa biashara zaidi.

KWA NINI DEMAND NI KUBWA?
Kwenye uchumi kuna wakati supply ina determine Demand, sasa supply ya Mayai ya kisasa ni kubwa sana na automatic na Demand yake inakuwa juu.

992c78d11875ea9d39a43e59480f50d0.jpg

545f0d3cf593ae9f109e59f2336542ca.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayai ya kuku wa kienyeji ndio yanayotakiwa tatizo ni bei tu na supply, hakuna mtu mwenye uwezo wa kusupply mayai ya kienyeji kwa wauza Chips, na isitoshe sehemu ukiyakuta chips mayai utaambiwa ni buku tatu.

Pia supu ya kuku wa kienyeji ni tamu sana na ndio inayotakiwa, mikoa kama Singida na dodoma watu wanakula kuku wa kienyeji, ukipeleka hiyo mikuku yako unayofuga ya wiki 3 haina dili.
Poor observation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani wewe unamiliki shamba la kuku halafu ni mjinga kiasi hiki?

Matola wewe ndo mjinga na hutakaa uelewe hii post ni ngumu sana kwako usijilazimishe halafu uko out of topic nazungumzia mayai na ukipaswa kuuliza sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei na supply ya mayai ya kisasa ndo sababu. Ni mengi afu bei nzuri.

Wanaofuga kuku wa kienyeji wengi wanauza kuku hawazalishi mayai mengi.

Binafsi nimeanza kujiandaa baada ya mwaka nitakua na kuku kama 1000 then nianze kusupply mayai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sometimes knowledge of the customer inaweza kudertimine demand of the product,right kama wangejua kemikali wanaconsume kwenye hiyo products wangethamini sana product substute ya hii bidhaa,ni sawa na kuuziwa mchele wa plastic na mchele huu wa kawaida ukakimbilia wa plastic simply bcoz uko cheap
 
IKO HIVI

Availability hutengeneza cunsumer confidence.

Supply ya mayai ya Kienyeji sio kubwa kutokana na nature ya aina ya kuku.

Kuku wa kienyeji hawatagi kama wa Kisasa hivyo mayai yao ni machache.

Uhaba hupunguza demand na hii ni kwa sababu watu huswitch demand kutokana na kujengeka kwamba bidhaa fulani haipatikani.

Upatikani wa mayai ya kisasa ni mkubwa nansi wa kubahatisha hivyo demand inakuwa juu sana.

Uhakika wa bidhaa au huduma huongeza demand.

Supply ya mayai ya kisasa ni kubwa sana na kamwe haitafikiwa na kuku wa kienyeji.

Na Deamand yake ni kubwa mno kutokana na uhakika wake.

MFANO

Kuna wakati tulijuwa tunafanya kazi na wakulima wa Ufuta mkoa wa Manyara.
Sasa kipindi ambacho mavuno yalijuwa mabaya hata bei ilikuwa inashuka sana kwa nini?

Kwa sababu Wanunuzi walikuwa hawaoni haja ya kuje kununua ufuta make ni mdogo sana.

Kipindi cha mavuno mazuri bei nayo ilijuwa inapanda sana na demand ilijuwa ni kubwa sana.

Hivyo Deamnd hudetermine supply ila pia kuna wakati Supply inadetermine Demand.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei na supply ya mayai ya kisasa ndo sababu. Ni mengi afu bei nzuri.

Wanaofuga kuku wa kienyeji wengi wanauza kuku hawazalishi mayai mengi.

Binafsi nimeanza kujiandaa baada ya mwaka nitakua na kuku kama 1000 then nianze kusupply mayai

Sent using Jamii Forums mobile app
Chemical zipi? unaweza zitaja? au story za vijiweni?

Kwani Ng'ombe hawapati chemical? kila siku wana dungwa sindano.

Mboga za majani unazo kula unajua zinako limwa?

Unajua mboga za majani zinawekwa daw zipi?

Je matunda kama Tikikit unajua zinako limwa?

Je mbolea zinazo wekwa kwenye mazo kama mahindi je?

Hahaaa achana na story za vijiwe vya kahawa.

AU TAJA AINA YA CHEMICAL BASI MAKE ZINA MAJINA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kuku wa kisasa anawahi kukua hivyo hata product hasa mayai yatapatikana kwa haraka sana tofauti na kwa kuku wa kisasa...
Kwa maana hiyo kwa kuwa wafugaji wa kuku wa kisasa ni wengi na mazao ya kuku hao yatakuwa mengi hatimaye kufanya bei ipungue ili wateja wapate kununua kwa wingi mfano mawili Mia tano tofauti na hapo awali moja Mia Tatu na mawili Mia sita hapa shilingi Mia ni kubwa sana kwa mteja...

Hitimisho ni kwasababu wafugaji wa kuku wa kisasa ni wengi na Hawa kuku wana kuwa kwa haraka sana.
 
Yani wewe unamiliki shamba la kuku halafu ni mjinga kiasi hiki?

Mayai ya kuku wa kienyeji ndio yanayotakiwa tatizo ni bei tu na supply, hakuna mtu mwenye uwezo wa kusupply mayai ya kienyeji kwa wauza Chips, na isitoshe sehemu ukiyakuta chips mayai utaambiwa ni buku tatu.

Pia supu ya kuku wa kienyeji ni tamu sana na ndio inayotakiwa, mikoa kama Singida na dodoma watu wanakula kuku wa kienyeji, ukipeleka hiyo mikuku yako unayofuga ya wiki 3 haina dili.
Poor observation.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kweli mkuu. Mimi ni mfugaji wa kuku aina zote Dodoma ila utokaji wa kuku wa kienyeji sio sawa na broiler na mayai yao pia.

Kuna kipindi mpaka huwa naagiza broiler kutoka Iringa na Morogoro kukidhi mahitaji ya wateja wangu.

Alichokisema chasha ni sahihi. Supply kubwa/rahisi ya kuku wazungu inasanabisha demand iwe kubwa pia.

Na kuna sababu kadhaa nikiwa kama mfugaji nafahamu kwanini iko hivo

Nitarudi.....
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom