Kwanini Malima kwa Obama?

Kwanini Malima kwa Obama?

F.B.I ndio walikua wanaratibu waziri gani awepo! Kama huamini kamuulize Kova

Dah usinikumbushe mkuu alivyokainamishwa halafu mbwa akaenda back akanusa ndo akaruhusiwa,hatawasahau walivyomdharirisha!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
malima ni nabii mzuri sana wa mbegu za GMO ambazo wakubwa marekani wanasisitiza ziingizwe nchini! hapo ujue ndipo kilipo kifo cha wakulima wa tanzania.
 
KITENDO CHA ADAM ( na kikwete) KWENYE NYANJA ZA DIPLOMASIA HAKIKUELEWEKA ...pale UWANJANI WAZIRI MKUU PINDA ...BAADA YA KUSALIMIANA NAYE ALISOGEA FIRST RAW....ilishangaza Sana ADAM MALIMA NAYE KUSOGEA FIRST RAW NA KUENDELEA KUPIGA STORY NA RAIS ........NA PINDA KATIKA HALI YA UTULIVU ALIENDELEA KUSIMAMA TU NYUMA...
KATIKA HALI YA KAWAIDA HATA KAMA ADAM ALIITWA HAIKUTAKIWA AJISAHAU ...ANGEJIBU ALICHOITIWA NA HARAKA ANGEONDOKA KWENYE NAFASI ILI WAZIRI MKUU AWEZE KUCHUKUA NAFASI YAKE .....lakini inaonekana ...alileta "ushkaji" Kazini...
MKUU WA ITIFAKI MOHAMED MAHARAGE ...PIA ALIKUWA NA UWEZO WA KWENDA PALE NA KUMUOMBA CHEMBA ....KAMA NJIA YA KUMKUMBUSHA NAFASI YAKE.....AU INAWEZEKANA KABISA BAADA YA KOSA HILO ....AMESHAMUANDIKIA BARUA ADAM MALIMA KAMA KUMKUMBUSHA NAFASI INAYOMPASA NA NIDHAMU...

ITAMBULIKE KUWA KWENYE PROTOCAL HATA KAMA RAIS NI BABA YAKO AU MJOMBA....LAZIMA UFUATE MPANGILIO......KAMA UNATAKA KUONYESHA WATU KUWA WEWE UPO KARIBU NA RAIS KULIKO MAKAMU WA RAIS ,RAIS WA ZANZIBAR AU WAZIRI MKUU...MKUU WA MAJESHI ETC....UNAWEZA KUNYWA NAE KAHAWA JIONI....
ANGALIA MFANO MKUU WA MAJESHI....PAMOJA NA KUWA AKIWA NA WAZIRI WA ULINZI ...HUMPA HESHIMA..FULANI ....WANAPOKUTANA MBELE YA RAIS ...MKUU WA MAJESHI HUCHUKUA NAFASI YA KUKAA NA RAIS NA WAZIRI WA ULINZI HURUDI NYUMA NA KUKAA NA MAWAZIRI WENZAKE...
Kwenye hierarchy ya national defense Bosi pekee wa Mkuu wa Majeshi ni Rais.....ila nidhamu tu ndio inafanyika ......ni mtu wa pili mwenye nguvu nchini Baada ya Rais ....
 
University of Hauana (Cuba)
MSc. (Economics)
1984
1989
MASTERS DEGREE
University of London (SOAS)
MSc. (Econ)
1994
1995
MASTERS DEGREE
Univesity of London (SOAS)
Post Graduate Diploma (Econ)
1993
1994
POSTGRADUATE
Shaban Robert Secondary School
O-Level Education
1979
1982
SECONDARY
Upanga Primary School
Primary Education
1972
1978
PRIMARY

Du! Toka O level mpaka Postgraduate!!!!!
 
Mkuu unauhakika na unachosema? Prof Kighoma Malima hakuwa mtu wa chuki pamoja na watu kumsema vibaya. Prof Malima alihama CCM baada ya jina lake kuenguliwa kwa mizengwe kugombea Urais 1995. Mwalimu na Paul Sozigwa ni miongoni mwa watu waliomwekea mizengwe. Huo ni ukweli, jaribu kuulizia kwa undani, utaelezwa
Hata wewe naona kuna vitu huvielewi hapa. Wakati prof anahama ccm ilikuwa bado mchakato wa kumteua mgombea urais haujaanza, Ila nakumbuka alilazimishwa ajiuzulu akiwa waziri wa fedha, Rais Mwinyi akafanya mabadiliko akampeleka viwanda na biashara na Mh Kikwete akahamishwa kutoka nishati na madini kwenda wizara ya fedha. Nadhani kulikuwa na shinikizo la nje maana baada ya muda mfupi Patric Chokara alitangaza kujiuzulu kwake. Baada ya hapo Prof alijiunga na chama kilichokuwa kinaitwa NRA na baadae kikabadilishwa jina kikaitw NAREA. Baada ya kukiimarisha hiki chama Prof alikwenda majuu kwa matembezi (sijui alichofuata huko kwa kweli) baada ya muda mfupi alitangazwa amekufa na maiti yake ilirejeshwa nchini kwa mazishi. Ninachokumbuka ni kuwa Rais wa wakati huo Mh Ali Hasan Mwinyi alimwagia sana sifa, akisema kuwa marehemu alikuwa mchapa kazi, mwenye ushirikiano mzuri pia msomi aliebobea katika uchumi.
 
Thanx Mkuu kwa maelezo mazuri
 
Kaishi sana marekani huyu bwana...Ila anavipaji vingi sanaa maana jana uwanja wa taifa mechi ya wabunge wa simba na yanga kapiga sana sokaa
 
Malima alipelekwa Wizara ya Kilimo kama kuwadi wa biashara ya ugawaji wa vibali vya uagizaji wa bidhaa za kilimo nchini hasa sukari na mchele. Uagizaji wa sukari ulipaswa kuwa viwanda na biashara lkn sasa upo kwa Malima.

Ukitaka kibali cha sukari na hela ya kuhonga ipo unaelekezwa kwa Riz1. Ukifika kwa huyu hatua inayofuata utasindikizwa kwa memo nzito hadi kwa Katibu Mkuu-Kilimo na kwa Malima. Na mchezo ndo unakuwa umekamilika hivyo.
dah kweli darisalama si mchezo,hv mnapata wapi hizi data?
 
University of Hauana (Cuba)
University of London (SOAS)
Univesity of London (SOAS)
Shaban Robert Secondary School
Upanga Primary School

[TD="align: center"]MSc. (Economics)
[/TD]
[TD="align: center"]1984
[/TD]
[TD="align: center"]1989
[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE
[/TD]

[TD="align: center"]MSc. (Econ)
[/TD]
[TD="align: center"]1994
[/TD]
[TD="align: center"]1995
[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE
[/TD]

[TD="align: center"]Post Graduate Diploma (Econ)
[/TD]
[TD="align: center"]1993
[/TD]
[TD="align: center"]1994
[/TD]
[TD="align: center"]POSTGRADUATE
[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education
[/TD]
[TD="align: center"]1979
[/TD]
[TD="align: center"]1982
[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY
[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]1972
[/TD]
[TD="align: center"]1978
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
Kwa CV hii ya kupita mpaka CUBA basi huyu ni TISS wa cheo cha juu sana, so kutembea na SMG, yamkini alikuwa kwenye majukumu ya TISS zaidi kuliko uwaziri!!
 
Kwa CV hii ya kupita mpaka CUBA basi huyu ni TISS wa cheo cha juu sana, so kutembea na SMG, yamkini alikuwa kwenye majukumu ya TISS zaidi kuliko uwaziri!!

Mkuu Karikenye ina maana ulikuwa hujui?
 
Last edited by a moderator:
Wafuatiliaji wa mambo na masuala ya kisiasa, wameelezea kuonekana huko kwa Malima katika mapokezi hayo kumeacha tafsiri pana, wengine wakidhani kwamba huenda Malima ana umuhimu mwingine tofauti usiofanana na hadhi yake ya Unaibu Waziri katika serikali ya Rais Kikwete.
huwezi jua kweli, mimi nilikuwa wakati wote nimepiga magoti naomba isije tokea kama Jangwani na Kirumba ambapo ingelikuwa aibu kwetu sote na kweli mpaka airforce one inaruka nikasema Mungu mkubwa. Labda sala zangu huenda zilikuwa ziada tu!!!
 
Back
Top Bottom