Iko wapi hiyo videoHbr,
Video inajieleza nmeikuta hii mahali nimejiuliza hiv dunia hii inakwenda wapi sasa...mwenye kujua lolote juu ya hii video atatujuza ni wapi na walikuwa na tatizo gani japo kwa muonekano ni kama vile wakenya hawa!
Daaah mkuu na ww umekua muhenga unakuja na misemo yako mipya???kweli video inajieleza. sasa mjomba ipo wapi hiyo video yenyewe. maneno matupu ayalambwi .
wewe ni gaidi tu no way mkuuKweli hiyo video kali sana naona Adui kuu kafa kikatili sana dah hii dunia hii sijui inaenda wapi?
Hbr,
Video inajieleza nmeikuta hii mahali nimejiuliza hiv dunia hii inakwenda wapi sasa...mwenye kujua lolote juu ya hii video atatujuza ni wapi na walikuwa na tatizo gani japo kwa muonekano ni kama vile wakenya hawa!
***************************************************************************
Samahanini wakuu naona video nlioweka imekuwa deleted toka youtube najitahidi kuweza ku upload kwa namna ingine tuweze kushare wote.