ukipata jibu nitagi basi mkuuHeshima kwenu wana jf, jamani wajuzi naomba kujua ivi ni kwanini majina ya mwisho kutambulika au kuwa maarufu kuliko jina la kwanza? Mfano jakaya mrisho kikwete linalo julikana sana ni kikwete?,John pombe magufuli jina maarufu ni Magufuli, julius kambarage Nyerere jina maarufu ni Nyerere naomba kujua iko hii, wana jf naomba kujua
Kiukweli hii kitu huwa nafikiria sana kwanini inakua hivo mkuu
Angalau mkuu hapo yaweza kuwa sahihi labda lengo ni kutofautisha majina yasifananeSijui kwanini huwa yana nguvu hivi ila naamini mtu hawezi kufanana na mwingine jina hadi jina la 3.
Ni ngumu ukute mtu kafanana jina na mwenzake kwa majina yote matatu. Huwenda wanatumia majina hayo kuwatofautisha na wengine.
Angalau mkuu hapo yaweza kuwa sahihi labda lengo ni kutofautisha majina yasifanane
Sharon Mosala KingAngalau mkuu hapo yaweza kuwa sahihi labda lengo ni kutofautisha majina yasifanane
Faida ni zip na hasara ni zip mkuu tusaidie tujue tusio jua
Asante kwa majibu mazuri mkuuNaona kama jina la ukoo lina heshima zaidi.
Huu utaratibu wa majina ya mwisho halafu uko tofauti kutokana na jamii.
Wahispaniola wao majina ya koo za baba na mama lazima kuwekwa kwenye jina la mtu.
Huanza jina alilopewa mtu then hufuatia jina la ukoo la baba na mwisho jina la ukoo la mama.
Kwa jamii nyingi za waarabu, waswahili, waingereza n.k huanza jina ulilopewa, jina la baba yako, na mwisho jina la ukoo wa baba yako