Ngoja waje
Matajiri wengi wana siri kubwa SN kwenye UTAFUTAJI WAO,,,unakuta ALISHADHALAULIWA,,ALINYANYASWA,,yote hayo yanampa MACHUNGU SN KWENYE KUSAIDIA WENGINE...ni wachache sana husahau MACHUNGU YA UTAFUTAJIHello guys
Nimepata chance ya kukaa na watu wa class tofauti tofauti, nime-observe kuwa watu wengi ambao ni matajiri ni wabinafsi pengine kuliko hata watu ambao ni maskini
Matajiri wengi wanapenda kujionesha mbele ya umma kuwa wao ni wema (kwa kutoa fedha) lakini moyoni sio watu kabisa, matajiri wengi husaidia huku rohoni wakiwa na ulterior motive eg; kuiba nyota za watu, kukwepa kodi, kujenga image etc. Baadhi yao kukutoa uhai ili kulinda reputation yao ni kitu rahisi mno.
Wengi wao wanaishi kwa hofu, na mashaka, kuugua presha ni kama maji kwao, matajiri wengi pia ni wateja wakubwa wa waganga na hutoa kafara za kutisha ili kulinda/ku-maintain biashara zao zisilogwe, coz sio matajiri wote wametajirika kwa kupitia njia ya uchawi
NB: kuna few exceptions, Sio matajiri wote wana roho mbaya kama nlivolezea hapo juu
Hilo ndo jibu. Maskini wana tabia ya ulalamishi kama wa mleta mada. Mara zote wao hujiona ni wa kusaidiwa na siyo kusaidia. Ni nadra kusikia wenye pesa kulalamika kutosaidiwa pamoja na kwamba nao wana matatizo yao pia.Inategemea na mtu mwenyewe je amewekeza kwenye nn mpaka akawa hapo alipo. Ila kwa maono yangu ni kwamba kila mtu ana mahitaji na malengo yake linapokuja swala la kwann wenye pesa hawatoi au ni wagumu kusaidi
NI KWAMBA WAKATI WEWE UNAENDA KUOMBA MSAADA KWAKE na yeye unakuta ana magumu anapitia kimyakmya atakusaidiaje sasa?.. Utofauti ni kwamba wengi wenye mafanikio hua ni wastahimilifu sana...