Kwanini maumbile ya mwanaume yanakuwa madogo?

Ananear

Member
Joined
Nov 18, 2020
Posts
56
Reaction score
26
Mimi ni kijana30+ maumbile yangu yana tabia ya kusinyaa na kuwa kawaida lakini show napiga kama kawaida tena Sana ila baada ya hisia kukata huwa madogo sana na hisia zikipanda huwa makubwa hadi najiogopa na mzigo napiga kama kawaida ni nini tatzo na nifanyaje ili hali isiwe inajitokeza??
 
weka picha tukushauri, Maneno matupu huwezi pata msaada
 
Ungeacha kuangalia movies za porn sababu zinakufanya uanze kuji compare yako na wengine

Maana isingekuwa kujilinganisha usingesema yangu yanakuwa hivi hizo yangu yangu yangu inamaana kuna yawengine ya wengine ya wengine..

Pili una miaka mingapi[emoji2][emoji2][emoji2]
 
🐻🐻🐻🐻🐻
 
Kwa kuongezea tu kuna mahali nilisoma wanaeleza kwamba, Uume kuwa mdogo kama wa mtoto pale inapokuwa imesinyaa inatokea kama ulikuwa mraibu sana wa kujichua (nyeto), ukipiga sana hii mambo moja ya matokeo utakayokutana nayo ni hayo. Pia fahamu kwamba maumbile ya wanaume yametofautiana, kuna wengine ikiwa imelala inaonekana bado kubwa na ikisimama itaongezeka kwa 50% tu au chini ya hapo, na wengine ambao maumbile yao yanaonekana madogo ukiwa umesinyaa lakini ikisimama inaongezeka ukubwa kwa 60%. Haijalishi, kikubwa jembe liwe linalima na mazao tuyaone!!
 
Hali ya hewa pia inachangia kama kuna barid kali kusinyaa na kuwa ndogo ni kawaida ....
 
Kwa kuongezea tu kuna mahali nilisoma wanaeleza kwamba, Uume kuwa mdogo kama wa mtoto pale inapokuwa imesinyaa inatokea kama ulikuwa mraibu sana wa kujichua (nyeto), ukipiga sana hii mambo moja ya matokeo utakayokutana nayo ni hayo. Pia fahamu kwamba maumbile ya wanaume yametofautiana, kuna wengine ikiwa imelala inaonekana bado kubwa na ikisimama itaongezeka kwa 50% tu au chini ya hapo, na wengine ambao maumbile yao yanaonekana madogo ukiwa umesinyaa lakini ikisimama inaongezeka ukubwa kwa 60%. Haijalishi, kikubwa jembe liwe linalima na mazao tuyaone!!
Arudie tena kusoma hapa. Ila kwenye nyeto hapo umenigusa mkuu 🤝
 
Ungeacha kuangalia movies za porn sababu zinakufanya uanze kuji compare yako na wengine

Maana isingekuwa kujilinganisha usingesema yangu yanakuwa hivi hizo yangu yangu yangu inamaana kuna yawengine ya wengine ya wengine..

Pili una miaka mingapi
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
i
Spg at sjawah pga ila tangu enz nakuw ivo may be hali ya hew mi naish njombe nmezaliw njombe pia bard n kawaida japo hii theory siiamin sana

Back
Top Bottom