Kwanini Majini ujitambulisha kwa majina ya Kiislam?

Kwanini Majini ujitambulisha kwa majina ya Kiislam?

Status
Not open for further replies.
SHETANI ATEREMSHA AYA ZAKE KWENYE KURUANI NA KUKIRI KUWA ALLAH NDIE MOLA WAKE MLEZI
1. Shetani akiri kuwa Allah ni Mola wake Mlezi.
2. Asema Allah ndie aliye mfundisha kutenda dhambi.
3. Asema na yeye atafanya maovu aliyofundishwa na Allah kwa Binadamu
4. Tabia za Shetani na Allah zafanana
Surah Al Hijr 39. Shetani akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote,
[Sûrah al-A`râf: 16-17], [Sûrah al-Isrâ’: 62] ,
Kumbe Shetani na yeye aliteremsha aya zake kwenye Koran.

Unajua saa nyingine ukafiri huwa unawafanya mnakuwa wajinga, ndio maana mnamuabudu binaadamu mwenzenu aliesulubuwa na mayahudi. Sasa kama hujui sema ufundishwe, kwanza tambua kuwa, Quran yote ni maneno ya Allah, sasa mule Allah amequote maneno ya viumbe, lakini ukafiri wako maskini unakufanya useme ni aya za shetani :-D, unajua aya lakini? Hujazoea aya wewe ushazoea mashairi ya petro kakutungieni kitabu mkakifwata, mara king james mara sijui nani mmo mmo tu. Sasa nakupa elimu nduchu, apo aliposema kuwa mola wangu mlezi, tambua kuwa, huyu shetani iblisi wakati huo alikuwa ni kiumbe mwenye kufanya ibada kiasi kwamba alikuwa darja moja na malaika pamoja na kuwa ameumbwa kwa moto na malaika kaumbwa kwa nuru, unatakiwa ujue kwa mungu hakuna aliembora zaidi ya mwenzake isipokuwa kwa ucha mungu na iblisi alikuwa mcha mungu kama alivyo malaika, ndio maana Allah akmquote (anasema yeye Allah hiyo aya, ndani ya aya anamnukuu iblisi alichosema) na ndio alikuwa mlezi wake kwani alikuwa mwema na alipendwa lakini baada ya kumkera Allah akamfukuza na akamuondoa katika kundi la malaika, kijana soma usipelekeshwe na ukafiri wako ukawa hohe hahe eeee!!
 
Unajua saa nyingine ukafiri huwa unawafanya mnakuwa wajinga, ndio maana mnamuabudu binaadamu mwenzenu aliesulubuwa na mayahudi. Sasa kama hujui sema ufundishwe, kwanza tambua kuwa, Quran yote ni maneno ya Allah, sasa mule Allah amequote maneno ya viumbe, lakini ukafiri wako maskini unakufanya useme ni aya za shetani :-D, unajua aya lakini? Hujazoea aya wewe ushazoea mashairi ya petro kakutungieni kitabu mkakifwata, mara king james mara sijui nani mmo mmo tu. Sasa nakupa elimu nduchu, apo aliposema kuwa mola wangu mlezi, tambua kuwa, huyu shetani iblisi wakati huo alikuwa ni kiumbe mwenye kufanya ibada kiasi kwamba alikuwa darja moja na malaika pamoja na kuwa ameumbwa kwa moto na malaika kaumbwa kwa nuru, unatakiwa ujue kwa mungu hakuna aliembora zaidi ya mwenzake isipokuwa kwa ucha mungu na iblisi alikuwa mcha mungu kama alivyo malaika, ndio maana Allah akmquote (anasema yeye Allah hiyo aya, ndani ya aya anamnukuu iblisi alichosema) na ndio alikuwa mlezi wake kwani alikuwa mwema na alipendwa lakini baada ya kumkera Allah akamfukuza na akamuondoa katika kundi la malaika, kijana soma usipelekeshwe na ukafiri wako ukawa hohe hahe eeee!!

Mahakama nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo.

Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag, ambaye babake ni muisilamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja na kufanya zinaa kwa kuolewa na mwanamume mkristo , kitu ambacho dini ya kiisilamu imeharamisha kwa wanawake.
[h=2]Taarifa zinazohusiana[/h]



Mariam mwenye umri wa miaka 28 pia ni mjamzito na ataadhabiwa kwa kuchapwa mijeledi miamoja kwa kosa la zinaa.
Maafisa wakuu wanasema kuwa licha ya Mariam kulelewa kwa njia ya kikristo yeye bado ni muisilamu kwa sababu hiyo ndiyo dini ya babake.
Alipewa siku tatu baada ya kuhukumiwa aweze kurejea katika dini ya kiisilamu lakini akakataa na ndio maana adhabu ikasalia.

Kwa kawaida wanawake waisilamu hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wakristo ingawa wanaume waisilamu wanaruhusiwa kuwaoa wanawake wakristo.
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International linasema kuwa Bi Ishag alilelewa kama Mkristo muorthodoxi kwa sababu babake hakuwepo naye maishani mwake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Shetani alikuwa malaika, baadae aka hasi, akafukuzwa mbinguni akakimbilia duniani na malaika wake aliowarubuni ambao leo ndio tunawaita majini au mapepo.

Ulikua ujui ndo maana mkristo akifaa leo anaweza kaa ata siku kumi pila kuzika naakizikwa anazikwa na jeneza la chuma au Mbao ya mninga du wanazikwa na sut viatu saa wengine mpaka bastola du!!!! Ujui kwa nini kumbe
Ushaambiwa mbingun Kwao la vita kuna vita
 
Shetani alikuwa malaika, baadae aka hasi, akafukuzwa mbinguni akakimbilia duniani na malaika wake aliowarubuni ambao leo ndio tunawaita majini au mapepo.

Ewe Kakende ewe Kakende, mrudie mola wako aloumba mbingu na ardhi, hakuzaa wala hakuzaliwa, hana baba wala mama, hakutoka katika tumbo la yoyote, wala hakuletwa ulimwenguni kwa msaada wa wowote, leo jiulize, lau kama Gabriel asingepuliza tumbo la Bikra mAria, huyu Yehova angekuwa wapi? Yehova na Gabriel nani anauwezo sasa? Kwamba yehova ameletwa kwa msaada wa Gabriel, kwamba yehova hana nguvu za kujilinda kuliko Gabriel? Mi nakushauri, chukua glasi ya maji kaa katika kiti peke yako, halafu mtafakari yehova, wewe na yeye mnatofauti gani kimaumbile ewe kondoo wake?

Haya sasa, kitabu cha petro kimekufubdisha kuwa shetani alikuwa Malaika? Jamani haya mashairi yamekuharibuni sana, poleni lakini. Kamwe bilisi/shetani hajawahipo kuwa malaika hata siku 1, ibilisi/shetani/jini wameumbwa kwa moto, na Malaika wameumbwa kwa Nour, (sijui petro kakutajieni kitu cha Nour?) kabla ya iblisi kumuasi Allah alikuwa akikaa pamoja na Malaika kwani wote walikuwa wanafanya ibada na ibilisi alikuwa mwema sana, lakini kiburi kimemponza, ndo akafukuzwa. Petro hajakutajieni sifa za malaika katika dftari lake la mashairi na hadithi za alfu ulela ulela (Bible)? Malaika hana feelings, malaika hali wala hanywi, malaika hamuasi Mola, malaika full time anafanya ibada, iweje useme eti shetani alikuwa malaika wakati ni viumbe viwili visivyofanana kabisaaaaaaaa!! Usikubali kuambiwa mungu wako katiwa majiti na mayahudi tena na wewe ukajisifia eti ndo amewasamehe dhambi zenu.... Wewe unakubali kabisa Mungu wako kafa kwa siku 3? Alipokufa nani aliiongoza dunia? Teh teh teh... Fanya nlivokwambia utafakari
 
HIVI UNAJUA KUWA MAJINI (MASHETANI )NI NDUGU ZA WAISLAMU? (JINNIE (EVIL SPIRITS) HAVE SPIRITUAL RELATION WITH MUSLIMS)

UTANGULIZI:
Majini ni viumbe visivyoonekana kwa macho ya kawaida ya wanadamu. Hii ni kwa sababu viumbe hivi viko katika asili ya roho ya kutokuonekana. Majini huitwa pia Ibilisi, Shetani, Pepo mchafu au Joka la zamani.

ASILI YAO:
Majini yalikuwa ni malaika kabla ya kuungana na yule Muasi Mkuu wa Mungu, yaani Lucifer aliyemuasi Mungu mbinguni na kutaka ukubwa wa kufanana na Mungu, na ndipo akatupwa huku duniani yeye pamoja na malaika zake, na huku wakiwa wamenyang’anywa utukufu waliokuwa nao hapo awali. Vita hiyo iliongozwa na Malaika Mkuu wa Mungu wa Mbinguni yaani Jehova kumtupa chini huyo malaika muasi pamoja na malaika zake. Viumbe hivyo vilivyotupwa ndivyo leo vinavyoitwa MAJINI au MASHETANI au PEPO WACHAFU au IBILISI au JOKA LA ZAMANI.

Uf. 12:7-12 “ Kulikuwa na vita mbinguni, Mikael na Malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake, nao hawakushinda, wala mahala pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa yule mkubwa nyoka wa zamani aitwaye Ibilisi na shetani audanganyaye ulimwengu wote, akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema sasa kumekuwa wokovu, na nguvu na ufalme wa Mungu wetu kwa maana ametupwa chini mshtaki wa ndugu zetu yeye awashtakiye mbele za Mungu wetu. Mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo na kwa neon la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. Kwa hiyo shangilieni enyi mbingu, nanyi mkaao humo. OLE WA NCHI NA BAHARI! Kwa maana yule Ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi akijua ya kuwa ana wakati mchache tu”

Hivyo kwa mistari au aya hizo unaanza kupata taswira ya kile tunachijifunza kuliusiana na majini.

Ki- Biblia Malaika ni viumbe walio katika hali ya roho ila wanaweza kuonekana kwa umbile la mwanadamu Mw. 18:1-18, Lk 1:26-28, Kut 3:1-6

Katika Ebr 1:13-14 “ Yuko Malaika aliyemwambia wakati wowote uketi mkono wangu wa kuume hata nitakapowaweka adui zako chini ya nyayo zako? Je, hao si ROHO watumikao wakitumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?
Biblia inazidi kubainisha namna ya kuumbwa kwao
Mw. 2:1 “ Basi mbingu na nchi zikamalizika na JESHI LAKE LOTE”

Ni katika jeshi hilo ambapo tunawapata hawa viumbe vya kiroho.

Na katika Kol 1:1:16 “ kwa kuwa katika yeye vitu viliumbwa vilivyoko mbinguni na vilivyo juu ya nchi. Vinavyoonekana na visivyoonekana……”

Jeshi hilo ni huru linaweza kujiamulia lolote na ndiyo maana 1/3 ya hao roho yaani malaika waliasi na kufanya machukizo mbele za Mungu na wakafukuzwa (Uf 12:7-12) na wengine wamefungwa.

Katika Yuda 6 “ Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu amewaweka katika vifungu vya milele chini ya fiza kwa hukumu ya siku ile kuu”

Tunasoma pia katika 2 Petro 2:4
“ Kwa maana ikiwa Mungu hakuwaachilia malaika waliokosa, bali aliwatupa shimoni akawatia katika vifungu vya giza walindwe hata ije hukumu”

kwa hiyo Majini ndiyo mashetani na mashetani ndiyo majini.Katika kitabu Lawi 17:7-

“Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale MAJINI ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao, sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao kizazi baada ya kizazi”.

Kwa sababu majini hayo tangu yalipotupwa toka mbinguni wana wa Israel hawakuwa na ufahamu wa kutosha kuyahusu baadhi yao walijikuta wakiyatolea sadaka huku wakiamini kuwa wamemtolea Mungu sadaka. Na kumbuka kuwa mara nyingi wana wa Israel walipotoa sadaka zao nyingi zilikuwa za wanyama na hivyo kutakiwa kuchinja na kutoa damu ambayo ni sehemu kubwa ya chakula cha majini.

Katika Zaburi 106:34-40.

“ Hawakuwaharibu wtu wa nchi kama BWANA alivyowaambia, bali walijichanganya na mataifa wakajifunza matendo yao, wakazitumikia sanamu zao nazo zikawa mtego kwao naam walitoa wana wao na binti zao kuwa dhabihu kwa MASHETANI wakamwaga damu isiyo na hatia, damu ya wana wao na binti zao walio watoa dhabihu kwa sanamu za Kaanani. Nchi ikatiwa unajisi kwa damu.

Ndivyo walivyotiwa uchafu kwa kazi zao, wakafanya uasharati kwa matendo yao. Hasira ya Bwana ikawa juu ya watu wake akauchukua urithi wake.

Hivyo kutokana na kutokuonekana kwao hayo majini yaliwahujumu wana wa Israel hata yakawasababishia wamwasi Mungu kwa kuyatolea sadaka kinyume cha Mungu wa mbinguni aliyehai.

Katika Kumb. 32:17-20.
“ walitoa sadaka kwa Pepo si Mungu, kwa miungu wasioijua, kwa miungu mipya iliyotokea siku zilizo karibu ambayo baba zetu hawakuiogopa,
Humkumbuki muumba aliyekuzaa Mungu aliyekuzaa humkumbuki. Bwana akaona akawachukia kwa sababu ya kukasirishwa na wanawe na binti zake. Akasema nitawaficha uso wangu nitaona mwisho wao utakuwaje maana ni kizazi cha ukaidi mwingi watoto wasio Imani ndani yao.

Pia katika Math 12:43-45

“ Pepo Mchafu amtokapo mtu hupitia mahali pasipo maji akitafuta mahali pa kupumzikia asipate. Halafu husema nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka hata akifa aiona tupu imefagiwa na kupambwa, mara huenda akachukua pamoja naye pepo mengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo, na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza.

Katika Biblia tunaona kipindi Yesu alipotwaa mwili na kuja duniani, hao majini, au mashetani au Ibilisi au Mapepo wachafu yalimfahamu na yalianza kulalamika mbele zake.

Math 8:28-31 “ Naye alipofika ng’ambo katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo (Majini) walikutana naye, wanatoka makaburuni wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile. Na tazama wakapiga kelele wakisema tuna nini nawe mwana wa Mungu? Je, umekuja kututesa kabla ya muhula wetu………………. (MK 5:1-9).

Majini hayo yanafahamu kuwa Yesu ndiye atakayewahukumu ila yalichoshangaa ni kwamba mbona amewahi kabla ya kipindi chenyewe cha yeye Yesu kuyahukumu kwenda Jehanamu ya Moto?

Yesu alikuja duniani ili kumwokoa mwanadamu kutokana na mateso ya hayo majini au mashetani kwa sabahu katika Uf. 12:12 Malaika Mikael alipokuwa anawafukuza hao malaika waasi yaani hao majini au mashetani alisema OLE WA NCHI NA BAHARI ndiyo maana Yesu ilibidi aje duniani kupambana na huyo shetani, Joka, Ibilisi kwa niaba yetu maana sisi tusingeweza na wale, majini walisema kumuambia Yesu ukitutoa tuache tukawaingie nguruwe na ngurume wale wapatao 2000 waliona bora kufa baharini kuliko kuishi na viumbe hivi majini au mashetani miilini mwao na hivyo kutimiza ujumbe wa malaika Mikaeli “ Ole wa nchi na bahari”. Baharini ni sehemu mojawapo ambapo majini huishi.

Unabii wa kuangushwa mji mkubwa uliojisifu sana (Babeli) ulipotolewa, ilitabiriwa kuwa, hayatakuwa tena makazi, bali patabaki yatafanya makazi huko.

Isaya 13:12. lakini huko watalala hayawani wakali wa nyikani na nyumba zao zitajaa bundi, mbuni watakaa huko, na majini atacheza huko.

Ndipo tunaposoma katika Yoh 12:31, Yesu anasema “ sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo, sasa Mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje”.

Na katika 1 Yoh 3:8
“ atendaye dhambi ni wa Ibilisi kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi mwana wa Mungu alidhihirishwa ili azivunje kazi za Ibilisi.

Kama tulivyosoma toka sura na aya mbalimbali ndani ya Biblia kuwa majini hayo yanasubiri adhabu Biblia inatueleza atakaye yahukumu.

Math 25:31, 41 “ Hapo atakapokuja mwana wa Adamu pamoja malaika watakatifu pamoja naye…………… Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto ondokeni kwangu mliyolaaniwa mwende katika moto wa milele aliyowekewa tayari Ibilisi na malaika zake”.

Hivyo kwa mujibu wa Biblia Majini yaani mashetani ni Adui yetu na ndiyo maana alipokuja Mohammad yalianza kukanusha kuwa Mungu hana mwana ili kuwavuruga waislamu wasiijue kweli (Soma Quran 112:1-4, Al- Kahf, 18:3) ya kumwamini mwana wa Mungu Yesu.

Kwa bahati mbaya sana mambo yahusuyo majini katika imani ya Kiislamu ni tofauti sana na vile tulivyosoma katika Biblia. Ingawa Quran na Hadithi za Muhammed, Mtume wa Waislamu, Vinatutaka sisi wakristo tumwamini allah S.W. mungu anayeabudiwa na Waislamu Misitikini.

Katika Suratul Waqia 51:56.

“ Sikuwaumba majini na watu ila wapate kuniabudu” katika Quran Suratul Al- Ankabut (Buibui), 29:46-47) “ Wala msibishane na watu waliopewa kitabu (kabla yenu) ila kwa yale (majadiliano) yaliyo mazuri isipokuwa wale waliodhulumu miongoni mwao na semeni tunaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu na Mungu wetu na Mungu wenu ni mmoja nasi ni wenye kunyenyekea kwake”.

Waliopewa kitabu kwa mujibu wa Quran ni Wayahudi na Wakristo. Je, hoja kuwa Mungu wetu na Mungu wao wanayemwabudu kuwa ni mmoja je ni sahihi?. Tuchunguze kuhusiana na mafundisho ya Allah S.W. wa misikitini kuhusu majini ndipo tutajua ni mmoja au la!.

Muislam yeyote ili imani yake ikamilike ni lazima aamini yanayoonekana na yasiyoonekana katika Suratul Al- Baqarah (Ng’ombe Jike la Njano), 2:1-3.

“ Alif Lam Mym. Hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake ni uongozi kwa wamchao mwenyezi Mungu ambao huyaamini yasiyoonekana (maadaam) yamesemwa na mwenyezi Mungu na Mtume wake) husimamisha sala na hutoa katika yale tuliyowapa.

Quran peke yake ukiichunguza utaona kuwa majini yamechukuliwa kama ni viumbe tofauti na mashetani, wanasema hivyo kwa sababu katika uislamu majini yamepewa hadhi kubwa sana na ya kipekee. Hadhi hiyo ni kwa sababu majini waliamini Quaran.

Tusomapo katika Quran Suratul al- Ahqaf, (Kichuguu cha mchanga) 46:29

“ Na (wakumbushe) tulipokuletea kundi la majini (kuja kwako) kusikiliza Quran. Basi walipoihudhuria walisema (kuambiana):- “ Nyamazeni (msikilizeni maneno ya Mwenyezi Mungu)” Na ilipokwisha (Somwa) walirudi kwa jamaa zao wakiwaonya”.

Na ndani ya Quran kuna sura nzima inayoitwa sura ya majini (Mashetani) hiyo ni sura ya 72. katika sura hiyo inasema 72:1-3, 14. “ Sema: imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini liliisikia (Qurani) likasema hakika tumesikia Qurani ya ajabu inaongoza katika uongofu. Kwa hivyo tumeiamini wala hatutamshirikisha yoyote tena na Mola wetu na kwa hakika utukufu wa Mola wetu umetukuka kabisa. Hakujifanyia mke wala mwana……………………. Nasi wamo miongoni mwetu na wamo miongoni mwetu waliokengeuka waliosilimu hao ndiyo waliotafuta uwongofu.

Kwa hiyo aya hizi zinaonyesha kuwa Quran ilipokuja ndipo majini waliposilimu. Kumbuka kuwa Quran imeanza mwaka 610 B.K kipindi ambacho Biblia tayari ili kuwepo kwa karibu karne 6.

Akifafanua asili ya majini Mwanazuoni mkubwa wa kiislamu aitwaye Abdalllah Saleh Farsy aliye kuwa Kadhi Mkuu Zanzibar, kisha akawa Kadhi Mkuu Kenya katika kitabu alichoandika kiitwacho “ Maisha ya Nabii Mohammad” ule Uk. 31 anasema “ Katika safari yake ya kurejea Taif ndipo walipomjia majini wakasilimu kama inavyoonesha haya katika Suratul Jinn. Majini ni viumbe vyepesi vinavyokaa angani. havina viwiliwili kwa hiyo haviwezi kuonekana na wanadamu ila vinapojibadili kwa umbo lenye kiwiliwili. Na vina uwezo huo wa kujibadili kwa sura ya kuweza kuonekana. WAO NA MASHETANI WANA ASILI MOJA. Kwa hiyo asili ya majini ni shetani.

Suala linalohusu malaika linawasumbua sana waislam hata hawana uhakika wake.

Tumesoma ndani ya Biblia kuwa kuna kundi la malaika waliokosa ambao ndiyo wanaoitwa majini lakini tusomapo Quran inatoa maelezo tofauti.

Quran suratul As- Sajdah, (kusujudu) , 32:13 “ Na tungelitaka tungempa kila mtu uwongofu wake (kwa lazima kama tulivyowapa malaika lakini binadamu amepewa huria ya kufanya alitakalo- lililo jema na baya).

Katika ulimwengu wa Kiislamu Malaika wote ni8 wema na wanamwabudu mungu.

Hapa ndiyo tatizo linapoanzia. Quran iliyokuja baadaye inasema malaika wote ni wema wakati biblia kitalu kilichoitangulia Quran kinasema kuna malaika walioasi na wakafukuzwa katika utukufu wa Mungu.

Katika Quran Suratul, al- Kahf, (Pango) 18:50 “ Na (Kumbukeni) tulipowaambia Malaika, Msujudieni Adamu. Basi wakamsujudia isipokuwa Ibilisi yeye alikuwa miongoni mwa majini na akavunja amri ya mola wake……..”

Katika aya hiyo tunaona ibilisi akilaumiwa kwa kutomsujudia Adamu ingawa amri ya kusujudu walipewa malaika kumbe kwa mujibu wa Quran Ibilisi alikuwa miongoni mwao hao malaika yaani na yeye akiwa malaika.

Kwa sababu Quran haina habari kuhusu malaika walioasi yaani majini ndiyo maana wanapata tabu kuhusu jambo hilo. Na ndiyo maana pamoja na kujua kuwa hayo majini ni mashetani, Muilsamu amehiari kushirikiana nayo kwa kuswali nayo msikitini. Na hata mwislamu huyu anapomaliza kusali husalimia kulia na kushoto akiwasalimia watu malaika na majini (mashetani) waliokuja kushiriki naye katika Ibada yake, soma katika (Irshadul Muslimiin, Sheikh Said Musa, Uk. 3.

Katika Tafsiri ya Quran ya Iman Jalalaini Uk. 6:151 anasema kuhusu majini “ Hao ni watoto wa Ibilisi”

Hii ndiyo sababu hata wanawake wa Kiislamu wakiwa katika kipindi cha hedhi hawaendi msikitini kwa sababu kuna majini na chakula cha majini ni damu. Tafakari kwa hiyo sifa ya hayo majini au mashetani kwa ujumla ni kuwa “ hujaribu kwa bidii sana kuwa karibu na waamini wale wanaosali, kufunga na kusoma Qurani “ (Asili ya majini, Dk. Ahmed H. Sakr Uk. 2 ndiyo maana baadhi ya waislam wao binafsi wasingependa kuwa waislamu lakini majini huwashurutisha kwenda kuswali.

Kwa sababu wao waislamu hawajui kupambanua kati ya majini ambayo ni roho chafu na wale malaika watakatifu wa Mungu Jehova, ndiyo maana hata akiwa katika sala yake hana uhakika kwa sababu huyo jinni (shetani) amemteka na anamfanyia atakavyo na yeye ni mtumwa wa huyo jinni (shetani)

Katika kitabu kiitwacho Mkweli Mwaminifu cha Sheikh Said Moosa Mohamed Al- Kindy wa Muscut Oman, juzuu 1-2 Uk 42 Hadithi Na. 74.

“ Anamwijia mmoja wenu shetani (Jini) katika sala basi anapuliza (anampuliza) katika -ma-ta-ko- yake, basi (yule mtu) inamuijia fikra ya kuwa umemtoka upepo (kafusa) naye haukumtoka, basi akiona namna hiyo asiondoke (kwenye sala}) mpaka asikie sauti ( ya kutoka upepo) au anuse harufu ( ya huo upepo uliyomtoka, ndio aondoke).

Huyo shetani, au jinni anayekuwa karibu sana na huyu mwamini wa kiislamu hamchezei tu mwislamu katika -ma-ta-ko-- yake kama tulivyosoma hapo juu bali pia anapofanya tendo la ndoa .

Katika kitabu kiitwacho Asili ya Majini, cha Sheikh Dr Ahmad H. Sakr Uk. 116 anasema “ Hadithi ya Mtume inathibitisha jambo hili kuwa majini (mashetani) na watu wanaweza kuoana aliposema kwamba iwapo mtu ataingia katika uhusiano wa kindoa na mkewe anatakiwa ataje jina la Mwenyezi Mungu ajilinde kwa Mwenyezi Mungu dhidi ya shetani aliyefukuzwa mbali na rehema. Vinginevyo shetani hujiviringisha katika dhakari (sehemu ya siri za mwanaume) ya mtu huyo na atashirikiana naye katika tendo hilo. Tafakari yetu kuwa hiyo jinni anayeshiriki naye tendo la ndoa pamoja naye kwa mkewe ametumwa na huyo huyo Mungu wao. Hiyo ni kesi ya ngedere kumpelekea nyani! Utashindwa tu!

• Huhakikisha haweki wazi utambulisho wake vinginevyo watu wanaweza kumkwepa au hata kukimbia. Jina lake linawatisha watu wengi. Hivyo ni vyema asijitambulishe kama ni shetani , jini.
• Huwapotosha watu kutoka kwa Mwenyezi Mungu ili waende naye Jehanamu, badala ya kwenda peke yake. (Kumbuka hukumu ya Yesu kwa Ibilisi na Malaika zake (Math 25:41)
• Huwakatisha watu tamaa kwa sababu hana cha kuwapa ila matumaini ya uongo (Mf Q. 52:20)
• Huhakikisha kwamba watu wanamheshimu kumfuata shetani maana yake ni kuwa mtu wa namna hiyo amejisalimisha (Kumbuka waislamu wanapowasalimia majini kulia na kushoto katika sala (Irshadul Muslimin Uk 3.
• Huhakikisha kuwa hadhihirishi jina lake kama shetani lakini kama rafiki aliyejificha anayewatakiwa mema.
• Huanzisha vurugu vinginevyo maisha yake huwa ya taabu. Huwa anafurahia kuona watu wakipigan wao kwa wao.

Katika kipengele hiki tunaposoma katika Quran, Suratul – Al- Maidah, (Meza) 5:14.

“ Na kwa wale waliosema sisi ni Wakristo tulichukua ahadi kwao, lakini wakaacha sehemu (kubwa) ya yale waliyokumbushwa kwa hivyo tukaweka baina yao (wenyewe kwa wenyewe) uadui na bughudha mpaka siku ya kiama na mwenyezi Mungu atawaambia waliyokuwa wakiyafanya”

allah S.W. ndiye anayewaletea uadui na bughudha wakristo. Yeye atakuwa nani?
Tafakari.

• Hufundisha uchawi watu wanapaswa watoe kiapo cha utii kwake kabla ya kufundisha uchawi wa aina yoyote. Elimu ya uchawi ni kuwadhuru watu wengine hasa hasa waume na wake.

Katika sehemu hii tumwangalie huyo shetani au jinni anayeruhusu na kufundisha uchawi.

Katika Suratul, al- Bagarah, (ng’ombe jike), 2:102 “ Wakafuata yale waliyoyafuata mashetani wakadai kuwa yalikuwa katika ufalme wa nabii suleimani na Suleiman hakukufuru bali mashetani ndiyo waliokufuru, wakiwa fundisha watu uchawi waliokuwa wakiujua wenyewe tangu zamani. Na uchawi uliteremshwa kwa malaika wawili Haruta na Maaruta katika mji wa Babeli wala malaika hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie hakika sisi ni mtihani wa kutazamwa kutii kwenu basi usikufuru wakajifunza kwao ambayo waliweza kumfarakisha mtu na mkewe na mengineyo wala hawakuwa wenye kumdhuru yeyote kwa hayo ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu……………………

Katika aya hiyo inaeleza kuwa uchawi ni kazi ya Allah na ndiye anaye idhinisha. Yeye atakuwa nani? Na pia kuna waganga wa kienyeji wa kiislamu ambao hutumia Quran katika uganga wao. Hiyo Quran na majini na uchawi, ulioletwa na Allah S.W. vina uhusiano gani? Tafakari

“ Juhudi kubwa anayoifanya shetani (Jini) ni kuleta mfarakano baina ya waume na wake. Kwa kufanya hivyo huhakikisha kuwa wanachukiana wao kwa wao. Kwa ajili hiyo huishia, katika talaka. Kwa hiyo matatizo yanajengwa katika familia hiyo. Utengano au talaka inapotokea, watoto hawawezi kulelewa kisawasawa na mzazi mmoja. Watakosa uimara katika utu wao, shetani (jinni) anapata urahisi kuingia ndani ya mioyo na akili za watoto. Atawaongoza kuelekea mahali pasipofaa na hapo anawafanya wawe wahalifu katika jamii (Asili ya majini, sheikh Dr. Ahmad H. Sakr Uk 39)

Kwa mujibu wa Quran na vitabu vya kiislam huyo anayeamuru talka ni allah. S.W. Mungu wanayemuabudu waislamu.

Katika suratul, Ahzab(Makundi), 33:49.
“ enyi mulioamini mtakapowaona wanawake wenye kuamini, kisha mkawapa talaka kabla ya kuwagusa hamna eda juu yao mtakayohesabu. Wapeni cha kuwauliza na muachane muachano mzuri”

Katika Suratul al- Baqarah, (Ng’ombe) 2:230.
“ Na kama amempa talaka ya tatu basi mwanamke huyo si halali kwake baada ya hapo mpaka aolewe na mume mwingine, na mwanamume huyo mwingine akimwacha basi hapo hapana dhambi kwao mume yule wa kwanza na mwanamke huyo kurejeana wakiona watasimamisha mipaka ya Mwenyezi Mungu.”

Kama shetani (jinni) huleta faraka ili talaka zitokee, basi Allah S.W. yeye ameamrisha talaka kwa wafuasi wake bila kujali athari za watoto zitakazotokea. Tafakari yeye ni nani?

Kumuabudu shetani (Jini)

Katika Suratul Sabaa, 34:40-41
“ Na kumbuka siku atakayowakusanya wote, kisha atawaambia malaika, “ Je hawa walikuwa wakikuabuduni?” waseme umeepukana na kila upungufu! Wewe ndiwe kipenzi chetu si hao bali walikuwa wakiwaabudu MAJINI; wengi wao waliwaamini hao majini”

“ Shetani anapoamuru watu wamfuate pia anawaamuru wafanye madhambi na wakose maadili. Huwataka waseme uongo kuhusu Mwenyezi Mungu kutokana na kutokujua kwao. Wanaweza kusema kuwa sisi wanaadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu. Mungu alijifanyisha na kuwa umbile la kibinadamu. Mungu amezaa, na mwanaye niwa pekee. Zaidi ya hayo mwanaye si mtoto tu bali ni Mungu pia. Huyo mwana ni Bwana Yesu. Asiyeamini hivyo huchukulika kuwa ni kafiri au muasi hivyo ameangamia na atakwenda jehanamu” (Asili ya Majini, Sheikh Dr. Ahmad H. Sakr Uk 54)

Hapa ndipo sura halisi ya huyu shetani yaani jinni inapojitokeza. Yesu alipokuwa duniani kabla Muhammad hajazaliwa, wala Uislamu haujaanzishwa na Mohamed wala Quran haijaandikwa na wale waarabu wanne Seyidna Abubakar, Omar, Othuman na Ally, Majini yaani mashetani yalipomuona Yesu yalimwita “ Mwana wa Mungu tuna nini nawe? Je, umekuja kututesa kabla ya muhula wetu? (Math 8:28-31) Mwaka 610 B.K majini hayo hayo yakaanza kuwadanganya waislamu kuwa Mwenyezi Mungu hana mwana (Quran 72:1-3) Na bila kuitafakari. Nao wao wanaamini tu kuwa Quran ni maneno ya Mungu bila kupambanua huyo ni Mungu yupi!!.

Katika Suratul An- Nisaa (Wanawake) 4:120

“ Shetani hawaahidi ila uwongo…………..”

Hii ndiyo sababu Mohammad mtume wa waislamu katika kitabu “ Wakeze Mtume Wakubwa na Wanawe kilichoandikwa na Sheikh Abdallah Saleh Farsy Uk. 12, Mohammad anasema:-

“ Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na mashetani na kuni haribu akili yangu na kunizuga………………”

aliyasema maneno hayo baada yakubanwa na shetani (jinni) kule pangoni alikokuwa na baada ya hapo akaanza kujiita mtume. Hoja yetu ni mtume wa nani?

Katika Kitabu cha Ibn Ishaq 132-133
“ Kama huyu shetani (jinni) ambaye amekupagaa wewe ni yule ambaye huwezi kumtoa, tutamtafuta mganga na tutatumia vyote tulivyonavyo kukutibu kwa kuwa mara kwa mara shetani (jinni) humpagaa mtu. Lakini anaweza kuondolewa. Mtume alikuwa akisikiliza kwa makini”

Kisha baadaye na yeye Mohammad katika Sahihi Muslim Juzuu 4 Hadithi na. 2814 kasema
“ Wala hakuna yeyote katika nyinyi isipokuwa amepewa nguvu zinazotokana na majini. Wakasema (maswahaba) hata wewe mtume wa allah? Akasema hata mimi isipokuwa allah hunirahisishia juu yake hunyenyekea wala hayaniamrishi ila yaliyo mazuri”

Kwa hiyo majini ni ndugu za waislam Q. 46:29- ufafanuzi wake. Katika kitabu Asili ya Majini cha Sheikh Dr. Ahmad H. Sakr Uk 80 anasema “ Imepokewa na Khalid Ibn Walid kuwa kuna wakati alipatwa na ukosefu wa usingizi basi mtume (S.A.W) akamwambia “ Nikufundishe maneno ambayo ukiyasema utapata usingizi? Sema Ewe mola! Wewe ni mola wa mbingu saba na kile kilichofunikwa nazo. Nawewe ni mola wa ardhi na kilichomo humo. Nawe ni mola wa mashetani (majini) na maovu yao. Nakuomba uwe mlinzi wangu dhidi ya viumbe vyako vyote………..”

Hadithi hii inaonesha jinsi allah S.W. alivyo na uhusiano wa karibu na mashetani. Je, yeye ni nani?. Pia katika Q: 21:82, 34:12, 38:37 zinaeleza Allah alivyomtishia majini suleiman na yeye akiwa mlinzi wao hata kuwaadhibu wasiofanya vizuri.

Katika Quran 19:83 “ Je, huoni ya kuwa tumewatuma mashetani juu ya makafiri wanaowachochea kufanya mabaya?”

Katika Sahihi Muslim vol. IV H. 2667, Sahihi Al Bukhari Vol Vii H. 6243, Sunan Abuw Daud Vol II H. 2152.

“ Hakika Allah amemkadiria kila mtu kipimo chake cha zinaa, ambavyo haikosi kutimia kwake”

Tumeona kuwa majini au mashetani au pepo mchafu au Ibilisi walikuwa malaika walioasi walipotupwa chini huku duniani walitaka kurudi huko mbinguni lakini walishindwa.

Katika Q 72:8-10 (majini) majini yanasema-

“ Nasi tulizigusa mbingu (tulikwenda mbinguni) tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na nyota (zing’arazo) na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza lakini anayetaka kusikiliza sasa atakuta kimondo (kijinga cha moto) kinamvizia. Nasi hatujui kama wanatakiwa shari wale wanaokaa katika ardhi au mola wao anawatakia (heri).

Moja kati ya majina ya Allah ni AL-MUQADIM yaani, wa zamani (majina 99 ya Allah) majini yanajieleza kuwa hayajui Mungu wao ana watakia mazuri au mabaya wale wakaao duniani.

Mungu wa mbinguni anasema katika Biblia kitabu kilichokuweko kabla ya Quran.

Yer. 29:11 “ Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi asema BWANA ni mawazo ya mani wala si ya mabaya kuwapa nyinyi tumaini siku zenu za mwisho.

Majini (mashetani) yanajua tu kuwa Yesu atayahukumu na hayajui lolote kuhusu mpango wa Mungu kumwokoa mwanadamu toka kwa shetani (majini)

Mtume Paul katika 2 Kor 11:14 “ Wala si ajabu shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa Nuru…………..” Pia katika 1 Tim 4:1 “ Basi roho anena wazi wazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine (waislamu) watajitenga na imani wakisikiliza roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani (majini)” Tafakari Kuu: Allah katuma mashetani (majini) wako katika dini yake ya uislamu, yeye mwenyewe pamoja na wafuasi wake walikuwa wakifanyia kazi Suleiman wa ndani ya Quran na yeye allah S.W. akiwa msimamizi (Foreman) wao, mwisho wao wote pamoja na allah S.W. mwenyewe ni katika Jehanamu ya moto.

Yeye Allah atakuwa nani Tafakari wewe ndugu yangu Mkristo shika sana ulichonacho asije mtu akakunyang’anya!!!.

Na wewe rafiki yangu mwislamu okoa roho yako. Nenda kanisani ukajisalimishe upate nusura ya Mwenyezi Mungu!!.[/QUOTE
Mkuu hakika umeshusha nondo zote ata nashindwa cha kuongezea
 
Mahakama nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo.

Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag, ambaye babake ni muisilamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja na kufanya zinaa kwa kuolewa na mwanamume mkristo , kitu ambacho dini ya kiisilamu imeharamisha kwa wanawake.
[h=2]Taarifa zinazohusiana[/h]



Mariam mwenye umri wa miaka 28 pia ni mjamzito na ataadhabiwa kwa kuchapwa mijeledi miamoja kwa kosa la zinaa.
Maafisa wakuu wanasema kuwa licha ya Mariam kulelewa kwa njia ya kikristo yeye bado ni muisilamu kwa sababu hiyo ndiyo dini ya babake.
Alipewa siku tatu baada ya kuhukumiwa aweze kurejea katika dini ya kiisilamu lakini akakataa na ndio maana adhabu ikasalia.

Kwa kawaida wanawake waisilamu hawaruhusiwi kuolewa na wanaume wakristo ingawa wanaume waisilamu wanaruhusiwa kuwaoa wanawake wakristo.
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International linasema kuwa Bi Ishag alilelewa kama Mkristo muorthodoxi kwa sababu babake hakuwepo naye maishani mwake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Lengo lako lilikuwa nini hapa? Katika dini yetu ya Kiislam, inasema mwanamme ni MSIMAMIZI WA MWANAMKE. Ndio maana uislam ukaruhusu kuoa mwanamke mkiristo au myahudi, kwa sababu yeye anatakiwa awe na msimamo na mwanamke amfate yeye. Hapa naona kama uneleta habari ya kuthibitisha hikma ya dini yetu, asante, huyu mwanamke alikuwa muislam, kisha baada ya kuolewa na mkiristo kabadilisha dini, sasa mfuasi wa msalaba unaona athari hii? Hii ni athari ambayo uislam haikubali kabisaaaa, ndio maana ukakataza mwanamke kuolewa na mtu asie muislam kwa sababu atabadilisha dini, lakini mwanamme habadilishi dini labda awe bwabwa. Iletee na ile habari ya BBC SWAHILI inayosema kuwa UN yalaani kitendo cha kanisa la Vatican kuruhusu sera za kulawiti watoto!
 
Naam, majini wameumbwa na Allah, kuna watiifu kwa kufuata uislam na kuna walioasi. Sasa ikiwa kwa mujibu wa dini yenu kuwa Majini sio viumbe vya Yehova, nani amewaumba majini? Mbona mna akili za wehu nyinyi? Lini mtaelimika? Wewe unaamini uwepo wa majini, kisha unakataa kuwa majini ni viumbe alivoumba Yehova, sasa hawa majini wamekuja wenyewe ulimwenguni? :-D huyu Yehova bana, sishangai lakini yeye mwenyewe hajiwezi, mayahudi wakamtundika msalabani wakamchokoachokoa kwa majiti wakimtoboa ataweza kuumba majini? Uyo Yehova mwenyewe kumbe anategemea uwepo wa Gabriel ili kuletwa ulimwenguni kupitia bikra maria! Mhhhh Yehova huyu ni a joke kwa kweli!

Sasa umejibu nini,don't make me to question your ability to think.Nakurahisishia swali linauliza kwa nini majini mengi yana majina ya kiislam?
 
bz wanayafuga na nyumbani kwao ni msikiti
wa kutokwa povu karibuni
Ni dhana tu inayoaminika kwa waislamu
Majini hayafuati wala nguruwe wala wanaosali makanisani kwa vile tayari ni wachafu! Mungu aliumba majini na watu ili wamwabudu tu! Na pia majini hayafuati muumini mzuri wa kiislamu kwa vile ni mchamungu na wanamwogopa! kwa wale wasumbuliwao na majini au mapepo kuwaingia imani zao zina uwalakini na pia ndo wanaobatizwa kila kukicha maana majini hayatolewi makanisani bali humwachia kwa kukimbia kelele na uchafu makanisani! Maana sharti la mgonjwa aliyeombewa kanisani asiache kwenda kanisani akiacha tu yanarudi! Je alipona au yalikaa pembeni! ila atakayetolewa msikitini hayarudi kamwe!
 
Changia mada hapo juu acha porojo

Yaani wewe ndo umeona mwenzako kashusha noooondo mpaka huna cha kuongeza, tatizo wewe hujui kitu na yeye hajui kitu, mnabwabwaja tu. Yaani kitabu chenu cha alfu ulela ulela kinawapa story za kizushi zushi, hivi nikuulize tu, wale wanaomheshimu Lucifer wanaenda msikitini? Ni waislam? Si ndo hao rafiki zenu Jay Z beyonse rihana nk ndio wanaomuabudu lucifer, na kumheshimu. Kisha Malaika na shetani/jini/ibilisi ni viumbe ambavyo tofauti, hakuna malaika akawa shetani wala shetani akawa malaika, Malaika ni malaika tu habadiliki, wala hafanyi uasi. Tizama nlichomfundisha Kakende apo juu kidogo. Izi nondo za mwenzako za kanisani zitajenga kanisani, anazungumzia lucifer lucifer :-D afu eti malaika akawa shetani. Mnazo akili kweli nyie? Mnajipirojea tuuu
 
Sasa umejibu nini,don't make me to question your ability to think.Nakurahisishia swali linauliza kwa nini majini mengi yana majina ya kiislam?

Question my ability to think u dont mind since you believe your God isnt powerful than his own creation :-D Lucifer jina la kiislam?
 
Yaani wewe ndo umeona mwenzako kashusha noooondo mpaka huna cha kuongeza, tatizo wewe hujui kitu na yeye hajui kitu, mnabwabwaja tu. Yaani kitabu chenu cha alfu ulela ulela kinawapa story za kizushi zushi, hivi nikuulize tu, wale wanaomheshimu Lucifer wanaenda msikitini? Ni waislam? Si ndo hao rafiki zenu Jay Z beyonse rihana nk ndio wanaomuabudu lucifer, na kumheshimu. Kisha Malaika na shetani/jini/ibilisi ni viumbe ambavyo tofauti, hakuna malaika akawa shetani wala shetani akawa malaika, Malaika ni malaika tu habadiliki, wala hafanyi uasi. Tizama nlichomfundisha Kakende apo juu kidogo. Izi nondo za mwenzako za kanisani zitajenga kanisani, anazungumzia lucifer lucifer :-D afu eti malaika akawa shetani. Mnazo akili kweli nyie? Mnajipirojea tuuu

Kwanza badili kauli hao uliwawaorodhesha hapo ni rafiki wa akina nani?pili jibu swali lilopo kwenye mada bila kukimbia kwa nini majini yana majina ya kiislam mfano sharifa,maimuna,subiani nk
 
Kwanza badili kauli hao uliwawaorodhesha hapo ni rafiki wa akina nani?pili jibu swali lilopo kwenye mada bila kukimbia kwa nini majini yana majina ya kiislam mfano sharifa,maimuna,subiani nk

Nimekuekea links ujionee, sio ukikaa uswahili unaskia majina uchwara, wasome theologians sasa wanakutajia hayo majina na mengi ni majina yenu ya kikafiri hayo, kama vodacom wanavosema kazi kwako, we kondoo wa yehova nimekuletea links usome majina ya majini na uhesabi majini mangapi ya kwenu makafiri. Kisha mbona mbwa wengi wanaitwa Jack, joseph, Angelo na mengine kama hayo

Hao nlowataja ni rafiki zenu wafuasi wa jini lenye jina la kikiristo Lucifer au? :-D unawakataa makafiri wenzako? Acha utani KONDOO wa yehova.....
 
Lengo lako lilikuwa nini hapa? Katika dini yetu ya Kiislam, inasema mwanamme ni MSIMAMIZI WA MWANAMKE. Ndio maana uislam ukaruhusu kuoa mwanamke mkiristo au myahudi, kwa sababu yeye anatakiwa awe na msimamo na mwanamke amfate yeye. Hapa naona kama uneleta habari ya kuthibitisha hikma ya dini yetu, asante, huyu mwanamke alikuwa muislam, kisha baada ya kuolewa na mkiristo kabadilisha dini, sasa mfuasi wa msalaba unaona athari hii? Hii ni athari ambayo uislam haikubali kabisaaaa, ndio maana ukakataza mwanamke kuolewa na mtu asie muislam kwa sababu atabadilisha dini, lakini mwanamme habadilishi dini labda awe bwabwa. Iletee na ile habari ya BBC SWAHILI inayosema kuwa UN yalaani kitendo cha kanisa la Vatican kuruhusu sera za kulawiti watoto!
mna force iman ya mtu, ye anayakimbia majini nyie mnamrudisha....# heshimuni maamuzi na iman ya mtu sasa auawe kwa kosa lipi? Au majini yanataka damu yake


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mna force iman ya mtu, ye anayakimbia majini nyie mnamrudisha....# heshimuni maamuzi na iman ya mtu sasa auawe kwa kosa lipi? Au majini yanataka damu yake


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Amekwambia kama amekimbia majini? Lete ushahidi wapi kasema kaacha uislam kuwa eti anakimbia majini? Sasa anakimbia majini huku kisha anamfata mkubwa wa majini Lucifer? Ebo ndo kafanya nini? Lucifer kamwita? Kisha na upunguani wako naona kama habari hukuisoma vizuri, hapo pana misunderstanding, yeye mwanamke anadai kuwa tangu mwanzoni yeye ni mkiristo hakubadili dini, na mahakama inajua yeye alikuwa muislam na kabadili dini, sasa angesema basi nimekimbia majini katika uislam nimeamua kumfata lucifer katika ukiristo aniokoe ili niongozwe na manabii feki na matapeli :'-)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom