Kwanini Mapadre na Masista wa Kanisa Katoliki hawaoi/hawaolewi?

Mimi ni mkristo, ila ukweli hili la ma padre na ma sista kuto kuoa/kuolewa linaipa kanisa katoliki changamoto kubwa sana, dhambi ya uzinzi, kati ya ma padre 10, 7 au 8 wana hawara au hata watoto
 
1 Timotheo 4:1-3

4 Hata hivyo, neno lililoongozwa na roho linasema kwa hakika kwamba katika vipindi vya nyakati+za mwisho wengine wataanguka+kutoka kwenye imani, wakisikiliza maneno yaliyoongozwa kwa roho yenye kupotosha+ na mafundisho ya roho waovu,+ 2 kwa unafiki wa watu wanaosema uwongo,+waliotiwa alama katika dhamiri+ zao kama kwa chuma cha kutilia alama;3 wakikataza kufunga ndoa,+wakiamuru kujiepusha na vyakula+ambavyo Mungu aliumba+ viliwe kwa kutoa shukrani na wale walio na imani+ na wanaoijua kweli kwa usahihi.
 
Nikwambie hivi hata wanao ruhusiwa kuoa hata mke zaidi ya mmoja si waaminifu kwenye ndoa zao, uaminifu ni siri ya mtu na Mungu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio umeongea point, tatizo kuna watu wamekariri eti kwavile flani kachagua kuwa padri basi hapigi mademu au kwavile flani kawa padri na ni lijali basi lazima anapiga,
 
Wakikataza
Wakikatazwa
Fikiri juu ya haya na ujijibu
1 Timotheo 4:1-3

4 Hata hivyo, neno lililoongozwa na roho linasema kwa hakika kwamba katika vipindi vya nyakati+za mwisho wengine wataanguka+kutoka kwenye imani, wakisikiliza maneno yaliyoongozwa kwa roho yenye kupotosha+ na mafundisho ya roho waovu,+ 2 kwa unafiki wa watu wanaosema uwongo,+waliotiwa alama katika dhamiri+ zao kama kwa chuma cha kutilia alama;3 wakikataza kufunga ndoa,+wakiamuru kujiepusha na vyakula+ambavyo Mungu aliumba+ viliwe kwa kutoa shukrani na wale walio na imani+ na wanaoijua kweli kwa usahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NILICHEKA HAPA NINAPOSALI (MKOANI K'NJARO) KUNA KITUKO KILITOKEA PAROKO ALIKUWA ANAKULA MUUMINI FLANI AMBAYE MUME WAKE YUPO MASAFA, YULE MUUMINI ANALIWA PIA NA DREVA WA AMBULANCE YA MISHENI YA PAROKIA SASA HUYU DREVA AKAHONGWA NA HUYU DEMU (MUUMINI ANAELIWA NA PAROKO) MAPOCHOPOCHO ZIKIWEMO SABUNI ZA KUNUKIA AKAZILETA NYUMBANI MKE WA DREVA AKAGUNDUA KUWA ZILE SABUNI ZINAFANANA NA ZILE ALIZOPELEKA KANISANI KAMA SADAKA YA KUMTEGEMEZA PAROKO, AKAMUULIZA MMEWE (DREVA) HIZI SABUNI UMETOA WAPI? JAMAA AKASEMA NIMENUNUA, AKAULIZWA WAPI? MKE AKAONGEZA HAKUNA DUKA LINALOUZA HIZI SABUNI NILIKUJA NAZO KUTOKA NAIROBI UTANIAMBIA VIZURI ULIKOZITOA.
WAKATI JAMAA ANATAFUTA MAJIBU MKE AKAMWAMBIA TWENDE MGUU KWA MGUU HAPO ULIPONUNUA JAMAA AKAJIFANYA ANAITIKIA SIMU AKAONDOKA KINYEMELA NYUMBANI AKAMPIGIA SIMU YULE MCHEPU AKAMUULIZA SABUNI ZILE ALIZOMPA KAZITOA WAPI DEMU AKAWA MKWELI AKASEMA NIMEPEWA NA FADHA PAROKIANI (JAMAA ALIKUWA AKIJUA KUWA ANASHEA NA PAROKO). JAMAA AKAPOTEZEA HIYO ISHU KILA WAKATI MAMA AKIIKUMBUSHA JAMAA ANAHAMA NYUMBA SIKU 2 HADI 3 BASI IKABIDI MAMA ASIIZUNGUMZIE TENA ILA MAMA ALIHAMIA KKKT.
Kahamia KKKT ili kuwapa nafasi wajinafasi au inakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwaje penye Padre na sista huwepo .Nadhani lengo Ni kuweka sawa ecolojia.Padre hawezi kaa bila sista na sista hawezi kaa bila padre
Padre anamhitaji sista na sista anamhitaji padre ili misa ikamilike
Hapana si yote Padre na masister lazima wawepo nakataa na nafahamu parokia zisizo kuwa na masister

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote wanaojiunga na ile kazi wanakua wamehasiwa
Aliye hasiwa haruhusiwi kabisa, lazima wakupime hawachukui magobole kule, mbinguni vitu vinyonge havitaingia mbinguni na ndiyo maana kama mke ukienda lalamika kuwa huyu niliye naye nikama dada yangu ndoa imavunjwa kabisa mchana kweupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima, watu tumashimdwa kuelewa hata watoto mnazaliwa Baba na mama mmoja lakini kati yenu anapatikana kibaka, mzinzi, Mchungaji humo humo na wote mmelelewa pamoja, hata Yuda isikariyote si alikuwa kati ya hao mitume 12?
Wewe ndio umeongea point, tatizo kuna watu wamekariri eti kwavile flani kachagua kuwa padri basi hapigi mademu au kwavile flani kawa padri na ni lijali basi lazima anapiga,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli bro, ila kutopiga au kutopigwa mkuraba ni ishu nyingine bro. Kwanza cha kujiuliza kwa nn hawachukui wasiokuwa rijali. Wanataka uwe rijali haswa. Halafu hakuna kuoa, pembeni hapo unawekewa wadada, hakuna rukhsa kuwatafuna. Kugegeda nadhani ndio starehe ya kwanza duniani na ndio maisha, sababu bila kugegedana hata sisi tusingekuwepo labda Mungu angeleta mfumo tofauti wa kutuleta duniani. Acha tuishi kwa kuzugana mkuu, ila mkuraba uko palepale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Emmanuel Milingo (born June 13, 1930) is a former Roman Catholic archbishop from Zambia. ... In 2001, when Milingo was 71, he received a marriage blessing from Sun Myung Moon, the leader of the Unification
 
...Katika taasisi imara na tajiri duniani ni kanisa Katoliki. Kanisa hili tajiri na linaloutumia utajiri wake kuifaidia jamii (sio wachungaji wake tu), ina wachungaji wasomi sana na wanasayansi wakubwa. Ndilo kanisa lenye wachungaji wasomi kuliko makanisa yote, mfano Mapadre huweza kusoma miaka mpaka 8-12 baada ya form six achilia mbali wanaoongeza specilizations mf utabibu, engineering, sheria nk.

Mapadre ni washauri wazuri wa mambo ya ndoa na hutoa mahubiri mazuri wakati wa ndoa. Hutumiwa sana ktk kuzijenga ndoa zinazotetereka (refer wimbo wa Baba Paroko).

Leo napenda kuuliza, maswali yafuatayo;
1. Kwa nini watawa na mapadre wake hawaruhusiwi kuoa?
2. Moja ya factor ya kuwa padre ni kuwa rijali (dume la mbegu), je, wachungaji hawa hufanikiwaje kujizuia dhidi ya hitaji muhimu (basic human need) la kujamiiana?
3. Kama ilivyo kwa mapadre, watawa nao hujidhibitije juu ya kujamiiana?
4. Nini adhabu ya mtawa/mchungaji anapokiuka kiapo chake cha useja? (celibacy)
5. Kwa nini wachungaji wake wasihasiwe ili kuzuia kuanguka ktk dhambi ya uzinzi?
6. Lini kifungo hiki kitakatwa ili mapdre waoe, au masista waolewe?
7. Unatoa maoni gani, watumishi hawa waruhusiwe ndoa kama walivyo watumishi wa makanisa mengine?
8. Unatoa maoni gani, je, jamii hii inauishi uharisia wa kiapo chao?View attachment 985097View attachment 985098View attachment 985099

Nawakaribisha Maaskofu, monsinyori, mapadre, mashemasi, mafrateli, maburuda, watawa, makatekista, wanovisi, ministranti, makleri, waamini nk mje hapa jukwaani mtoe darasa mpaka hata mimi mkristo nisiye na kanisa nielewe vzr.

NB: Lengo la mada hii ni kujifunza na kukuza miito kwa vijana wanaotaka kujiunga na timu hii ya waseja!!


View attachment 985087View attachment 985088

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta Kitabu cha huyu jamaa, then utajua kwa nn hawawezi kukaa bila ya kupiga mzigo.

Emmanuel Milingo (born June 13, 1930)Roman Catholic archbishop from Zambia. ... In 2001, when Milingo was 71, he received a marriage blessing from Sun Myung Moon, the leader of the Unification
 
Kufanya mapenzi sio lazima uowe au kuolewa, wao wamekatazwa hata mapenzi, swali langu ni kwamba hawafanyi mapenzi?? Hapo ndipo palipojaa unafiki wa hali ya juu!! Samahani! Hata nabii Issa alimpenda sana Mary Magdalena sembuse wewe binadamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom