mimi naona dell imesambaa sana hapa kwetu kutokana na sababu zifuatazo
1.Dell ni rahisi kwa bei kulinganisha na suppliers wengine
2.drivers na software za dell,ni compatible kwa dell za model tofauti.
3.Dell wana hardware assurances,yaani ukinunua dell-latitude,dell-vostro,optiplex..et al.....zinaingiliana vifaa,kama wireless cards,motherboard,n.k
4.dell wana customer support nzuri mno
from the above reasons,naomba nielezee hoja yangu,katika makampuni,its the IT manager ambaye anaamua ni brand gani itumike,na yeye hupeleka mawazo kwa procurement/supplies department ili waweze kununua.kwa ajili ya dell kuwa ni rahisi ku-repair,na vifaa vyake vinaingiliana,vinadumu,na wanapata support kukiwa na tatizo.basi unakuta IT managers wa makampuni makubwa wananunua reputable computers from a reputable company,,,,,kampuni zingine zinazoongoza kuwa katika maofisi hapa bongo ni HP,Lenovo na mac