Hii ninayo mimi aisee ninaweza kuwa na mtu kwa muda mrefu mkawa sawa na mkaelewana kwa kila kitu ila inapokuja ishu ya kuomba mzigo unaona anapunguza mazoea taratibu,huu nahisi mkosi mwisho relationship inavunjika maana nitaanza kufosi kwasababu muda nimepoteza mwingiTena imeenda mbali kuna wengine wanadai hawajawahi kukubaliwa ngono, ikifikia kumtaka tu kingono anamwagwa
Pole, karibu 0624 440 454 naweza kushauri na kukupa mbinu bora za kuepuka hiloHii ninayo mimi aisee ninaweza kuwa na mtu kwa muda mrefu mkawa sawa na mkaelewana kwa kila kitu ila inapokuja ishu ya kuomba mzigo unaona anapunguza mazoea taratibu,huu nahisi mkosi mwisho relationship inavunjika maana nitaanza kufosi kwasababu muda nimepoteza mwingi
Karibu dm tunaweza kuzungumzaPole, karibu 0624 440 454 naweza kushauri na kukupa mbinu bora za kuepuka hilo
Ni kwel vigezo vimekuwa vingi sana kwenye mapenzi na vingi ni vya matamanio na uvivu wa majukumu ya kaz za nyumbani.Ukikimbilia sura na maumbile + Kujidanganya kinafsia na kuwapuuza waliokosa vigezo vya kuonekana.
Wawili wasiotakana waliigiza kupendana
#Muda ukawa Padre na mahakama
View attachment 2392958
Nakukaribisha kusoma makala zangu na kutoa mawazo yako.Ukikimbilia sura na maumbile + Kujidanganya kinafsia na kuwapuuza waliokosa vigezo vya kuonekana.
Wawili wasiotakana waliigiza kupendana
#Muda ukawa Padre na mahakama
View attachment 2392958