MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,261
- 1,222
Umoja wa Mataifa kwa kimombo United Nations(UN) ulianza kama League of nations ukawa na wanachama 53. Leo ziko nchi wanachama kama 193. Cha ajabu makao makuu(headquarters) ya taasisi nyingi za UN na mashirika mengine mengi makubwa yako nchini Marekani. Pia watendaji wakuu wengi wa mashirika au wasaidizi wenye nguvu na mamlaka ni Wamarekani. Nchi zingine zilizobahatika kuwa na makao makuu ya mashirika ya UN ni Italy(Rome), Switzerland(Geneva), Kenya(UN- HABITAT, Nairobi) na mataifa mengine machache ila Marekani ni mengi. kigezo ni nini? Au kama ni sababu za kihistoria basi tujuzane kwa wanaojua. Angalia hii orodha:
1. UN- New York
2. UNDP- New York
3. IMF- Washington D.C
4. UNICEF- New York
5.World Bank- Washington D.C
N.B ukilijua shirika lingine la UN ambalo makao makuu yako Marekani, naomba utupie
1. UN- New York
2. UNDP- New York
3. IMF- Washington D.C
4. UNICEF- New York
5.World Bank- Washington D.C
N.B ukilijua shirika lingine la UN ambalo makao makuu yako Marekani, naomba utupie