Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,990
- 871,054
Ni msemo wa kawaida sana kati ya watu wa rika moja ama tofauti kusikia wakiamiambiana ama mmoja kumwambia mwingine ama kumjadili mtu kuwa ana gundu hivyo anapaswa kuogea maji ya bahari
Gundu ni nuksi ama ukipenda ni kimavi kwa lugha ya mtaani.... Yaani kila unalofanya linafeli ama kila unachoshika kinaharibika
Maji ya bahari ni kielelezo cha kuondoa nuksi au gundu kutokana na hali yake ya uchumvi... Kama wote mjuavyo kwenye mada zetu zile za chumvi... Nguvu ya chumvi kwenye kutakasa, kuzuia, kukinga kulinda, kutia ladha nknk... Hivyo watu hu refer maji ya bahari kama tiba mbadala wa kuboost kinga za kiroho CD4 zilizoshuka...
Kama hutambui kuna kinga za kiroho pia... Na CD4 zake zinaposhuka... Utaandamwa na kila baya..... Magonjwa wewe... Mikosi wewe... Madeni wewe... Vibuti wewe.... Tuhuma zote wewe...... Sasa hizi hazibustiwi na waganga wa kienyeji ama na ulozi... Huko unaenda kuharibu zaidi badala ya kutengeneza.... MAKINIKA NA ZINGATIA HILI...!!!
Sasa turudi kwenye mada kuu.. Maji ya bahari yafaayo kwa tiba ya gundu ni yale maji tuli kwenye kina kirefu
Sio maji kupwa kwakuwa ndio yamerudi toka nchi kavu hivyo yamerudi na vingi vikiwemo vichafu
Sio maji kujaa kwakuwa ndio kipindi cha bahari kutapika uchafu na kujiswafi... Haya nayo hayafai kwasababu zilezile... Sio masafi
Si maji yanayovumishwa na pepo za kusi ama kaskazi kwakuwa hizi pepo zivumapo ndio kipindi cha kusafirisha viumbe bahari wenye madhara wakiwepo majini na mapepo kwahiyo unaweza kwenda kuoga ukalivagaa moja. ..
Kwahiyo maji salama ni yale tuli tena ya kina kirefu mbali na nchi kavu.... Sasa ni juu yako uamue kutumia maji ya Dawasco nyumbani na chumvi yako ya mabonge ama kila siku ufunge safari kwenda baharini kukodi mtumbwi huku ukifanya timing ya maji tuli ili uoge au uchote... Uamuzi unao wewe...
Hii post ni jibu kwa mdau aliyeomba ufafanuzi lakini akaomba ufafanuzi huu uwafaidishe wengine pia