Kwanini Marekani anataka kuishambulia N.Korea?

Kwanini Marekani anataka kuishambulia N.Korea?

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,710
Reaction score
6,372
Hili swala limenisumbua mda mrefu sana, nauliza tu wajuvi wa mambo shida ni nini? Kuna ardhi wanagombania? Hau ni yale majaribio ya silaa? Kama ni silaa mbona hata wamarekani wanazo na hata Tanzania tunazo! Nataka kujua kiini na sababu za America kutaka kumshambulia NK.

Mimi ni team mpinga uonevu usio na sababu.
 
Hau=Au?
Silaa=Silaha?
Sawa. Turudi kwenye mada nini kiini cha hivi vita, kama ni mazoezi ya silaha basi hata sisi kuna siku tutazuiliwa kufanya maonyesho kwenye sherehe za muungano.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Superpowers wanataka wabakie wenyewe....sasa huyu n.k naye anajua akilegeza tu atashikishwa ukuta kama nchi zilizo na uwezo mdogo wa kijeshi na kiuchumi. I think ndo sbb kubwa lakin upande wa pili vita inalipa sanaa kwenye uchumi wa marekani....tizama hii documentary : Its all richman trick. Iko youtube.
 
Sawa marekani naye anazo hizo nuclear. Je ushawahi kusikia anazitest mpaka zinafika kwa jirani zake???? Hata kama una gari siyo kuturingishia kwa dharau siku ukipata ajali majirani watachekelea badala ya kusikitika
 
Back
Top Bottom