Kwanini Mandela hakumsamehe mkewe Winnie?

Inahitaji moyo sana kuwa na mume ambaye yuko jela hujui atatoka lini halafu mke mwenyewe mrembo kama alivyokuwa Winnie enzi za ujana wake.
Watu wanaweza sema umalaya. Lakin i reality ni ngumu sana. Mume kufungwa miaka 27 na mwili wa mwanamke unahitaji tendo tamu baada ya muda fulani.. hakuna jinsi, ndio hapa winnie ilibid akitembeze.
Kosa alilofanya ni kumfanya mzee ajue kuwa alitafunwa. Kwa msimamo wa mzee mandela, ndio maana hakumsamehe winnie
 
Mapenzi kikohozi
 
Winnie naye alikuwa mzuri sana halafu very popular ndani na nje ya South Africa hivyo kukitembeza bila kujulikana ingekuwa ngumu sana. Angekuwa ni mtu wa kawaida tu basi angeweza kupuyanga kwa raha zake bila shida yoyote ile.

Angeweka kijana rijali ndani kama houseboy akitoka nje yuko mwenyewe. Hata Mzee angeridhia kama kungekuwa na usiri mradi jamaa alipwe mpunga wake
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…