Kwanini mama wake huangalia kucha?

Ni kipimo chao kujua kama mjukuu ni wao au laa!!
Ila si ustaarabu kumpekua pekua mtoto na mama yake akiwepo,hawezi kujisikia vizuri.
Kama mama ana busara ata offer kumuogesha mtoto humo kwenye beseni na kumvalisha ndio ampekue awezavyo!!!
 
Makubwaaaa nywele na kitovu akavifanyie nini?
 
Makubwaaaa nywele na kitovu akavifanyie nini?

Hayo ndio mambo ya wanawake, na yanafanyika sana kila siku huko mitaani. Tafuta wamama watu wazima wakueleze, mi mwanaume sijui. Ila yanafanyika.
 
Hayo ndio mambo ya wanawake, na yanafanyika sana kila siku huko mitaani. Tafuta wamama watu wazima wakueleze, mi mwanaume sijui. Ila yanafanyika.
Mmmh kama vile ushirikina...
 
Makubwaaaa nywele na kitovu akavifanyie nini?

Hujawahi sikia msemo huu " huyu jamaa aliangukiwa na kitovu", wanawake mna mambo sana. Kwa hiyo Wamama huwa wanawahi kitovu kisiangukie kunako ..... Hizo ndio za wanawake, hata wewe walikuangalia kucha !!!!!
 
duu....!! Ubantu na sifa zake upo katika kilevi cha mauti.wazungu weusi bado tunaihujumu africa.big up nigeria,ghana na home kwa muswati tuombeen dua kwan platectonic imebadili hali yetu ya hewa na utamadun mana kila destur ni uchawi.hata kama mim ni mnj bado ni muafrica..!!
 
Hujawahi sikia msemo huu " huyu jamaa aliangukiwa na kitovu", wanawake mna mambo sana. Kwa hiyo Wamama huwa wanawahi kitovu kisiangukie kunako ..... Hizo ndio za wanawake, hata wewe walikuangalia kucha !!!!!
Mmmh imani nisizoziamini mie, hata sitaki kuyajua hayo...
 
Ni uthibitisho kama mtoto ni damu yao,ni kopimo ambacho hakiomgopi kuliko kipimo cha kizungu.d.n.a.
 
...Huyo mama mkwe atakuwa anatafuta ushahidi wa manyoya ili ajue kama mwanawe kaliwa au yuko salama, manake nyie ndugu zetu wa kisasa hamchelewi kutuchanganya ili mradi mtimize malengo yenu, hasa ya kiuchumi.
 
Kwani we hauna mkwe? au we ni mkwe wako haziivi? si uende ukamuulize
 
Ha ha ha!walikuwa wanafananisha!

Nilichukia kweli tena mama mkwe nampekua kabisa ikabidi nihoji kulikoni mama mbona unamuagalia mwanangu kidudu chake? nae kwa kujichekesha ooooh namuona motto mweupe sana kama mwarabu sasa ukitaka kujua motto kama mweusi au mweupe mwangalie sehemu za siri au kwenye masikio.....sikumjibu ila nilimtukana kimoyo moyo PUMBAVUUUU!!!!!!!!!!!!
 
ilikugusa nn? Yawezekana ulichepka kidogo hvyo lazma wawe makin kwasababu hamchelew kuuza mbuz kwenye gunia
 
ilikugusa nn? Yawezekana ulichepka kidogo hvyo lazma wawe makin kwasababu hamchelew kuuza mbuz kwenye gunia

Hahhahah, wapiii wake wengine wana shida zao mtoto sasa hivi kakua copy na baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…