Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

Huwa nasoma makala ya 'the bold' kuhusu zile drug cartels zinavyonyang'anyana miji mexico...huenda na hapa n hivyo..labda jamaa anaweza kuwa upande wa 'mungu wa dar'
 
Ukizungumzia kanisa katoliki .. umezungumzia serikal ya tanzania
 
Kwani kwenye ' Pengo ' unga unaweza kukaa au kuonekana?
 
Hauamini Kuhusu Manji? unayeamini nani kati ya walioitwa?
 
Wakati wote niliona upo reasonable; but after this? You must be crazy!!
 
Sasa nimeanza kuamini kuna Mjinga moja alikurupuka na kuchafuwa Majina ya watu....hii inaonyesha dhahiri Mjinga huyo hakuwa na nia ya dhati ya kupambana na madawa ya kulevya
 
Ma askofu wa kilokole na mashekhe ndo hupenda kuonewa sana bila kujali utu wao, ila naona kuna dhehebu huwa haliguswi ukilitaja tu wafwaaa.
Hao wakisikia MTU wao jina limepita kila Mara nyaraka haziishi ..kusomwa kwenye Jumuiya hata kama MTU wao hana uwezo kama....
 
Pengo kama aliwahi kufanya hii biashara labda zamani,sikuhizi kazeeka sana ,hawezi.
Ila mi namlaumu anapokaa kimya vijana wake wanavyonyanyasa watu,
sijui anawaogopa au anaung mkono haya manyanyaso
 
Wewe ndiye uliyempangia kuwaita hao aliowaita au unaongea tu linalokujia kichwani?
 
Hao wakisikia MTU wao jina limepita kila Mara nyaraka haziishi ..kusomwa kwenye Jumuiya hata kama MTU wao hana uwezo kama....
Na unakuta madudu mengi hawasemi full kusifia no Ku kemea nikikumbuka kipindi cha Jk matamko yalikuwa kila siku kumkemea why double standard.
 
Pengo kama aliwahi kufanya hii biashara labda zamani,sikuhizi kazeeka sana ,hawezi.
Ila mi namlaumu anapokaa kimya vijana wake wanavyonyanyasa watu,
sijui anawaogopa au anaung mkono haya manyanyaso
1. Drug dealers ni wafanyabiashara kama wewe wanatafuta pesa kujikimu na utajiri
2. Askofu Pengo mkuu wa kanisa kubwa duniani lenye waumini zaidi ya billion
3. Posho yake ni chakula, pocket money na hizo sijui atumie wapi maana hata sokoni haendi
4. Catholic Church, USA, China are the biggest economies of the world
5. Catholic Church na Reagan ndiyo waliangusha Soviet Union

That is the world order
 
Na unakuta madudu mengi hawasemi full kusifia no Ku kemea nikikumbuka kipindi cha Jk matamko yalikuwa kila siku kumkemea why double standard.
Nilikuwa na MTU mmoja nilikuwa namuheshimu lkn alivyoanza kumtetea mtukufu kwa mambo ya kibwege sababu ya huo uDINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…