Mr.panya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 248
- 274
wameanza iphone sa hv naona samsung nao wamegezaDuh iPhone hao au kina nani?
Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
wameanza iphone sa hv naona samsung nao wamegezaDuh iPhone hao au kina nani?
Mbona ata ivo tayari simcard zinazotoka saivi zinakuwa zimekatwa moja kwa moja kwa saizi zote tatu.Nadhani ungesema wanaotengeneza simcard watengeneze ndogo
Mbona ishaanza unaweka app kwenye sim halafu simu ina detect kama umeweka line vile.Inafikirisha sana kwakweli.huko tunapoelekea hata laini hazitokuwepo,unajisajili kwa access ya mtandao husika kisha unafanya matumizi ya laini kama kawaida.
Acha kutudanganya hivi iphone 3, 4 ,5 na hz wanazotoa sasa hv zipi kubwa??Kutokana na simu kuwa ndogo na space ya more electronic equipment's kua issue so wakaamua wapunguze ukubwa iweze kufit.
Kweli tablet ni kubwa ila huwa inatumika kama supplement device na ilionekana kuna posiblity ya mtu kutumia line monja accross devices ndo maana wakaona hiyo micro SIM iwe kama standard.
Hata kwenye magari siku hizi baadhi hayaji na spare tires/hayana nafasi ya spare tires ila yanakua na tire repair kit tu, wanadai spare tires inaongeza uzito.
In future nadhani hayo mambo ya SIM card yatapotea kabisa.
Acha kutudanganya hivi iphone 3, 4 ,5 na hz wanazotoa sasa hv zipi kubwa??
Imeshaanza ila inaitwa Esim( laini usioiona kwa macho) iphones na flagship kadhaa za android wanazo siku bongo wakij na hio kitu navunja milaini yangu yote.Inafikirisha sana kwakweli.huko tunapoelekea hata laini hazitokuwepo,unajisajili kwa access ya mtandao husika kisha unafanya matumizi ya laini kama kawaida.
Who is docomo? NisaidieMbona ishaanza unaweka app kwenye sim halafu simu ina detect kama umeweka line vile.
Docomo wanayo hiyo huduma
Mbona hii ya earphone ni kitambo ishaanza kuwork.Naona mpaka sasa hujaamini tu.
Anasema kuna iPhone zinakuja bila charger yake so tujiandae tunaponunua simu tuende na pesa ya charger kuanzia sasa na kizazi kijacho mpaka earphones nazo zitaondolewa kwenye mabox yake
Ni mobile phone operator japan. Kuna simu hasa za sony uwa zinakuja na logo ya docomo, ukiona hivyo usinunue itakusumbua.Who is docomo? Nisaidie
Ina maana simu ikija ni no laini unafanyiwa setting go deep kidogo kiongozi hasa upande wa kampuni hii niliona mahaba nayo (Xiaomi) wataanza lini nijipangeNi mobile phone operator japan. Kuna simu hasa za sony uwa zinakuja na logo ya docomo, ukiona hivyo usinunue itakusumbua.
Pia xiomi naskia nao wana mpango huo wa kuanzisha kitu kaa hicho cha kutumua app kwa wanaotaka watakuwa wanatoa huduma ya simu