CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
Kwenye uzalishaji wa mayai kuna ya kuku wa Kisasa na kuku wa Kienyeji.
Ila soko kubwa ni la mayai ya Kisasa.
Soko la mayai ya kienyeji ni kwa fammily consuption ila kwa biashara watu wanatumia mayai ya kisasa tembelea wakaanga Chips hata kwa Dar uone yanaliwa mayai gani.
2. Viwanda vya kutengeneza keki hawa hawana muda na mayai ya Kienyeji.
3. Mahotelini kwenye kutengeneza keki na pia kwa kukisha wateja wao.
MAYAI YA KIENYEJI
Haya yanaliwa na familia mtu anaenda kukaangia watoto wake hivyo demand ni kwa familia tofauti na mayai ya Kisasa ambayo ni kwa biashara zaidi.
KWA NINI DEMAND NI KUBWA?
Kwenye uchumi kuna wakati supply ina determine Demand, sasa supply ya Mayai ya kisasa ni kubwa sana na automatic na Demand yake inakuwa juu.
Sent using Jamii Forums mobile app