SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
- Thread starter
-
- #21
Aisee, kumbe haya mambo yana vituko hivyo Evelyn? Kwani na wewe umeshakutana na mkasa huo?Haswaaa mtu akijifungua tu hao nduki kuja kumfunua mtoto khanga
hii ni kwa wamama walokosa ustaarabu
Haswaaa mtu akijifungua tu hao nduki kuja kumfunua mtoto khanga
hii ni kwa wamama walokosa ustaarabu
mi nishajiuliza sana kwanini watoto wanazaliwa na kucha? halafu unakuta zimekomaa kweli nyeusii na uchafu kibao!!!
kwani huwa kuna kujikuna huko tumboni?
Most of them wanahakiki kama mtoto ni wa mwanae au kachakachuliwa
sipendi hiyo tabia mie
ok ukipata taarifa tafadhali tujuze
Wengi wao wanakuwa wanakumbuka jinsi muundo wa vdole vya watt wao wakat wamezaliwa so kuangalia hyo ni kama kumbukumbu fulan inayoconnect uzao wake na huo uzao wa mwanae.....
Kweli kabisa, ipo kisaikolojia zaidi kuliko kuhakiki kama mtoto kachakachuliwa...huwa wanaangalia vitu zaidi ya kucha kama kipimo cha 'dna' kwa macho mfano sura, masikio nk..nk...
pacha mi mbona nishawatoa watoto wengi sana hospitalini baada ya kuzaliwa!Mmh...pacha umewahi kuangalia kucha za mtoto aliyezaliwa hapo hapo ukaona hayo kabisaa:what: ..au huyo uliyemwona alikuwa na siku ngapi tuanzie hapo
Most of them wanahakiki kama mtoto ni wa mwanae au kachakachuliwa
sipendi hiyo tabia mie
pacha mi mbona nishawatoa watoto wengi sana hospitalini baada ya kuzaliwa!
yani ukiangalia kwenye vidole, utaona kucha zilivyo na uchafu mwingi ambao ni kama wakujikuna!
pacha subiri ukijifungua ufanye huo utafiti!
Sijawahi fanyiwa hivo siku mwanamke atakaenifanyia hiviwaliangalia na wakwako kumbe
Nipo sana....Upo my to be!
Hawana maana kwani mtoto si yupo watamkagua kwa muda waoUmeona mamy halafu wako fasta huku wakijichekesha
Mara kusema kucha nzuri oor atakuwa na miguu mizuri daaa
Aisee, kumbe haya mambo yana vituko hivyo Evelyn? Kwani na wewe umeshakutana na mkasa huo?
Sijawahi fanyiwa hivo siku mwanamke atakaenifanyia hivi
nitamwambia amzalie kijana wake ili asichakachuliwe
Hata mtoto sina, ila mama mkwe wangu sio mama wa type hizo kwakweli....