Kwanini Marekani wanaihofia sana kampuni ya HUAWEI?

Kwanini Marekani wanaihofia sana kampuni ya HUAWEI?

Marekani kwa sasa kwenye free and fair trade hayupo kabisa
So far Marekani imeshafanya breaching ya sheria na kanuni nyingi sana W.T.O

Inaenda kinyume kabisa na makubaliano ya member countries wa W.T.O

China ikiwa member country W.T.O imeshasema sana kuhusu hilo kwa sasa imeamua ni kwenda naye jino kwa jino. Hii ndio lugha wanaipenda Marekani

W.T.O ni toothless organisation
 
20250520_172348.jpg
 
Tangu 2012 Marekani imekuwa ikifanya juu chini kuiangusha HUAWEI bila mafanikio.

Hivi karibuni HUAWEI ilizindua A.I chip ya hali ya juu iitwayo Ascend 910C ambayo imekuja kuichallenge ile ya NVIDIA.

Kuna wasiwasi unaoongezeka kwa Marekani kwamba hivi karibuni China itakuwa ikiuza AI processors hizo nchini China na masoko ya nje ambapo itashindana na zile za NVIDIA na za makampuni mengine ya Marekani.

Kutokana na ujio wa processors hizo, May 13 2025, U.S Chamber of Commerce na U.S Bureau of Industry and Security wametoa tangazo la kitisho kwa mataifa mengine duniani kwamba;

Wasitumie HUAWEI Ascend processors wakidai kuwa zimetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Marekani.

Lakini cha kushangaza hivi karibuni CEO wa NVIDIA Jensen Huang alipoulizwa:
“How far is China behind the US in AI?” hili ndio jibu lake


“China is not behind! Remember that 50% of world’s best AI researchers are Chinese and many of those work at U.S.-based AI labs. This is a long race.
It would be a tremendous loss to miss the Chinese AI market."

Nvidia CEO Jensen Huang
Pro-West husema Marekani iko mbele kwenye teknolojia imeizidi China.

Ok well tufanye imeizidi sasa kwa nini Marekani imekuwa ikiogopa high tech goods za China wanazodai zina low quality zisipenye soko la dunia au Marekani?

Marekani inahofia Ascend processors zikiingia soko la dunia, NVIDIA can't win a price war with HUAWEI.

Mafahari wawili...
 
How would they compasate such a potential loss?
Trump ni mwendawazimu, Nvidia wenyewe wanaonekana hawaungi mkono ila kwa kuwa ndio tamko la utawala wa Trump hawana ujanja. Labda serikali itawapa ruzuku kufidia
 
Back
Top Bottom