Kwanini Marekani haikuingia vitani dhidi ya Bashar Al Asad

kitu pekee ambacho US anamzidi russia kijeshi ni bajeti tu tena nadhani ni kwa kuwa us ana base nyingi pia ananunua silaha kutoka kwenye makampuni

labda na hizo meli za kubeba ndege ambazo pia kwa urusi hazina ulazima maana yeye ndege zake zinaweza kwenda mbali bila shida yoyote tofauti na ndege za us

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndivyo western media zilivyoniaminisha hata mimi.....




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bajeti tu imekutisha
kote hakufai
 
Uchumi Ndio Kila Kitu. Na Bila Bajeti Ya Kutosha Utawezaje Kuziendesha Project Kubwa Za Kijeshi? La Sivyo Raia Watakula Nyasi.
Western media ,Movie za kina Chuck Norris, Rambo &likes zimechangia sehemu kubwa ya mtazamo wako kwa 100%

Huwezi kuelewa kwa haraka/kubadilika sababu upo too deep to the point of no return.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Ndege Za Marekani Haziendi Mbali?
 
Western media ,Movie za kina Chuck Norris, Rambo &likes zimechangia sehemu kubwa ya mtazamo wako kwa 100%

Huwezi kuelewa kwa haraka/kubadilika sababu upo too deep to the point of no return.

Sent using Jamii Forums mobile app
Neno 'Western Media' Ni Kasumba Ambayo Haina Maana Yeyote Katika Dunia Ya Leo. Movie Za Kivita Zinatengenezwa Karibia Dunia Nzima, China, Urusi, Korea, Afrika n.k. Movies Zinatengenezwa Kila Kukicha. Tofauti Hapo Ni Soko Na Bajeti Tu.
 
Ahsante sana nshomile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani US anaogopa kuchapana na Urusi? mbona US ni World Super Power?wakati russia ni regional super power? hebu nifafanulie kidogo
kuna kitu kinaitwa WASHIRIKA. Urusi washirika wake kimslahi ya kiusalama ni CHINA, NORTH KOREA, IRAN, Usa wahirika wake ni UK, FRANCE NA GERMANY. ndio ujiulize yule bwana mdogo wa kiduku korea kaskazini anapta nguvu wapi ya kutamba kuisambaratisha marekani. na kama ikatokea vita kati ya urusi na usa na washarika wakaingia mzigoni nini kittokea
 
hazizidi za urusi mfano ni hyo TU-160 ilivyotoka urusi mpaka venazuela bila kuongezewa mafuta njiani

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani Kama Kuna Usahihi Juu Ya Hilo Maana Hata Boeing Tu Anauza Ndege Za Abiria Zenye Range Ya Zaidi Ya Kilomita 16000 Angani Na Nyingine Zinapiga Mpaka 17000. Sembuse War Planes!
 
Ha ha haa .huko Iraq helkopta moja ya jeshi la marekani iliangushwa na mkulima mmoja tu kwa bunduki ya kawaida.ha haa.
Iraqis hail peasant who 'shot down helicopter'







By Lindsey Hilsum of Channel Four News in Baghdad


12:01AM GMT 25 Mar 2003





The security men in the hotel lobby danced round the television and cheered. "Yes!" cried one. "He did it! He did it!" They were watching today's hero - an elderly peasant from near Karbala, 50 miles south of Baghdad, who - according to Iraqi television - shot down an American Apache helicopter with his hunting rifle.
Just as CNN's broadcasts start on the story "Showdown with Iraq", Iraqi TV has in white words on a black screen: "The battle of final reckoning".
 
KWA KWELI DUNIA INAONGOZWA KWA AKILI KUBWA SANA BILA KUJALI SUALA LA UTU. SISI TU NDO WATOTO WA MUNGU. VIJANA WETU WANAKUFA KONGO BILA YA KUWA NA MASLAHI MAPANA NA YA KUDUMU.
Hii kweli kabisa,Kila siku tunaletewa Majeneza ,tuna linda nini kwa maslahi ya nani ,hatujui.
 
Aisee, Mrussi ni hatari
Mrusi anajenga Estern Zone badala ya Warsaw Pact.
Washirika wake wtakuwa Iran,Syria,Pakistan,China,Turky na pengine Iraq.
Karibuni Vita kuu ikianza ,Wamagharibi watapata hali tete kuifikia Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…