Umenena vyema mkuuHata ukijipata utashangaa marafiki zako uliosoma nao au wa kitaa wanaanza kujitenga na wewe
Wanakuwa wanajiona kabisa kwamba kwa sasa wao sio level zako wanajihisi inferior halafu wanakuwa wana chuki na wivu kiaina
Kuna wanasiasa walikuwa wakienda majimboni kwao huko vijijini, wanavaa mavazi ya gharama za chini. Mmojawapo alipoulizwa alisema wanataka wafanane na wananchi wa hali hiyo-ya chini! Wakivaa mavazi ya gharama kubwa, wataonekana tofauti.Hata ukijipata utashangaa marafiki zako uliosoma nao au wa kitaa wanaanza kujitenga na wewe
Wanakuwa wanajiona kabisa kwamba kwa sasa wao sio level zako wanajihisi inferior halafu wanakuwa wana chuki na wivu kiaina
Unajua ishu inakuja wapi? Utakuta mtu aliyejipata yuko simple na bado yuko peace na humble kwa wanaeKuna wanasiasa walikuwa wakienda majimboni kwao huko vijijini, wanavaa mavazi ya gharama za chini. Mmojawapo alipoulizwa alisema wanataka wafanane na wananchi wa hali hiyo-ya chini! Wakivaa mavazi ya gharama kubwa, wataonekana tofauti.
Ukiwa katikati ya rafiki au ndugu wenye hali ya chini yaani maskini wa mali au hali; jitahidi kutokujionesha. Ama sivyo lazima wakuchukie! Vita kati ya tajiri na maskini ni kali sana huwezi amini!
Wivu na chuki laZima vitaibukaUnajua ishu inakuja wapi? Utakuta mtu aliyejipata yuko simple na bado yuko peace na humble kwa wanae
Ni vile tu vitu vyake vya maendeleo alivyopiga hatua huwa havifichiki itajulikana na wataona tu kuwa amefanya hiki amenunua kile
Hapo ndipo tatizo la wivu na majungu linapoanzia